Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

》Wanda Nara na Maxi Lopez walianza mahusiano mwaka 2006 walipokutana huko Beunos Aires kama nitakuwa nimeandika vema, Argentina wakati Maxi alipokuwa anaanza kucheza mpira katika timu ya Rosario...
6 Reactions
43 Replies
9K Views
Mwanzoni mwa mwaka huu tulijulishwa kuwa Diamond (Mwanamuzi wa Tanzania) amepewa nafasi ya kutunga wimbo rasmi wa Kombe la Dunia (kama nilielewa maelezo vyema). Lakini leo kutoka mtandaoni...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Kwa mtanzamo wa picha hii, ndo yaonyesha tafsiri hasa ya kiungo mkabaji kwenye mchezo wa soka duniani.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
-Juuko Murshid -Laudit Mavugo -Juma Liuzio -Jamal Mwambeleko -Mwinyi Kazimoto -Mohammed Ibrahim, na -Nicholas Gyan Chanzo: MWANANCHI
0 Reactions
11 Replies
2K Views
KLABU ya Simba leo imekabidhiwa kitita cha Sh. milioni 100 kutoka kampuni ya SportPesa Ltd ikiwa moja ya fedha walizoahidiwa na kampuni hiyo wakichukua Ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa mujibu...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Rais wangu na mwana Simba SC mwenzangu JPM ni kweli kabisa kwamba siku zile uliona mpira ule mbovu wa Simba dhidi ya Kagera Sugar ila Mheshimiwa Rais nahisi ungeuona Mpira wa Yanga SC au kama...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Maisha siku zote huwa yanakwenda kwa kasi mnooo, mara baada ya Madrid kuchukua ubingwa 2002 Walistruggle sana kuhakikisha wanarejesha makali yao ambayo tulizoea kuyaona baada ya pale msimu...
1 Reactions
2 Replies
863 Views
Sisi wateja wa soka hasa msimu huu wa kombe la dunia burudani imesogezwa sebuleni kwetu, kwani kwa kifurushi cha Bomba cha Tsh 19,000 tutapata mechi zote 64 za kombe la dunia katika mfumo wa High...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Wataalamu wa michezo saluti kwenu. Kama mtakumbuka hatua ya robo fainali mambo yalikua hivi Swala lililo sababisha Zidane na timu yake wasonge katika hatua inayo fuata. Akili yangu inaniambia...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Jayson Tatum muda sio mrefu Dunia itamtambua huyu Bwana Mdogo wa Celtics. Dodgo ana 21 na alikuwa wa tatu kwenye draft ya msimu wa 2017/2018 lkn anavyowasumbua kina JR Smith na Tristan ni shida...
0 Reactions
6 Replies
801 Views
Manji kujiuzulu Yanga? tetesi zilizozagaa zinasema huyu mdosi kajiuzulu ufadhili yanga..wachambuzi wa mambo wanaona ni janja ya nyani,ataorganise group iandamane kudai arudishwe na kuonyesha...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Buffon: “Referee can’t have the cynicism to destroy the effort of a whole team. A human being can’t send away a team like this! If you want to be that protagonist, sit in the ground with your...
2 Reactions
78 Replies
9K Views
JAPAN: Mchezaji nguli wa nafasi ya kiungo, Andrés Iniesta amesaini kandarasi ya kujiunga na Klabu ya Soka ya Vissel Kobe na kukabidhiwa jezi namba 8 > Andrés Iniesta amejiunga na klabu hiyo baada...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Arsenal have named former Sevilla and PSG boss Unai Emery as their new head coach .
3 Reactions
27 Replies
2K Views
We Manara weweee Kwanini Unatuita Mahandaki wakati tundu umetobolewa wewe na team yako Mungu anakuona Manara ujue huu mwezi mtukufu ohoo!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hapa Nilipo Nimejawa Na Simanzi Nilipopata Taalifa Kuwa Andres Iniesta Hatachezea Tena Barcelona Kwani Amestaafu Andres Iniesta Jana Amemaliza Kuichezea Clubuni Hapo Baada Ya Kuizaba Real Sociedad...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hili ni jambo zuri sana mmefanya kwakweli. Na kwa jinsi timu ilivyo na mashabiki mtapata wabia chapchap. Ila sasa jiji lisitake kujilimbikiazia hisa nyingi. Itakuwa sawa na kazi bure. Nyie bakini...
2 Reactions
2 Replies
975 Views
Source SKY SPORT According to the sky sport today, ALEXIS SANCHEZ is looking foward to returning back to ARSENAL. The chillish stated that since he arrived in MAN U, he's always been disguised by...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
AMA kweli maisha bila unafiki hayaendi. ndicho unaweza kusema kuhusu Aserne Wenger baada ya mashabiki wa timu hio jumapili aprili 22 kubeba mabango ya kumpongeza kocha huyo siku chache tu baada ya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…