Những bí quyết lựa chọn gạch ốp lát cho nhà vệ sinh và nhà tắm bạn nên biết?
Xã hội ngày một phát triển lên thì yêu cầu của con người về thẩm mỹ cũng ngày một được nâng cao hơn. Trong đó, gạch...
Tuanzie hapa... Mbao FC ilifanikiwa kupanda ligi kuu katika msimu wa 2016/17 baada ya "mbeleko" za TFF.
Mbeleko hizo zilikuja baada ya maamuzi ya Kamati ya Nidhamu ya TFF yaliyotolewa April, 2016...
Hata kama uwe mwendawazimu utagundua kuwa kuwa Masoud Djuma ana mgogoro na Simba. Kuangalia mechi timu ikicheza mechi Kwa mashabiki ni burudani lakini Kwa kocha nizaidi ya burudani. Huu ni muda...
KAMA LIGI KUU YA UINGEREZA INGEKUWA DARASA LA SHULE YA SEKONDARI.
1.Liverpool ni mwanafunzi anejisifia na kuona ana akili kwa kuwa babu yake alifaulu kwa division one japo yeye anapata zero...
Kikosi cha Yanga kitakachoanza dhidi ya Coastal Union leo, mechi ya Ligi Kuu Bara
1. Klaus Kindoki
2. Paul Godfrey
3. Gadiel Michael
4. Andrew Vincent
5. Kelvin Yondani
6. Pappy Kabamba
7. Mrisho...
Ama kweli masikini akipata matako hulia mbwataaaa, Mabingwa wa kihistoria wamekwisha sahau , Mmepingwa ndani na nje Kombe la Afrika mkapoteana sio viongozi sio wanachama mpaka mashabiki kama...
Baada ya 'timu bora kwa sasa nchini Tanzania' Simba SC kupunguzwa kasi na Ndada, leo itakua angani kuelekea kanda ya ziwa lengo likiwa ni kuchukua point zake 6.
Simba SC akiwa kanda ya ziwa...
Ninapoelekea nitaacha kuwa Mshabiki wa Simba SC na nitabakia tu na Timu yangu ya Liverpool FC kwani kama kuna Mashabiki wa mpira wa Tanzania wanaoudhi, wanaokera, wanaoboa na pengine nahisi...
Kimosi cha Yanga kunachoanza leo
KIKOSI CHA YANGA SC DHIDI YA STAND UNITED UWANJA WA TAIFA SAA 16:00
1. Klausi Kindoki
2. Paul Godfrey
3. Gadiel Michael
4. Vincent Andrew
5. Kelvin Yondani
6...
Leo nimeona katika moja ya magazeti kuwa Azam Media imefanikiwa kuwapiku DSTV yenye chanell za super sports amabazo ni maarufu kwa kuonesha mipira na michezo mbali mbali,,KATIKA TENDA ya...
Nilishuhudia mahojiano haya kwa kweli nilifurahia sana jinsi wachezaji wa zamani walivyokuwa wamejitolea kwa hali na mali kwa ajili ya nchi yao. Alichoshauri ni kuwa siku hizi wachezaji wetu...
Salamu ndugu,
Wadau kwenye mpira Wa miguu wakati mwingine nimeona kuna baadhi ya wachezaji wakisifiwa sana kinyume na uwezo wao halisi katika utimizaji majukumu uwanjani kwenye nafasi zao. Nadhani...
USIKU! Yes Usiku wa Alhamisi ya April 14, 2016 ndio usiku pekee wa kusisimua kuwahi kutokea katika dimba letu la Anfield. Usiku uliokuwa na jasho, damu na machozi. Usiku wa vita.
Usiku ambao...
Maana yake ni kwamba mzungu akipigwa kadi Simba haitakua na kocha kwenye bechi. Maana yake mzungu akiugua ghafla Simba haitakuwa na kocha. Maana yake Simba inapoteza hela kuajiri assistant coach...
Habari zenu
Startimes kwa mara nyingine tunawaletea habari njema watanzania kuwa tumepata rights za kuonyesha michuano ya CLUB BINGWA DUNIANI katika chanel zetu pekee. Kwa africa michuano hii...