Naomba msaada wa kujua namna mtu anavyoweza kufuatilia zawadi anapocheza kupitia link > shindaiphone.ml na kupata matokeo ya HONGERA kuwa ameshinda iphone 6. Yeyote anayefamu kuhusu jambo hili...
Simba imevuliwa ubingwa wa Kombe la Shirikisho baada ya kufungwa kwa penalti 4-3 dhidi ya Green Worriors inashiriki Ligi Daraja la Pili.
Mechi hiyo iliyochezwa kwenye Uwanja wa Azam Complex...
Wadau wa soka wana kila sababu ya kuingia hofu juu ya utendaji wa shirikisho la soka nchini (TFF) lililo chini ya Wallace Karia na Michael Wambura.
Baadhi ya maamuzi yanayofanywa shirikisho hilo...
Tanzania ni moja ya mataifa yanayoingia katika mageuzi ya uendeshaji wa vilabu vya mpira kufuata taratibu za kampuni. Ambapo maamuzi ya mwisho ya club yatafanywa na wenye hisa. Mfumo huu...
Jamiiforums ni lulu sana kwangu, nimepata kazi na kujifunza mengi kupitia jukwaa hili. Elimu yangu ni ya kawaida sana ila ninaweza kuwapa msaaada wa kimawazo na kitaalamu marafiki na baadhi ya...
#HajiManara hi si sawa.
2mekuwa 2kisema mara nyingi kwamba simba imekua mbovu kwa miongo mingi sasa. Na daima imekua ikijificha ktk kivuli cha akina Malinzi&Mwesiga, Tenga na hadi kipindi kile...
Nimemskiliza kwa makini sana,eti anasema Asante Kwasi sio mchezaji anayemilikiwa na Lipuli,ni mchezaji yupo chini academybya ghana kupitia kwa Agenti wake, so Lipuli wakizingua wanamchukua juu...
Tanzania imeporomoka kwa nafasi tano kwenye viwango vya shirikisho la soka duniani, FIFA kwa mwezi Novemba.
Taarifa iliyotolewa na FIFA inaonyesha Tanzania inashika nafasi ya 147 kutoka ya 142...
Nipo hapa nashuhudia wakitoa kipigo cha mwizi kwa Totenham Spurs cha goli 4. Daaah, hawa jamaa msimu huu aisee, wananikumbusha Arsenal ya msimu wa 2004/2005.
Mwanachama na mshabiki Nguli wa Simba sports club,Fii kambi Amefariki Dunia Khafra Akiwa Nyumbani kwake Magomeni Leo hii....innalillah wainalillah rajiun!!!!
Na uhakika Pogba akiendelea kupangwa kama anavyopangwa Man u itaendelea kupoteza na pia Pogba ataonekana si chochote
Pogba anapaswa acheze No 8 huku akiachwa free kuzunguka uwanja kwa uhuru kama...
Hiyo ni kwa mujibu wa sera mpya ya michezo ambapo kanuni zake zinaandaliwa na mamlaka husika.
Chanzo: TV 1 habari!
My take Mo wa Simba SC atapona kweli?!!
Ni aibu timu ya kisasa kabisa kuborongaboronga kwa mambo ya kawaida kabisa yasiohitaji rocket sciences kuyafanya.
Simba mlianza lini kuanza kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na mchezaji Astante...
Kiungo wa zamani wa Brazil Ricardo Kaka ametangaza kustaafu kucheza soka jana akiwa na miaka 35. Klabu ya mwisho kuichezea ni Orlando City ya Marekani.
Amewahi kutwaa Ballon d’Or mwaka 2007...
Ndugu zangu wana Yanga Mzee AkiliMali ni mtu wa kigoma na watu wa kigoma wanajulikana kwa sifa ya ubishi na kutokushindwa ,upande wa simba alikuwepo Mzee Kilomoni mzee wa pwani lkn mzee huyu...
JICHO LA MWEWE: Simba inahitaji wanaume watatu wa nguvu
By EDO KUMWEMBE
TUKUTANE uwanja wa ndege. Simba itakuwa inasafiri labda kwenda Rwanda, Yanga itakuwa inasafiri kwenda Misri. Kule kwa...
Hope mpo swalama,
Kwa mlioangalia mpira nadhani mnaelewa mpira mmbovu manchester united alioucheza licha ya kushinda.
Timu kubwa kama man c ya kupaki basi na kulimg'oa matairi mda wote ule...
Naona wadau wengi wanamdaganya uyo Zanzibar hero,, leo mechi ya fainali anapigwa goli 4 bila majibu toka kwa kenya.
Chezea wote lakini siyo Kenya kwenye ardhi yake ya nyumbani