Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nini kimewakuta Man. Hakuna asieona kama weekend Man u walikutana na Beki bora iliowasumbua sana mashetani hao wekundu kwenye uwanja wa Amex stadium. Kuna mambo kadhaa yakuojili leo lakini...
0 Reactions
0 Replies
475 Views
Jerry muro kusikia neno Banka limemchanganya alidhani sijui yule kiungo wa zamani wa yanga na simba Mohammed Banka Ndugu Jerry Muro huyu ni Mohammed issa "Banka" mzenji aliye perform vizuri...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
HABARI wanajanvi ningependa kuchkua nafasi hii kumshukuru mola kwa kutujalia uzima, Ningependa kujua watu ambao wanauza Fixed match au mikeka ya ujakika ambao ni wakwel maana nimekutana na watu...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Wanaspoti nawasalimu! Jana nimeangalia kwa makini mechi ya pili ya Ligi kuu nchini Uingereza kati ya BHA na Manchester United ambapo Manchester ilipoteza mchezo kwa magoli mawili kwa matatu...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Jamani ndugu zanguni!! Kwa kikosi hiki, sitoshangaa Argentina wakitwaa ndoo mchana kweupee... Na hiki ndio kikosi ambacho bwana Sampaoli atakuwa amekiandaa kwenda kumaliza kazi nchini Urusi...
3 Reactions
246 Replies
27K Views
Mmmmh Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Chaa,maneno meengiiii? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mchezaji Aaron Ramsey kulia akimwambia mwenzake Henrikh Mkhitaryan kwamba "MFATE WEWE" Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Naangalia game live hapa juve na Chievo nadhani atazikumbuka cross za madrid. Huku hamna,kila mtu anafunga mwenyewe mpaka sasa 2 - 2 hajafunga wala kutoa assist. Ila rafu moja afanyiwa nje ya box...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Ni wao pekee ambao hawana desturi ya kufungwa Hovyo japo kwa nadra hutokea wakafungwa.. Daima ukiwa unaangalia game yao ni raha tupu ni kama wachezaji wa playstation, kuanzia umiliki wa mpira...
1 Reactions
59 Replies
5K Views
Kwa upande wangu acha wafungwe tu kwakweli sina namna! Je wewe?
0 Reactions
6 Replies
783 Views
Wakuu habari za mchana naomba kuuliza hivi game ya mtibwa sugar v simba sc inachezwa sangapi. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Nimewatazama Arsenal wanavyo cheza ..Wana timu nzuri sana.. Wenger was just wasting our mbalimfalme time... Unaona kabisa timu INA mipango ..Enzi za Wenger mkishapigwa goli mbili ndo game imeisha...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hamia Liverpool acha stress
0 Reactions
0 Replies
572 Views
Timu moja tu imezingua
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Timu ya soka ya Wanaume ya Ufaransa imefanikiwa kushika namba moja katika orodha ya timu bora za Dunia iliyotolewa leo na Shirikisho la Soka la Dunia(FIFA) Ufaransa imefanikiwa kushika nafasi...
1 Reactions
34 Replies
45K Views
ACHANA NA WALE.WAMBEA WA TAIFA:Klabu ya soka ya Simba ya Tanzania leo imeweka rekodi ya dunia ya kuwa timu ya kwanza ya soka duniani kupanda Dreamliner ya Air Tanzania waliposafiri kutoka KIA...
4 Reactions
154 Replies
22K Views
Wadau mimi kwa upande wangu naona SARRI kazingua kwa nini amuanzishe HAZARD Bench. Wewe hunaonaje hila Chelsea leo ushindi Lazima. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
19 Replies
2K Views
ENGLAND: Akiwa na miaka 27 tu, winga raia wa Nigeria, Victor Moses atangaza kutundika daluga la kuichezea timu ya taifa hilo. Moses amehitimisha muda wa miaka 6 alioitumikia timu hiyo toka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…