Kampuni ya michezo ya kubashiri ya SportPesa siku ya Jumatano ya Mei 9, imetimiza mwaka mmoja tangu ilipoanza uendeshaji wa shughuli zake za kibiashara nchini.SportPesa ambayo imeanzia nchini...
Klabu ya PSG ya nchini Ufaransa imemtangaza kocha Thomas Tuchel raia wa Ujerumani kuchukua mikoba ya Mhispania Unai Emery hii leo. Kocha huyo wa zamani wa Borrussia Dortmund na Mainz za Ujerumani...
Michezo inazidi kubuniwa, tumezoea mashindano ya ngumi, watu wanatwangana, kwa usimamizi wa refa. Katika mcho huu ambao Tayari 'umeisharasimishwa' huko Russia. Ni kuchapana makofi kwa zamu...
Jana akihojiwa na kituo cha Azam live kutoka Namfua stadium,msemaji wa simba Haji manara amesema,", Siku ya jumanne ataongea mambo mazito dhidi ya Yanga na kuanzia Siku hiyo wanayanga hawatatumia...
Imedhihirika jana baada ya mechi kali ya el clasico kwa mpambano ule ambao ulishuhudia Barcelona wakitumia zaidi ya dakika 50 wakicheza wakiwa pungufu ya mtu mmoja na bado wakafunga bao na...
Said Mwamba a.k.a Kizota alikuwa ni mchezaji mahiri kwa klabu ya Dar Es salaam Young Africans na timu ya taifa ya Tanzania. Watu wengi hawafahamu kwa nini mchezaji huyu...
Mimi nikiwa ni mpenda soka haswaaaaaaaa nimeshtushwa na kushangazwa na hili la yanga kutaka kuazima mchezaji wa lipuli ADAM SALAMBA ili akawasaidie kuwaongezea nguvu ktk michuano ya kimataifa...
Frenchman, Arsene Wenger took charge of his final game ar Arsenal yesterday bowing out of the club after 22 years and and 1,235 games.
In his post-match interview after Arsenal’s win at...
Edward 'Eddie' Hall(30) ni mshindi wa shindano la World's Strongest Man kwa mwaka 2017. Mbali na kupata ushindi katika mashindano hayo, aliweka rekodi ya dunia kwa kuweza kunyanyua Kilogramu...
Tarehe 13 Chelsea anashuka dimbani kukipiga na Newcastle kwny mechi yake ya mwisho huku Liverpool akikutana na timu ngumu EPL msimu huu ya Brighton and Hoves.
Liverpool anashindwa kupata nafasi...
Mchezaji wa kimataifa kutoka nchini Mbwana Samata anayecheza soka la kulipwa nchini Belgium emerejea katika ubora wake baada ya leo hii kuifungia magoli mawili timu yake ya Genk dhidi ya Sporting...
Majina haya yanawapa shida mashabiki, makocha, waandishi wa habari na wachambuzi mbalimbali
1. Sokratis Papastathopoulos
(Greece/Dortmund)
2. Jakub Błaszczykowski:
Poland (Wolfsburg)
3...
Niende kwenye mada moja kwa moja, mitaani kumekuwa na majigambo baina ya watani wa jadi kuwa Simba endapo kama itamaliza ligi bila kufungwa hakitakuwa kitu kipya mbali na kwamba walishawahi...
Nikiangalia msimamo wa ligi hii napata mkanganyiko namna gani wanagawa points.
Kwa mfano;
Club Brugge wameshinda mechi 3, draw 2, wamepoteza 3 wana alama 45, zinatoka wapi hizi?
Tusaidiane hapa...
Kwa upande wangu licha ya Azam Tv kuwa watu wazur katika uchambuz katika kipindichao cha michezo (Sport@8) kama Jeff, Edo Kumwembe, Kitambi etc lakin naona bado hawajafanikiwa kuishusha Sports Bar...
Anaitwa Rui Felipe da Cunha Faria au maarufu kwa jina la Rui Faria ambapo alizaliwa 14 June 1975 huko nchini Ureno. Kwa taaluma ni Kocha lakini pia ni mtaalam wa elimu ya viungo na mazoezi.
Kocha...
Salah anafunga sana, KDB ana assist sana, na wote ni tegemeo kwenye timu zao, unahisi nani anapaswa kuwa Mchezaji bora wa Msimu?
Kwangu mimi nampa nafasi Salah.
Ukiambiwa watu barani Afrika wana pesa usikatae kwa vile wewe hauna, unaambiwa mmiliki wa klabu ya Mamelodi Sundown ya nchini Afrika Kusini, Bilionea Patrice Motsepe amejitosa kulipia kiasi cha...