Big up sana kwa mwigulu timu ina udhamini wa
1.Yara
2.sportpesa
3.NMB
4.ORYX
5.PUMA
6.Azania
7.Halotel
Bado kuna
1.azam tv
2.vodacom
Simba na yanga mnakwama wapi?
Wakuu heri ya mwaka mpya...
Kwanza kabisa mimi nimekuwa shabiki mkubwa sana wa timu pendwa ya Chelsea.
Huwa nakaa na kutafakari sababu iliyomfanya Conte amuuze Costa na kuchukua Morata ilihali...
Kipindi nasoma elimu yangu ya msingi nakumbuka hasa
nilipofika darasa la 5 nilianza kuona ukali wangu katika somo la Maarifa ya jamii na nilitokea kulipenda mno ni kwasababu lilikuwa na...
Tazama wachezaji wa michezo tofauti wanavyotibiwa baada ya kushiriki michezo hiyo ikiwemo muogeleaji Michael Phillips, Mchezaji soka Mario Balotteli na Bondia Anthony Joshua.
Mimi si shabiki wa Man Utd na mara nyingi siipendi sana. Lakini kuna jamaa ananifanya niwe naiangalia Man Utd kila inapocheza. Antonio Valencia ndio kivutio changu na anayefanya niwe naangalia...
Team ya mpira Biashara united Fc kutoka Musoma mjini leo jioni imeifunga team ya Alliance Fc ya Mwanza kwa goli mbili na kupanda hadi nafasi ya kwanza katika msimamo wa kundi leo baada ya Dodoma...
Akiwa anaongoza kwenye assist Primier ligue, Pogba anabaki kuwa mchezaji makini katika sector ya kiungo!!
Siku akiumwa basi jua wiki nzima mourinho atakua anaumwa na kichwa kwa gab lisilozibika...
Kuna raha yake kumuona mchezaji wa nchini akacheza mpira huko LaLiga,Bundesliga au pale kwa Malkia.
Unamuona mtu wa Kondoa,Kyela au Mbagala akicheza timu moja na Messi au yupo pale kwa Mourinho na...
Aliyekuwa mchezaji wa Barcelona anayekipiga kwa matajiri wa Ufaransa klabu ya Paris Saint-Germain inayomilikiwa na mfanyabiashara kutoka Falme za kiarabu, Sheikh Nasser bin Ghanim Al-Khelaïfi...
Habari wanaJF,Binafsi nilikuwa msikilizaji mzuri wa vipindi vya michezo ktk Redio zetu za Tz, hasa E-FM,Magic FM,RFA,Clouds na zingine kadhaa,lakini nilichoshwa na Radio hizi kuwa zinatafuta...
Imekuwa ikiendelea michakato ya kubadili mifumo ya uendeshaji vilabu vyetu hapa inchini,ambalo ni jambo jema sana na la kuungwa mkono.
simba wamefanikiwa kufikia hatua za mwisho kwa zoezi hilo...
Ajikatisha ngwala kwa mchezaji huku akiingilia mchezo wa timu ya Nantes. Baadaye alionekana kutaka kumchota mtama mchezaji huyo. Bila kuridhika na hatua hiyo refa alionyesha ukauzu wake kwa...
Mkeka umegeuka shubiri kwa kampuni ya michezo ya bahati nasibu na kubashiri matokeo ya michezo, Supabets ya jijini Dar es Salaam baada ya kushindwa kuwalipa wateja wake waliodai kushinda kiasi...
Refa ambaye anadaiwa kumrushia teke mchezaji wa klabu ya Nantes nchini Ufaransa kabla ya kumfukuza uwanjani mechi yao dhidi ya Paris St-Germain amesimamishwa kazi.
Chama cha Soka cha Ufaransa...