Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwa Mara nyingine club pendwa ya Simba inaangukia pua baada ya kukosa kutwaa kombe la Cecafa Tunaumia sana hasa mambo ambayo viongozi wa Simba mnayafanya,kama hampo tayari kushiriki haya...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Sie waafrika cjui tumerogwa na nani yaani pamoja na Timu Ya France kusheheni Waafrika wengi huko Russia nimeshangaa siku ya fainali waafrika wengi hasa hapa Dar walikuwa wakishabikia Croatia timu...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Timu ya soka ya Everton ya Uingereza yaifunga timu ya ATV Irdning ya Austria kwa mabao 22 - 0 ndio mabao ishirini na mbili kwa bila. Katika mechi hiyo ya kirafiki wachezaji wanne wa Everton...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
wakuu naomba mnitoe matongotongo hivi lile kombe la dunia ndio lile lile miaka yote au huwa wanatengeneza baada ya miaka 04 maana jana nilimuona nahodha wa ujerumani mmoja ya washindi wa kombe la...
0 Reactions
2 Replies
761 Views
Yule mwanamama aliyekuwa nyuma ya Putin wakati wanagawa medali pale uwanjani ameiba medali bana
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Amesajiliwa kwa ada ya uhamisho inayokadiriwa kufikia paundi milioni 32 na amepewa mkataba wa miaka mitano . Taarifa zaidi zinadokeza kwamba Leicester city walishaamua kumpa mkataba mpya na...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna mshindi kama huyo ametangazwa jana? Natafuta kwenye mitandao hata simwoni, kuna zawadi ya ushindi kama hiyo jamani wana bodi naomba mnijuze, na mojabet ndiyo ipi tena? Mona mimi siijui, ni...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Maamuzi ya makocha wakati mwingine ni ya ajabu sana. Unamuacha kiungo mkabaji aina ya Nainggolan sijui unakuwa unategemea nini!
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Gazeti la The Sun limeandika: World Cup 2018: Thousands of England fans sign petition for Gareth Southgate to be knighted after incredible run to semi-finals in Russia They may not be bringing...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Watengeneza magari wameicharukia juventus kuelekeza pesa ya mapato ya kiwanda kwa Ronaldo. Juventus si ingetoa pesa mfukoni mwake, sio sawa. Nikijaribu kuvaa viatu vya wafanyakazi hao. A
1 Reactions
50 Replies
5K Views
Ndio kama kichwa cha habari kinavyosomeka wala sijakosea,leo asubuhi fei toto alitangazwa kusajiliwa na singida utd lakini cha kushangaza majira ya mchana mchezaji huyo alitangazwa kusajiliwa na...
2 Reactions
19 Replies
8K Views
Klabu ya Chelsea imemfukuza kazi kocha wake, Antonio Conte baada ya kufikia naye makubaliano ya kusitisha mkataba wake Klabu hiyo, kwa muda mrefu imehusishwa na habari za kutaka kumfukuza...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Winga machachari wa ujerumani na klabu ya Manchester City Leroy Sane amewashangaza wengi baada ya kuitaja Tanzania alipofanya mazungumzo na jarida la michezo la Kicker sportmagazin. Sane pamoja na...
4 Reactions
25 Replies
10K Views
Hii inajionyesha wazi hasa baada ya timu hiyo kuanza kununua wachezaji wapya kama mchanga , mpaka sasa wachezaji watano wamekwishanunuliwa akiwemo kiungo mahiri Toreirra kutoka Sampdolia ya...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Leo timu ya Azam imeifunga timu ya Simba kwa 2-1. Hongereni sana leo tungekimbilia wapi na tambo za Manara. Usajili wa kishindo lakini Azam ameibuka kidedea. Kilichobaki tutawaletea Lipuli sasa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Leo ni fainali ya CECAFA,naomba kujua muda,mechi itakuwa saa ngapi?
0 Reactions
34 Replies
10K Views
Kwa aina hii ya ' Upuuzi ' ninaouona ndani ya Klabu ya Simba kuna uwezekano nikajipa ' Mapumziko ' ya Kuishabikia na nikabaki tu kushabikia Klabu yangu ya Liverpool ya nchini Uingereza kwani...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Ikitokea wewe ni kocha na umebakiwa na nafasi moja ya 'sub' na nje wapo Paul Pogba na Kevin De Bruyne.... Nani utampa nafasi ya kuingia na kwanini?
4 Reactions
154 Replies
18K Views
Team nyingi zilizoingia robo finaly zilikuwa na wachezaji wengi wanaocheza league ya uingereza Hata zinazokwenda semi final bado zina wachezaji wengi wanaocheza uingereza Na hata final itakuwa...
9 Reactions
111 Replies
10K Views
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya kuivusha Yanga wakati wa mpito, Abbas Tarimba, ametangaza kuachana rasmi na wadhifa huo. Kwa mujibu wa Radio Uhuru, Tarimba amefunguka na kueleza kuwa...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…