Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

🇩🇪 Mesut Özil career stats 🌟 🏟 696 Games ⚽️ 120 Goals 🎯 258 assists 🤝 378 goal contributions 🏆 1x World Cup 🏆 1x Euro U-21 🏆 1x Laliga 🏆 1x Copa del Rey 🏆 1x SuperCopa de España 🏆 4x FA Cup 🏆 2x...
6 Reactions
4 Replies
310 Views
Timu ya Taifa ya Nigeria “Super Eagles” imesema haitacheza mchezo wake dhidi ya Libya kuwania, leo Jumanne Oktoba 15, 2024 baada ya msafara wa Wachezaji wao kutelekezwa Uwanja wa Ndege usiku mzima...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Tanganyika na Zanzibar tunashindwa nini kuunda timu Moja imara ya kushinda makombe Africa na duniani. Shida ni vipaji hakuna, makocha hakuna, mashabiki haukuna na uongozi wa nchi? tumerogwa?
0 Reactions
11 Replies
340 Views
Hebu badilikeni,mnachelewa sana kutuma pesa zetu tukushinda mikeka,hebu igeni kwa mkeka bet.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Najua tunapenda sana kudanganyana lakini leo inanibidi niseme tu ukweli nafasi ya Stars kufuzu kwenda Morocco AFCON hapo mwakani ni finyu kwa kifupi haipo maana game zilizobaki yenye nafuu kwetu...
4 Reactions
18 Replies
928 Views
Umaarufu wake na ushiriki wake kwenye mambo ya Sanaa na michezo ni muda muafaka wa kumpa majukumu rasmi ya wizara. Uzi huu utumike kama rejea. Uzi tayari.
3 Reactions
13 Replies
465 Views
Mwalimu Moroko anza na Saaduni kwenye first eleven yako utanishukuru jamaa ni striker mwenye uwezo anajua mpira hakimbii tu kama ngiri uwanjani mbio zake zote za malengo weka nje mzize leo...
9 Reactions
62 Replies
1K Views
Nimelazimika kukatisha usingizi Bada tu ya kuamka usingizi ukakata ghafla toka saa tano usk had mida hii niko macho kodo Basi nikajipitisha katika mitandao hasa huu na x mitandao yangu pendwa kwa...
3 Reactions
10 Replies
416 Views
Beki wa zamani wa Manchester City Benjamin Mendy anasema alikopeshwa pesa na wachezaji wenzake wakati huo Raheem Sterling, Bernardo Silva na Riyad Mahrez wakati klabu hiyo ilipoacha kumlipa baada...
3 Reactions
12 Replies
863 Views
Napenda kuandika ujumbe uu wa wazi kwa wanchezaji watakao ingia uwanjani leo dhidi ya DRC congo, Ni ukweli usiopingika kama kongo hatuwawezi sio kwa mchezaji mmoja mmoja au kwa team play. Ila...
0 Reactions
1 Replies
429 Views
Picha linaanza waliwatelekeza wachezaji wa timu ya taifa ya Libya kwa masaa 8 airport mechi ya Nigeria vs Libya (first leg ) Second leg game ilitakiwa ipigwe Libya Nigeria ikasafiri kufika...
0 Reactions
7 Replies
829 Views
1. Ramadhan Kayoko 2.Herry Sassi 3.Arajiga. Kwenye hao watatu ningependa Arajiga awe mwamuzi wa kati.
2 Reactions
37 Replies
1K Views
Huyu dogo kama fala.... Sijui hawamwambii? Kuwa sasa amekua aache ujinga. https://www.instagram.com/reel/DAFMY5BsQTm/?igsh=NnhwZGpqdmRtM3Q3
6 Reactions
23 Replies
836 Views
Nimemsikia huyu kijana anayeitwa Ali Kamwe mfanyakazi wa Yanga anazisihi taasisi, kampuni na mashirika mbalimbali katika nchi ziruhusu wafanyakazi wao kutoka kazini mapema Jummane wakaishangilie...
13 Reactions
47 Replies
1K Views
I salute you kinsmen. Binafsi nimeanza kufuatilia soka la ulaya muda kidogo Liverpool die hard fans. Lakini tuseme ukweli ligi za ulaya kwa sasa uwezo wa wachezaji umekuwa mdogo sana na hakuna...
27 Reactions
246 Replies
5K Views
Mara zote kampuni na asasi za Betting industry zimetakiwa kuwakumbusha wateja kubeti kistaarabu , hii nikutokana na ukweli kuwa betting inasabaisha matatizo ya Afya ya akili Kama msongo na...
3 Reactions
5 Replies
554 Views
Mkuu wa Wilaya ya Bahi, Mh. Rebecca Nsemwa, amezindua Bonanza la Michezo wilayani humo, lililoshirikisha michezo mbalimbali ikiwemo timu nne za mpira wa miguu, kuvuta kamba, mbio fupi, kuruka na...
1 Reactions
2 Replies
292 Views
Nimesikitishwa na kuona mahojiano ya mchezaji wa Simba anayetamba eti ni lazima aifunge Yanga na kwamba haamgalii mabeki walio nao. Jambo hili linasikitisha sana ukizingatia kuwa hizi ni tabia za...
12 Reactions
26 Replies
2K Views
Shalom Shalom vijana kwa wazee, mabibi na mabwana. Amani iwe nanyi. Nina swali fupi ila muhimu ningependa kupata mwongozo wa kisheria kwa wale wenye ufahamu wa jambo hili. Chukulia umeshinda...
11 Reactions
39 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…