Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kiukweli huu mwenendo wa timu yangu penda si stahiki kabisa.. Yaan sasa mmeamua kugawa tu oroda kwa kila timu, hata timu za vichochoroni kama Prison.. Mnatutukanisha kabisa shabiki zenu huku...
1 Reactions
3 Replies
945 Views
Hakika Klabu ya WANANCHI YANGA kwa hiari yake Leo imeukabidhi Ubingwa wa Kandanda Tanzania Bara lea Klabu ya Simba.Yanga imeutema ubingwa huo baada ya kipigo kutoka lea Klabu ya Prison ya...
3 Reactions
29 Replies
7K Views
Huu ni utabiri wangu unaweza kubashiri pia!
10 Reactions
160 Replies
15K Views
Haji atoa takwimu zake na kusema kuwa SIMBA ndio ya thamani kuliko zote EAST AFRICA
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Tunayo kila sababu ya kujipongeza, hasa wachezaji,uongozi,mashabiki wa kweli,si kazi rahisi pamoja na kutemewa mate,kuitwa mikia hatimaye tumechukua ubigwa unaotokana na ujuzi bila lawama...
7 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu kila nikijiunga supabets unashindwa kupokea verification codes kwa njia ya SMS. Naomba msaada labda kama kuna njia nyingine au namba zao za simu
0 Reactions
0 Replies
5K Views
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison George Mwakyembe ameutaka uongozi mpya wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) kuhakikisha vyama na klabu hawabinafsishi vyama na klabu...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
[emoji821]BEKI Mtanzania, Abdi Banda, anayecheza soka la kulipwa nchini Afrika Kusini katika Klabu ya Baroka, amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Aprili na Mei 2018 kwa upande wa klabu hiyo...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Juzi jumamosi nliangalia kikosi cha yanga kilichoenda algeria...nkaona ni kikos dhaifu sana...nkaskiza na news (sports xtra)...nkasikza na maneno ya kocha wa yanga akisema wanaenda kutafta droo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Shirikisho la soka nchini (TFF) limeviagiza vilabu vya Coastal Union na Yanga SC, kufanya uchaguzi ili kuziba nafasi zilizoachwa wazi na viongozi wao waliojiuzulu. Itakumbukwa kuwa hivi karibuni...
0 Reactions
0 Replies
991 Views
Kombe la shirikisho la afrika,caf confederation cup leo hii↙↙⏬ Usm alger vs Yanga sc Muda saa 22:00 pm EAT➡ live on ZBC 2 Kila la heri yanga.#naipenda yanga Daima mbele nyuma mwiko
1 Reactions
146 Replies
18K Views
Nadhani watu wengi tunakumbuka ile Barcelona ya 2009-2012 ambayo kwa wengi ni timu bora kabisa katika kizazi hiki cha soka, kuanzia ugawaji wa vipigo,kandanda safi na uwezo binafsi wa wachezaji...
41 Reactions
319 Replies
24K Views
Leo ktk pitapita zangu mitandaoni..nikitafuta facts za teams nilizotaka kubet Nikakutana na club inayofahamika kwa jina tajwa hapo juu. Huyu ni striker mtnz ana miaka 25, mwenye asili ya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mabingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL), Chelsea wanatarajiwa kulamba kitita cha bilioni 434 za Kitanzania kutoka kwa wasimamizi wa ligi hiyo inayotarajiwa kumalizika wikiendi hii. Fedha hizo...
2 Reactions
69 Replies
18K Views
https://r2---sn-nx5jvh-q5ge.googlevideo.com/videoplayback?type=video%2Fmp4%3B+codecs%3D%22avc1.42001E%2C+mp4a.40.2%22&itag=18&source=youtube&fvip=3&pl=20&ei=iC3wWrzYGoiv1wK28oywCA&lmt=1521218225269...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Kwa haraka haraka tuu hapa lazima uanze na Roy Keane na Patrick Viera couple nyingine ndo zifuate..... Tukumbushane pea nyingine .....
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimeifuatilia Timu hii kwa muda mrefu nimebaini kwamba kwa kiwango ilichoonyesha haikustahili nafasi iliyopo , inapaswa kuwa juu ya vibonde Arsenal na Chelsea . Kiukweli ilistahili kucheza Ligi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Dimba la Taifa jijini Dar es salaam liko shwari kabisa kuelekea mtanange wa ligi kuu Tanzania Bara VPL. Simba SC vinara wa ligi hiyo wakiwakaribisha Ndanda FC kutoka mkoani Mtwara. 0'1 mpira...
6 Reactions
65 Replies
11K Views
chelsea vs Liverpool :::game started Usm alger vs yanga Real madrid vs barca Twende kazi Dk 30 Goooooool Chelsea 1:0 Liverpool
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Real Madrid vs Barcelona 6 May 2018. Madrid line up -Navas -Nacho -Varane -Ramos -Marcelo -Casemiro -Modric -Kroos -Benzema -Ronaldo -Bale Sub - Casilla -Vallejo -Theo -Vazquez...
0 Reactions
9 Replies
920 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…