Meneja wa zamani wa timu ya Uingereza ya Liverpool Jurgen Klopp ameteuliwa katika nafasi mpya kuwa mkuu wa shughuli za soka katika kampuni ya Red Bull, ambayo inamiliki klabu za RB Leipzig ya...
Tupo na jamaa zangu kijiweni, tukifanya mazungumzo kuhusu soka. Ghafla mmoja wetu akatokea na kusema, "Unajua, mama anaupiga mwingi sana, hasa kwenye suala la kununua goli moja kwa milioni tano!"...
Nimeamka zangu Asubuhi hapa,baada ya kupiga Ishara ya Msalaba kumshukuru Mungu kwa kuniamsha salama,
Nashika simu nakuta Reminder ya kua Leo ni Derby ya Kariakoo Moja ya Derby kubwa sana Afrika...
Nadhani wenyewe hawajui ila bora wangeweka HQ yao iwe Dar tu kwakeli.
Huku Tanzania toka jana habari ya mjini ni makundi yaliyopagwa huko CAF champions league na CAF confederation cup.
Hii nchi...
I will be short
a big team is a big team. Simba is a big team. Big team is seen in big stages. Simba cafcc group it's Simba vs mid arabs teams.
Simba has bigger budget. bigger fan base...
Je, mtu ambaye hajawai kabisa kucheza wala hajui chochote kuhusu mpira wa kikapu (basketball) [emoji459] anaweza kujifunza mpaka akawa mchezaji bora wa mchezo huu?
Pia ni qualifications gani mtu...
Mashabiki wa Kandambili mkae mkijua mechi ya Oktoba 19 kipigo kinawasubiri, LUNYASI tupo tayari, tumejipanga ipasavyo kutoa kipigo Cha mbwa Mwizi.
Siku hiyo mtatoka Lupaso vichwa chini, Utopolo...
LeBron James and Bronny James made NBA history by becoming the first father-son duo to play together on the same team during the Los Angeles Lakers' pre-season game against the Phoenix Suns...
Nasikia huyo mkulima aliwafunga Ronaldo, sisqo na noel, Nimeshuhudia hata mabingwa wengine wa playok wenye point 1500+ anawafunga, halafu cha kushangaza zaidi nasikia hachezi copy..
Huyu mtu...
Tazama sehemu ya mazoezi ya Simba wakiwa kambini kwao Mbweni Jijini Dar es Salaam. Kumbuka leo ni siku maalum ya waandishi wa Habari (Media Day) kufanya mazungumzo na viongozi, wachezaji na benchi...
Nimewahi kusema na narudia kusema huyu kijana ana gundu. Tangu afike hakuna chamaana Simba alicho fanya.
Tutabadili wachezaji wote, makocha wote ila hatutafika popote.
Hana bahati na Simba.
07 October 2024
MICHUANO YA KANDA YA CECAFA U-20 KUELEKEA FAINALI ZA AFCON YA U-20 INAENDELEA DAR ES SALAAM
https://m.youtube.com/watch?v=4u3RG9q7e7w Benchi la ufundi la Tanzania chini ya kocha...
I will short
Yanga previously anticipated a tough group to disappoint one of the favorites to win the CAFCL.
They wanted sundowns, to enhance it's presence and superiority in the cup. But as...
Mjadala ni tangu jana kutoka kwa droo ya Caf ,
washabiki maandazi wa hizo timu mbili mbeleko fc za kariakoo wacha nizitaje utopolo na makolo.
Wanashangilia eti kwa kuwatizama wapinzani wao...
Wajue Wapinzani wa Simba SC Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika
Katika hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, Simba SC inakutana na wapinzani wenye historia kubwa katika michuano hii...
Droo imepangwa, lakini ni Kama mashabiki wa utopolo imewaumiza kuona Simba anaenda fainali kabla hata ya kucheza.
Kinachonishangaza wameanza kuikisoa CAFCC ( Ambao wao pia walicheza ), na kusema...
Huyu jamaa hajulikani ni nani haswa, ana copy/kete zisizojulikana na finishing kali sana anafunga nazo watu, Ronaldo pale manyanya alisema mkulima anatumia dalmax ya kulipia ya tshs laki 3, hiyo...
Ningekuwa na uwezo ningeenda kuwachapa bakora hao mashabiki. Jumatatu hii muda wa kazi hakuna pa kukanyaga mitaa ya Jangwani na Twiga kisa droo ya CAFCL, hizi timu ni msiba.
Habari wandugu.
Kuna trend kwenye mpira wa kisasa kwa maoni yangu hazina faida badala yake zinaharibu natural flow ya mpira.
1. Team kucheza na inverted wingers! Ilianza kama mzaha na Wakina...