WATU WENGI HUONGELEA MABADILIKO KATIKA KLABU YA YANGA
Lakini hawajui yanga ilishafanya Mabadiliko toka Mwaka 2007...Kwa mujibu ya Katiba ya yanga Ya mwaka 2010
mabadiliko haya ni kama...
Huku pazia la Ligi kuu ya Vodacom likikaribia kufunguliwa wachambuzi wengi wa soka nchini Tanzania wanatambua matatizo makubwa yanayoikabili timu ya Yanga , wengi wanaongelea chini kwa chini...
Later this month, The 2018 Asian games will commence.
If South Korea don't win the tournament, Heung Min Son could miss 2 Premier League seasons whilst away on military service.
If South Korea...
Mpira wa miguu ni ajira mbali ya kuleta furaha na sifa kwa vilabu, mashabiki na taifa. Ligi kuu ina timu 16 na kama timu itaweza kusajili wachezi 10 wa kigeni maana yake wageni 160 watashiriki...
Tangia Mourinho amepewa jukumu la kuinoa klabu ya Manchester United msimu huu wa 2018/2019 utakuwa ni msimu wake wa tatu na tayari amekwishafanya usajili wa wachezaji 11 hadi sasa ambao wanne kati...
Inasikitisha sana. Wachezaji wa team zetu wengi hushindwa kujitambua na matokeo yake wanaweka mapenzi katika hizi team na baadaye wanakuja umia wanapokutana na changamoto za kimaisha.
Unapohama...
Vijana wanapambana na hali yao,.. Biashara ya kubet ( bahati nasibu /kamali) imeshika kasi sana....
Na biashara hii huendana na kipindi kigumu cha kiuchumi, ndipo biashara hii hushika kasi...
Adai kwanini vyombo vya habari Leo vinamuona Bashite tu kwenye ripoti ya vyeti feki na sio bilioni tano zilizookolewa kwa kuwafukuza watu 9930.
Adai pia vyombo vya habari Tanzania viko huru sana...
Msemaji wa klabu ya Simba, Haji Manara amekiomba kituo cha redio cha Clouds FM kuthibitisha au kukanusha taarifa waliyoitangaza ya kuwa Klabu ya Simba imefungwa goli 6-0 katika mchezo wa kirafiki...
Baada ya mashindano ya kombe la dunia kumalizika ambapo tumeshuhudia Ufaransa na Croatia wakicheza fainali na hatimaye Ufaransa kutawazwa mabingwa wapya,Bila ubishi nakubali walistahili.
Kwa sasa...
Timu ya soka ya Wanawake ya Tanzania imetwaa Ubingwa wa Soka kwa Nchi za Africa Mashariki na Kati (CECAFA) baada ya kuifunga timu ya soka ya taifa ya Ethiopia kwa magoli 4-1 Mjini Kigali, Rwanda...
Kuna jamaa huku kitaa kila wiki hakosi kula laki 3 mpaka 5 jamaa kwa masihara ameanza ujenzi kupitia hiyo pesa huwezi amini sasahivi anapauwa siku moja nlijaribu kuomba mkeka wake wa kilo 2 namm...
Sikuwahi fuatilia haya mashindano. Nashangaa nimeyapenda kuangalia hasa yakiwa Live. Mbali na raha ya mashindao yenyewe, France ni Green nchi nzima, sijaona matuta barabarani maana wanapita kwenye...
Shirikisho la soka Ujerumani 'limekataa pasi na shaka 'tuhuma za ubaguzi wa rangi kutoka kwa mshambuliaji wa Arsenal Mesut Ozil lakini linasema huenda lingewajibika zaidi katika kuhakikisha...
Waziri mwenye dhamana ya masuala ya mambo ya Ndani, Mheshimiwa Kangi Lugola - Jumamosi atakuwa mgeni rasmi katika mchezo wa nusu fainali ya Ndondo Cup 2018 kati ya FARU JEURI VS KIVULE UNITED...
Siku moja niliwa sema siku Manji akisusa gafla kuto uhisani Jangwani ndio mwanzo wa matatizo... jamaa mmoja akajib kwa kejeli kwani Manji nani ... Ysnga ilikwepo kabla ya Manji na itaendelea...
Prisons FC is a Tanzanian football club owned by the Tanzania Prisons Service based in Mbeya. Their home games are played at Sokoine Stadium.
Prisons FC
Full name Prisons Football Club Ground...
Hello simba fans! nataka kuwakumbusha tu kuwa kutesa kwa zamu, leo yenu kesho yetu inakuja. niwakumbushe tu
1. Sisi nasi tulienda huko huku Uturuki tulikaa mwezi mzima
2. Pia nawakumbusha tu...
Habari ambazo zimetrend leo huko mjengoni Clouds zinasema kuwa Club ya Simba inayoendelea na kambi yake Mtoni Uturuki zinaeleza kuwa baada ya kufanya mazoezi ya siku 5 jana wakaomba mechi ya...