Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

M. Bet pafect 12. 1= ? 2= ? 3= ? 4= ? 5= ? 6= ? 7= ? 8= ? 9= ? 10=? 11=? 12=?
0 Reactions
0 Replies
637 Views
Ndugu wazee wenzangu msaada anayejua sheria za mchezo wa keno namna ya kucheza (kubashiri namba ) anifahamishe....
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mazee game hizi mnazionaje......? Hull city vs Leeds. Millwall vs Derby. West ham vs crystal palace. Burton Albion vs Reading.?
0 Reactions
0 Replies
610 Views
Check out @bbcsport_david’s Tweet: Pierre is 80% a gooner BREAKING: Arsenal close to reaching agreement to sign to striker Pierre-Emerick Aubameyang from Borussia Dortmund for club-record fee...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa soka la uhakika walilokuwa wanalitandaza hawa jamaa, inasikitisha kuona walitoka bila taji la UCL. Hii ni picha ya kikosi iliyopigwa dakika kadhaa kabla ya Fainali ya Uefa Champions League...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini wanajamvi, Kichwa cha habari hapo juu ndicho kinabeba maneno yangu humu ndani. Ni kwamba Napata masikitiko makubwa sana juu ya hizi timu zetu hasa zinazoshiriki Ligi Kuu. Jana Simba na...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Huyu ni baba yake ronaldinho gaucho, Ona video kumbe jamaa karithi kwa mshua
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Simba inamaliza mzunguko wa kwanza ikiwa kileleni kwa point 35 magoli 36 Okwi akiongoza kwa kufunga magoli 12 kati ya mechi alizocheza ktk mzunguko wa mechi 15 round ya kwanza Magoli ya Simba Leo...
12 Reactions
15 Replies
5K Views
FIFPRO WORLD XI: 1. Gianluigi Buffon 2. Dani Alves 3. Marcelo 4. Sergio Ramos 5. Bonnuci 6. Luca Modric 7. Neymar Dos Santos 8. Toni Kroos 9. Cristiano Ronaldo 10. Andres Iniesta 11. Lionel Messi...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za wakati huu ndugu zangu, nina imani mpo salama pitia kichwa cha hapo juu hivi tunasubiria nini kumkabidhi MWL Kashasha kupewa timu ya taifa akafundisha, huyu jamaa ukimfatilia akiwa...
6 Reactions
35 Replies
6K Views
Katika hali ya kusikitisha waafrika bado tunaonekana kuendelea kuamini imani mbovu mbovu.baada ya kubainika kuwa ile team ya majimaji jana ilikuja uwanjani ikiamini kuwa mashambulizi ya team ya...
0 Reactions
1 Replies
787 Views
Gamers hasa wa ps4 tukutane hapa tubadilishane na cd pia
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Vp wadau wa JF,, kwangu kidogo inanipa mawazo nasinto fahamu kwenye, kutokana na Jinsi wegner anavyo ipeleka team kwakuuza wachezaji wenye msaada mkubwa Katika kujisikia??????????
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tuwe pamoja kwa updates za mechi ya Azam na Yanga itakayochezwa uwanja wa Chamazi Complex Kikosi cha Azam Razack Abalora, Himid Mao, Bruce Kangwa, Agrey Moris, Yakubu Mohamed, Stephan Kingue...
1 Reactions
95 Replies
19K Views
-Beki wa Klabu ya Kagera Sugar, Juma Nyoso aliyekuwa ameshikiliwa na jeshi la polisi mkoani kagera kwa kosa la kupiga na kujeruhi ameachiwa kwa dhamana leo asubuhi. -Jeshi la polisi mkoa wa...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Katika soka,tangu kuanza kwake mpaka wakati huu wamepita binadamu ambao kwa upande wao wameonesha maajabu yao katika mchezo huu pendwa duniani. Katika kundi hilo la wachezaji wapo vinara watatu...
1 Reactions
37 Replies
5K Views
Kikao cha Wachezaji, Benchi la Ufundi, Kamati ya Mashindano na Uongozi wa Juu wa Yanga kilichofanyika hivi karibuni kujadili hali timu katika Ligi: Uongozi waliwapa nafasi wachezaji kwanza...
1 Reactions
34 Replies
5K Views
Ni pale mtangazaji wa mpira redioni anapoacha kuutangaza mpira unavyochezwa uwanjani badala yake anatangaza mpira wa upande mmoja anaoushabikia (timu yake) na kuwanyima ukweli wasikilizaji wake...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Man city anaongoza ligi kwa tofauti ya point 12. Barcelona anaongoza ligi kwa tofauti ya points 11. Buyern anaongoza ligi kwa tofauti ya point 16. PSG anaongoza ligi kwa tofauti ya points 8...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…