Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Akiwa na mdau mkuu!. Amesajiliwa na Singida United kutoka Brazil Sina imani kama kuna kitu atafanya maana hiyo physical appearance tu utadhan delicious wa Insta
0 Reactions
14 Replies
3K Views
The Real Madrid superstar failed to score in the Champions League final but was able to dominate the post-match reaction after hinting at a transfer Cristiano Ronaldo was wrong to steal the...
0 Reactions
1 Replies
513 Views
Argentina vs Haiti Report FT 4 - 0 (HT 1 - 0) 5/30/18 Friendlies L. Messi 17', 58', 66' S. Agüero 69' Live Report Argentina 4 Haiti 0: Lionel Messi hat-trick inspires route Sacha Pisani May 30...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Kichwa cha habari kinajieleza, jazia na hii video; Makabila ya Wafugaji tupeni jibu; why not??
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Hii usemi wa fair play kwenye upande wa soccer naona si mahala pake. Ebu tazama wachezaji wanavunjana tena kwa makusudi kabisa na huku refa akitoa mijicho yake tu. Hivi kuna umuhimu gani wa...
0 Reactions
92 Replies
8K Views
Adam Salamba ni Mwekundu wa Msimbazi Aliyekuwa mshambuaji wa Klabu ya Lipuli FC kutoka Iringa Adam Salamba amesaini mkataba wa miaka miwili kwa ada ya 40ml kwa ajili ya kuitumikia Simba SC kwa...
3 Reactions
67 Replies
14K Views
Unai Emery appointed as a new Arsenal manager replacing Arsene Wenger BBC Sport Klabu ya Soka ya Arsenal, imemtangaza Unai Emery kuwa kuwa Mwalimu mpya wa timu hiyo > Hapo awali uongozi wa...
0 Reactions
59 Replies
8K Views
2017–18 UEFA Champions League - Wikipedia - Leo messi yumo ndani ya champion league squad of the season mbele ya Mane. kuna kipi alichomzidi kwa mwaka huu? magoli ? timu kuifikisha mbali? -...
0 Reactions
40 Replies
6K Views
ARSENAL imeongeza mdhamini mwingine katika jezi zao za MSIMU WA 2018/2019 RWANDA TOURISM watakuwa kwenye jezi za arsenal kwa msimu mzima, NAIONA RWANDA IKIFAIDIKA MARADUFU katika Utalii na...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Huyu jamaa anawatesa sana wenzake kwenye mashindano ya Baiskeli , kwanini ? Ni bingwa mpya wa michuano ya GIRO ITALIA , anawakilisha TEAM SKY YA ENGLAND , sielewi anawazidi nini wengine , mwenye...
2 Reactions
3 Replies
957 Views
Mshambuliaji nyota wa Brazil, Neymar Jr amesema yuko fiti kucheza fainali za Kombe la Dunia zinazotarajiwa kuanza Juni 14 nchini Russia bila kikwazo chochote. Neymar ametoa kauli hiyo muda mfupi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Pazia la Ligi Kuu Tanzania Bara 2017-2018 kufungwa leo, je nani kushika nafasi ya pili Azam FC au Yanga SC? Vita ya kushuka daraja je nani kuungana na Njombe Majimaji ama Ndanda FC?. Umeanza...
3 Reactions
97 Replies
9K Views
Katika upangaji wa timu 16 zitakazopambana katika hatua ya mtoano uliofanyika leo, Timu ya Real Madrid imepangiwa kucheza na PSG wakati Chelsea itapambana na Barcelona. Hii ndio jinsi timu zote...
6 Reactions
170 Replies
24K Views
Beki wa Real Madrid ambao ni Mabigwa Wapya wa Kombe la UEFA Champions League, Sergio Ramos amesisitiza kuwa hakudhamiria kumuumiza Mshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah katika mchezo wa fainali...
2 Reactions
78 Replies
14K Views
Habari zenu! Tunapenda kuwajulisha watanzania wote kuwa Startimes tumekuwa ni waonyeshaji rasmi wa michuano ya kombe la dunia Russia 2018 itakayo anza June 14 mpaka July 15 2018. Wateja wetu...
7 Reactions
80 Replies
15K Views
Psychological Blow baada ya Kuumizwa vibaya kwa Mshambuliaji Salah Schoolboy Goalkeeping kutoka kwa Kipa Karius kwa Kujifunga Squad Gambling kutoka kwa Kocha Klopp Inauma sana kwakuwa tuliofungwa...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Katika mechi ya leo UEFA eti odds wamezigawa hivi. Madrid-2.08 Draw-3.78 Liverpool -3.01 Leo kuna watu wanawapiga hawa jamaa mamilioni bila huruma, tayari nimeweka 20,000 asubuhi kesho...
4 Reactions
46 Replies
5K Views
Vikosi vya Real Madrid na Liverpool vinavyoanza leo katika fainali ya UEFA 2018 UPDATES The players are in the tunnel. There’s a storming atmosphere in Kiev. Jurgen Klopp is smiling broadly, as...
16 Reactions
1K Replies
76K Views
Polisi wa eneo la Merseyside, Uingereza wamesema wanafahamu kuhusu vitisho vya maisha ambavyo vimetolewa dhidi ya mlinda lango wa Liverpool Loris Karius baada ya kuchezwa kwa fainali ya Ligi ya...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…