Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Siku chache baada kocha wa Arsenal Arsene Wenger kutangaza kung'atuka , kuna uvumi kwamba huenda akajiunga na Mabingwa wa Ufaransa PSG. Tayari PSG imetangaza kwamba kocha wake Unai Emery...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu! Kwanza NAPENDA NIJIPONGEZE na NIWAPONGEZE mashabiki, wapenzi na wadau wote wa Simba kwa ushindi wa jana dhidi ya watani zetu wa jadi, Yanga. Leo mtaani kutamu kweli, watani kama...
2 Reactions
7 Replies
7K Views
Nchi yetu imejaa majitu majinga, badala ya kuwaandalia hawa mashujaa mapokezi kuna mazezeta yanabana pua tu this is simba, very stupid.
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakati tukielekea kwenye fainali za kombe la dunia zimesalia siku kadhaa leo tutajikumbusha mambo yaliowai kutokea miaka kadhaa iliopita juu ya kisa cha ‘’WIZI WA KOMBE LA DUNIA 1966’’ Wadau wa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari Jana kuikuwa na mechi ya mpira wa miguu kati ya watani wa jadi na timu kongwe kabisa Simba na Yanga. Kwa jinsi Azam walivyo itangaza ikiwafanya watu waizungumze sana hiyo mechi mpaka...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama hujanunua tiketi yako ya Derby ya Jumapili nakuomba sana wahi sasa hivi kanunue kwani tayari Yanga SC wameingia ' mtegoni ' huko Morogoro na sasa wanagombana na kulaumiana kwani mbinu...
8 Reactions
75 Replies
7K Views
Kwa taarifa za ndani kabisa ambazo nimehangaika mno kuzinyaka / kuzipata kutoka katika Klabu ya Yanga zinasema kwamba kuna Wachezaji Watatu ambao ni Wakristo inasemekana wanalazimishwa ili wabebe...
9 Reactions
63 Replies
11K Views
Uwezekano wa Yanga kutetea kombe lake la VPL msimu huu 35% tu. Wapenzi wa Yanga bila shaka watakuwa na sababu nyingi za wazi kujitetea kama Yanga itafungwa na Simba au kuupoteza ubingwa...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Nani anajua zaidi?
1 Reactions
60 Replies
13K Views
Habari wadau,kwa wale wapenzi wa kubeti bila shaka mtakuwa mnaifahamu kampuni hii ya kubetisha online ya bikosports. Hii kampuni nimeanza kuhisi ni kikundi cha matapeli sababu imekuwa shida sana...
0 Reactions
12 Replies
10K Views
Nimepita hapa Uwanja wa Taifa kuna kundi la watu linazozana kumbe ni Makomandoo wa Yanga na Simba wamekuja kulinda Uwanja ili kuzuia vitendo vya kishirikina,hizi timu kwa Tanzania imekuwa zaidi...
4 Reactions
54 Replies
5K Views
Asalaaam Wandugu zangu, Natumai kwa Uweza wa Mwenyezi Mungu Kila Mwana JF Yupo OK. Napenda kuchukua fursa hii kutoa maoni yangu juu ya matokeo ya vilabu vyetu 2 Simba vs Yanga na matokeo mabaya...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Simba hii imechezo haiwapeleki popote
1 Reactions
12 Replies
2K Views
kwa yoyote anayejua makao makuu ya play master sport betting kwa kinondon anielekeze plz
0 Reactions
6 Replies
4K Views
kwa wale wajuz wa mambo ya karate naomba mnifahamishe hili..kuna style kama shaolin,taekwondo,wing chun,judo,Tai chi nk.je kati ya hizo ni ipi mtu akijifunza inaweza mfaa endapo atahitaj kujilinda...
0 Reactions
28 Replies
12K Views
Inakera sana kuona viongozi wa Yanga waliopo hata hawakerwi kufungwa na simba. Hata uchukue Klabu Bingwa Afrika kama hujamfunga simba ni mchuzi bila chumvi. Kina Mkwasa mmechoka tokeni achieni...
0 Reactions
3 Replies
977 Views
Hivi majuzi shirikisho la riadha limebadilisha sheria zake zikiwalenga wanawake ambao wamekuwa na maumbule na nguvu kama za wanaume kutoshindanishwa na wanawake wengine kutokana na maumbile yao...
2 Reactions
15 Replies
5K Views
Kwenye app ya live goal,ratiba inaonesha mechi inachezwa saa tisa alasiri,ninawahi sehemu ya kuangalia mpira,nakuta uchambuzi wa mechi ndio unaendelea,kwa nini mnakuwa waswahili waongo waongo hadi...
0 Reactions
1 Replies
804 Views
WAPENDWA Tuwekeane hioo nditu wambali tuone pia
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…