Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Naona unakuwa utamaduni sasa kwa bunge letu kualika timu bingwa wa ligi ya nchi yetu. Nadhani itakuwa jambo jema kwa timu bingwa wa kombe la FA kati ya Mtibwa na Singida United nae aalikwe bungeni...
0 Reactions
0 Replies
710 Views
"Huwezi kumdharau mpinzani,tunafahamu ni timu nzuri ndiyo maana wamefika hapo walio, tunejiandaa vizuri lengo letu ni kushinda mchezo ili tuweke nafasi nzuri kwenye kundi,muhimu ni mashabiki...
0 Reactions
65 Replies
11K Views
Baada ya kupigania nafasi ya kushiriki klabu bingwa ulaya hatimaye wamegonga mwamba klabu ya Chelsea na kujikuta wakiungana na maasimu wao washika bunduki wa jiji la London na kucheza ligi Moja...
0 Reactions
2 Replies
914 Views
Kwa YANGA HII YA SASA .ILIVYOCHOKAA 3000. MZUNGUNGUKO AMUWATENDEI HAKI WANACHAMA SIDHANI KAMA WATAKUJA MASHABIKI NILIJUA MTAWEKA KIINGILIO MZUNGUKO 750 VIP 3000. AMA 5000...ANGALIENI UPYA...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mabingwa wa ligi kuu ya soka ya Hispania, almaarufu kama La Liga, jana wamejikuta wakipoteza mchezo wao wa kwanza kwa msimu huu baada ya kupokea kichapo cha mabao 5-4 kutoka kwa klabu ya Levante...
5 Reactions
43 Replies
5K Views
ASIKWAMBIE mtu, Ligi Kuu England na makali yake yote itanoga zaidi kama itanasa mastaa hawa ambao wanatamba huko kwingine. Si kama kwenye ligi hiyo hakuna wachezaji wa maana, lakini kama mastaa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Pamoja na ushabiki hapa Haji S. Manara umeongea ukweli mweupe...ni mchungu ila ndio ukweli......kama mabadiliko ya mifumo ya uendeshaji wa hizi Club zetu kubwa mbili yasipofanyika hili...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
TBC 1 na TV 1 watakuwa live bila chenga mechi zote 32 mtaziona bure kabisa bila kulipia chochote. Dr Leakey na Mwl Kashasha watakuwepo. Full burudani Karibuni sana Russia world cup 2018
14 Reactions
85 Replies
11K Views
#HATA_IWE_VP_NITABAKI_KUWA_YANGA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kwanza inabidi ujiandikishe kwa watu watakao tegemewa kununua ticket yaan uwe miongoni mwao, alafu unaingia kwenye line yao au mchakato mzima, wao ndo wanapanga nani apate nani hasipate, Kwa...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Maana sio kwa kiwango kile walichotuonesha siku ya leo! Maana mechi ilikuwa km ya maveterani Wachezaji wanajivuuta km wamelazimishwa kucheza Wanakosa magoli ambayo hta watoto wa miaka kumi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Anaushawishi mdogo sana katika nyanja zote. Kunapotokea crisis msimtume Mkwasa kwenda kuimanage maana communication skills zake sio za kumshawishi MTU aliyekasirika akubali kufanyakazi. Hawezi...
1 Reactions
4 Replies
943 Views
Ngoma inmeanza ila uwanja una ukungu kishenzi.
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kijana anafanya kazi ya mawinga,straika,attacking midfielder na nyinginezo
3 Reactions
14 Replies
1K Views
This is Simba, kama unaumizwa na post kunywa sumu
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli, anatarajia kuwakabidhi Kombe Mabingwa wapya wa ligi kuu Tanzania Bara VPL ,msimu huu wa 2017/2018 Simba SC, katika mchezo wa Simba SC...
1 Reactions
53 Replies
9K Views
Habarini Chiefs Binafsi tangu mwanzo timu hizi zilipofuzu kuingia semi final ya FA cup nilishindwa kujua nani hasa ataweza kuchukua hiko kikombe,kulingana na aina ya uchezaji wa timu zote...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
1.Timu pekee Tanzania iliyoingia fainal michuano ya kimataifa CAF 2.Timu pekee kwa Tanzania iliyomtoa bingwa mtetezi 2003 kwenye michuano ya kimataifa 3.Timu pekee kwa Tanzania iliyotumia zaidi...
6 Reactions
55 Replies
6K Views
Mbona hata Liverpool, Hotspur, Everton, Man U, nk hata wao hawawi .mabingwa kwa miaka mingi kwanini iwe nongwa kwa Arsenal?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Davis Mwape Jaja Izechukwu Countinho Orji Obina Obren Curkovic Ndlovu Papa Ndew Robert Mba Nawakumbuka hao
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…