Mshambuliaji huyo wa Kimataifa wa Denmark mwenye miaka 30 amehukumiwa kifungo cha siku 50 baada ya kupatikana na hatia ya kumdhalilisha mwendesha 'taxi' katika Mahakama ya mji wa Copenhagen
Hata...
Shirikisho la soka duniani(FIFA) limempa kifungo hicho Makamu wa Rais wa Kwanza wa CAF, Kwesi Nyantakyi ambaye pia ni Rais wa zamani wa Shirikisho la Soka nchini Ghana
Ni baada ya kubainika...
Baraza la Michezo nchini(BMT) limeitaka Yanga kufanya uchaguzi na usimamiwe na TFF kwani Kamati ya Uchaguzi ya Yanga haijitoshelezi
Aidha, limeamuru Wanachama wote wasio na kadi kwenda kwenye...
Kuanzia kesho tarehe 24, Oktoba 2018, Chaneli ya Super Sport 7 (SS7) namba 207 itaanza kupatikana ndani ya kifurushi cha Compact ambacho bei yake ni Tshs. 69,000/= kwa mwezi.
Chaneli hiyo...
Huyu mshambuliaji huyu wa Azam Fc ambaye wakati anatoka Kagera Sugar alikuwa wa moto sana, hadi akawa hakosekani timu ya taifa.
Wengi tulimtabiria makubwa baada ya kutua Azam Fc, lakini sasa...
Imeripotiwa kua 28/10/2018 vijitetemeko vidogo vilirekodiwa katika sehemu mbali mbali nchini, na hii ilikua ni kuanzia saa 1 kamili usiku hadi 3 kasoro.
Vitetemeko hivyo vilitokana na shangwe za...
Ni hatari sana kwa kweli. Genk wamerudi kileleni,club brugge ya 2 royal antwerp bado ya 3
goals ni 4-2 ,Samatta kapiga 2 hivyo anaongoza msimamo wa wafungaji bora akiwa na GOALS 10
SAFI SANA...
Kamati ya kuzuia na kupambana na dawa zisizoruhusiwa michezoni ya Kanda ya Tano Afrika (RADO) imetoa hukumu ya kumfungia mchezaji Mohamed Issa banka kutokana na matumizi ya dawa zisizoruhusiwa...
Whatever lotto game you decide to play, first do these important checks:
1. The game is state backed. Make sure your government is behind it for added security.
2. Do not play lottery games...
KAZIKAZI YANGA IMESHINDA TENA 1-0
PTS 3
NDUGUZETU WA KARIAKOO MSIMBAZI NASIKIA NAO WAMEPIGA MTU TANO.PTS TATU AGAIN TANO PTS TATJ
DDOH MPIRA WA MIGUU AUKO FAIR..KABISA
Nimesikia leo kuwa mchezaji Ibrahim Ajib wa klabu ya Yanga kaomba asicheze mechi leo dhidi ya KMC kwa kuwa anaumwa.
Nimekuwa natafakari sana suala hili kwani mie hupendelea sana kumuona akicheza...
kama kawaida katika maisha ya ukocha hatimaye jamaa ametimuliwa baada ya msururu wa matokeo mabovu yaliyojitimishwa na kichapo cha mbwa koko toka kwa adui zao wa kila siku kwenye soka-barcelona...
watanzania tulikuwa watu wenye mapenzi mema hapo zamani. ilikuwa hata kwenye krismass wakristo wanawalika waislamu na kwenye idi waislamu wanawaarika wakristo. ndo tulivyolelewa na misingi hiyo...
Baada ya kumpa 5 Ndg. Masua Bwire jana, Usiku mzima nilikua nawaza, dirisha dogo la usajili la TPL linafungiliwa wiki kadhaa zijazo.. Je ni mchezaji gani Simba SC tumsajiri toka hizi timu za hapa...
Kwa namna yoyote ile kocha huyu mbovu mwenye miaka 52 , aliyewahi kuwa golikipa miaka iliyopita hana nafasi tena ya kufundisha Real Madrid .
Naamini mpaka kufika muda timu imemvumilia vya kutosha...
Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Ally Samatta aliendelea kutikisa ligi ndogo ya klabu Ulaya, Europa League, kwa kufungia klabu yake mabao mawili katika mechi iliyochezwa...