Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Former Arsenal right-back and Ivory Coast international, Emmanuel Eboue was arrested on suspicion of Arson in Enfield. A statement published by the Metropolitan Police read: 'Police investigating...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
UFARANSA VS UBELGIJI: Watoto wa wazamiaji waliotoka Afrika Mwishoni mwa miaka ya 1970 na miaka ya 1980, Waafrika wengi walikimbilia Ulaya kutafuta maisha kwa kile walichodai hali ngumu. Wapo...
6 Reactions
39 Replies
6K Views
This week kabla haijaisha basi kutakuwa na habari njema na mbaya kwa wapenzi wa Soka wa Real Madrid kuhusu Goal Mashine CRISTIANO RONALDO atajiunga na Mabibi kizee wa TURIN JUVENTUS
3 Reactions
57 Replies
12K Views
Mashindano makubwa kabisa duniani kwenye mchezo wa tennis Wimbledon imefika patamu, ni hatua ya quarter final huku wakali kama Rafael Nadal, Novak Djokovic wote wakitinga hatua ya robo fainali...
0 Reactions
1 Replies
852 Views
Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba wamemleta kimyakimya Kocha Mbelgiji, Patrick Aussems kuziba nafasi iliyoachwa wazi na Mfaransa Pierre Lechantre. Kocha Aussems aliyewahi kuzinoa timu kadhaa...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Aliyekuwa kocha wa Klabu ya Barcelona, Luis Enrique apewa kazi ya kuinoa timu ya taifa ya Uhispania Enrique anachukua mikoba ya Fernando Hierro aliyebwaga manyanga baada ya taifa hilo kuboronga...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Hakika Kombe Hili limekua Gumu Kutabiri Mpaka Huyu Mtabiri Aliyefikiriwa Kutabiri Mechi Ameshindwa Kabisa, tofauti na yule pweza waujerumani kipindi kile Na hata ukimtazama usoni paka huyu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna Radio moja ya Arusha nimeisau jina , kwakweli yule jamaa anatangaza mpira hadi unadhani upo live uwanjani...tofauti kabisa na utangazaji wa Maulid ambapo yeye unaona mpita kwenye Tv lakini...
6 Reactions
46 Replies
41K Views
Habarini wanajf, karibuni tujadili hili kwa kina ikizingatiwa tupo katika wakati wa Kombe la Dunia. Kwa mtazamo wangu Ufaransa ndio timu itakayochukua Ubingwa na sababu kubwa ni kikosi...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Kweli bado tuna safari ndefu waafrika ili angalau tuje wakaribia hao walioko mbele Bado watu wengi hawajitambui mpaka kufikia karne hii!! Hatari sana.. nadhani kuna tofauti sana kati ya kuujua...
4 Reactions
49 Replies
4K Views
Anaitwa Yussuf Yurary Poulsen mwana wa ardhi ya Tanzania na Denmark, ambaye ni mcheza soka maarufu nchini Denmark, aliyetajwa kuongoza kikosi cha timu ya Taifa ya Denmark ambako ndiko alikozaliwa...
11 Reactions
111 Replies
22K Views
Players from EPL who are still playing in the World Cup in Russia. Manchester united 1. Lingard 2. Rashford 3. Young 4. Jones 5. Linderlof 6. Pogba 7. Lukaku 8. Fellaini Tottenham 1. Kane 2...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Africa(CAF) imewapa Marefa 11 adhabu tofauti kutokana na Makosa mbalimbali waliyoyafanya Refa Msaidizi kutoka Kenya, Marwa Range...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna tetesi zinasambaa kuwa mtangazaji maarufu kama kocha mchezaji anawabania wenzake wasitangaze mechi za kombe la dunia kwa kiswahili huko south afrika. Ikumbukwe takribani watangazaji sita wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Waungwana karibuni tutete kidogo juu ya hili jambo tuelezane Vema tujue Kama kuna kasumba na ndumba hawa watu tujuzane kimewakuta nini
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Wana Mara njooni tukumbushane wachezaji wanaotokea mkoani kwetu Mimi naanza na hawa ¹ Mohammed bakari Tall (Simba Sc na Taifa Stars) 2 Amir Kiemba (Simba na Taifa Stars) 3 George Masatu Magere...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nakumbuka mwaka 1998 France wanachukua kombe la dunia Niko darasa la tatu Mdogo sana ila nafuatilia mpira hatari ! Nakumbuka Kwenye fainali hiyo hiyo zinedine zidane (zizou) anafunga goli Kali...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Tukubaliane tu roho safi... ile kitu imekosekana kwa hii FIFA World Cup ...... ni #vuvuzela na theme song ya maana... sisi kama #TeamFrance tumesema!!!! Tanzania inawakilishwa na #Ufaransa
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kesi imefunguliwa kumshtaki rais wa zaman wa Barcelona Sandro Rossell aliyemsaidia Eric Abidal kujipatia kiungo cha ini kimagumashi mwaka 2012. Abidal alikuwa anahitaji kipande cha ini kwa ajili...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wahuni sio watu wa mchezo mchezo Wananchi wameombwa utulivu juzi usiku baada ya wachezaji wawili waliokosa penati dhidi ya Uingereza kudhalilishwa na kutishiwa na mashabiki wenye hasira kupitia...
2 Reactions
40 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…