Katika hali ya kushangaza, Singida Blackstars wamehamishia mechi yao dhidi ya Yanga kutoka dimba lao la nyumbani la CCM Liti na sasa mchezo huo utapigwa New Amaan Complex Zanzibar Oktoba 30 mwaka...
Tumefika hapo tulipofika kwa kuwatumia wachezaji wetu wa ndani akina Shemtembo, kwanini kocha alibadili gear angani akaacha kuwatumia? Wachezaji wa nje wana miguu ya pesa, wanawaza timu zao...
3 weeks clean, phew! [emoji28]
The urge is real but nimepambana kushindana nayo. I’m actually not happy, ila I feel I’m getting my old self back.
I’m glad some good few people in here reached...
I salute you kinsmen.
TFF wamekuwa wakituvunja moyo kila siku linapokuja swala la team yetu ya taifa.
Kwanza wanatuletea makocha wabovu na wa hovyo sana nadhani kuna maswala ya 10% mule ndani ...
Kama ulisahau kuna mtu alifanya miujiza siku ya derby Simba na Yanga na hakushangaa hata kilichotokea
Mnaongelea marefa leo hii enzihizo watu walimalizana na wachezaji mapema. Mpira ulipigwaa mh...
Benchi zima la ufundi la taifa stars halifai, huyo Hemedi Morroco kuongea kwenyewe shida atawafundisha nini wachezaji?
Ana uzoefu upi wa kufundisha timu ya taifa, huyo ni kocha wa level ya geita...
Klabu kongwe nchini, Simba Sports Club imeingia vitani na watani zao Yanga Afrika kwenye kinyang'anyiro cha kuzisaka saini za mastaa wa klabu hiyo yenye makao makuu yake Jangwani jijini Dar Es...
Sema tayari kimeumana! Hawa Pamba Jiji Championship inawaita mzunguko wa kwanza tu 😃
Uongozi wa Klabu ya Pamba Jiji Fc unautaarifu umma kuwa umefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja...
Hii mechi n kati ya mechi nyepesi sana ya Yanga
Pengine ni zaidi ya vs Kagera
Kama kuna mechi Simba atajuta kuingiza timu uwanjan n Derby ijayo.
Halii si nzuri kwao mpaka sasa najua kamati...
Picha ya jeraha la Ibrahim Abdallah Hamad a.k.a Ibra Bacca, beki kisiki na tegemeo ndani ya kikosi cha yanga yashtua wengi ikiwa zimesalia siku takribani mbili tu kuelekea Oktoba 19 kwenye mchezo...
Hii sio taarifa kuhusu kiwango au performance ya timu. Hii ni taarifa inayoonesha timu ya taifa inaundwa na wachezaji wenye thamani(value) gani. Kwa mujibu wa tovuti ya ya Transfermarket na Score...
Kufungwa kunauma sana.
Ila hawa wasemaji wakamatwe na wafungiwe kwa muda kuzungumzia mpira. Hawa wanamchango mkubwa sana kuharibu national team hasa kwa kupata matokeo mabovu leo.
Mfano katika...
kama atafanikiwa nitakuwa mmoja wa watakaompongezq sana brda
amesema hayo baadaya kukiwasha dk 10 uwanjan akiiaaidia timuyake
wana simba mjipange matesooyakoo palepalee
kaziiendeleee
Hila hizi timu zetu za bongo zinachekesha sana.
Kocha anakumbukwa kwenye shida lakini rekodi zake ni kubwa Minziro ameaminika kwenye kikosi cha Pamba Jiji FC baada kuachana na bwana Goran...
DRC ameshinda michezo mitano mfululizo bila kuruhusu nyavu zake kutikiswa.
Pole Taifa Stars..Pole nchi yangu.Poleni wachezaji. Hongera DRC.
Wabongo tujifunze sasa kukubali matokeo bila kutoa...
I will be short
1. Taifa stars inahujumiwa na watu wa TFF. Kuna watu waondoke stars tuwe modern?? What was that??
Kocha wa stars kama a dummy asiye na akili. What was that substitution?? AFCON...
Siku ya 1: Mechi dhidi ya Espanyol
Siku ya 198: Anafunga goli lake la kwanza
Siku ya 876: Hat Trick ya kwanza dhidi ya Real Madrid
Siku ya 915: Anafunga Goli ‘kali’ dhidi ya Getafe
Siku ya...