Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Tumejionea wenyewe mechi za hivi karibuni kati ya Simba na Yanga, Washabiki Simba wanakuwa zaidi ya mara mbili ya wale wa Yanga wanao ingia Uwanjani, Takwimu Za TFF zinaonyesha VPL 2018 Simba...
5 Reactions
30 Replies
11K Views
Dani Alves has been ruled out of the World Cup for Brazil with an anterior cruciate ligament injury that requires surgery. He's the player with most trophies in football history. He has every...
0 Reactions
2 Replies
588 Views
Mashindano yameanza leo na yanategemea kumalizika kesho
0 Reactions
1 Replies
968 Views
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
6 Reactions
60 Replies
6K Views
Patashika ya ligi kuu Tanzania Bara VPL, kuendelea leo uwanja wa Namfua Stadium kati ya Singida United na Simba SC. Katika ligi kuu Tanzania [emoji1241] Bara VPL, Singida United wanataka kulipiza...
5 Reactions
78 Replies
12K Views
Ili kuweka historia ya Ubingwa wetu kwa mwaka 2018/2019 Uongozi wa Klabu Bingwa Tanzania ukodishe helikopta ambayo itawabeba mashujaa wetu na kuwatua katikati ya uwanja na baada ya mchezo na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nafikiri wote tumejionea hali ya Klabu mpaka kufikia hapa tulipo, Kufungwa na kukosa ubingwa si jambo la ajabu. Kwa Yanga hii jambo la ajabu na aibu ni mazingira tuliyonayo ambayo yanatufanya...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Uongozi wa klabu ya Yanga kupitia Mwenyekiti wa Matawi nchini, Bakili Makele, umelitaka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) uwalipe fedha zao haraka wanazozidai. Kiongozi huyo ameeleza kuwa TFF...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Haijalishi leo kuna mvua kiasi gani ni muhimu kutangaza ubingwa haswa na msikasirike jamani ndo mchezo wenyewe huo. Ya kimataifa kialali sasa inasepa hata pembe hamjaiona lo!
0 Reactions
0 Replies
569 Views
Siku z hivi karibuni nimekuwa Niki experience changamoto hii!! ya Ku explain mchezaji mpaka umuite world class player anatakiwa awe amefanya nini? au ananini? katika career yake ya soka Kuna...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nakumbuka uliitanga Tanzania katika ulimwengu Kick box. Je uko wapi ama nani ajuae alipo?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Klabu ya soka ya Yanga ya jijini Dar es salaam tayari imetangaza kuwaandikia barua klabu ya soka ya Lipuli FC ya mkoani Iringa, kumuomba Mshambuaji Adam Salamba kwa ajili ya Caf Confederation Cup.
0 Reactions
22 Replies
8K Views
UKOMO wa Jamal Malinzi bila hivyo asingekubali simba kuwa bingwa(prank)
5 Reactions
15 Replies
3K Views
Patashika ya ligi kuu Tanzania Bara VPL, kuendelea leo kwa mechi kali kupigwa kati ya Wajelajela Tanzania Prisons ambao wanawakaribisha Yanga SC kwenye uwanja wa Sokoine Mjini Mbeya. Hizi ni...
4 Reactions
195 Replies
27K Views
MATATIZO YA YANGA NDIYO YALIYOWAPA UBINGWA SIMBA, HILO WALITAMBUE Yanga imekuwa mabingwa wa ligi kuu ya Vodacom kwa misimu mitatu mfululizo na pia ni mabingwa wa kihistoria wakiwa wametwaa taji...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Swali hilo hapo juu. Majibu yenu tunataka. Tena mtuambie Yanga itatokaje kwenye hali hiyo? Kama hamna majibu, kwa nini bado mko ofisini?
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Mnaleta siasa kwenye soka?? Ajib mke wake mjamzito hvyo kashindwa kusafiri na timu, tshitshimbi mgonjwa toka lini?? Semeni tu hali ni mbaya huko klabuni acheni kuzunguka mbuyuu
5 Reactions
70 Replies
7K Views
wale wapenzi, wanachama na mashabiki wa simba Leo hii tunatangaza ubingwa tukiwa tumekaa kwenye makochi .. kwani yanga lazima afungwe au atoe draw na Prison... na hivyo hawezi kufikisha points 65...
9 Reactions
26 Replies
4K Views
1. Kufunga goals 5 katika single match kwenye UEFA champions league competition ilikuwa ni mechi dhidi ya Bayern Leverkusen 2. Kufunga hatrick katika pambano la watani wa jadi la Elclasico hii...
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Raha ya ushindani katika mpira ni tatu Kwanza ni Kushinda,pili ni kuchukua kombe lakini kubwa zaidi ni kuona mpinzani anapoteza pointi 3. Furaha ya...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…