Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Leo ni fainali Kati ya Kenya na Zanzibar kuwania kombe la CECAFA na dakika ya tano Kenya inaandika bao la kwanza kupitia kwa Ochieng Ovella baada ya kupiga mpira wa adhabu ndogo. 18' AbdulAziz...
0 Reactions
90 Replies
17K Views
Ile sinema ya kihindi ya Sterling kupiga wenzake mwanzo hadi mwisho imemalizika rasmi leo baada ya Wababe Celtic kutandikwa na Hearts bao 4-0 Ikumbukwe kwamba Celtic hawakuwahi kupoteza game...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Antoine Griezmann: Nyota wa Atletico Madrid aomba radhi baada ya kujifanya mweusi 18 Disemba 2017 Haki miliki ya picha@ANTOINEGRIEZMANN Image captionGriezmann aliifuta picha hiyo kutoka kwenye...
0 Reactions
0 Replies
828 Views
Wanzanzibari wamejitokeza kwa wingi kupokea mashujaa.
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Sasa tunaiona Manchester city yenye wachezaji kama Sergio aguero, Raheem sterling, leroy Sane ikipiga kila inayekutana nae. Hili limenipa wazo moja, kumbe premier league ukiwa na timu yeye...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Hivi mnakumbuka wakati ligi inaanza? Man untd walianza kwa kila aina ya mbwembwe na kujipa majina kama wazee wa 4g na mengineo.. Enzi hizo striker wao Lukaku anafunga balaa, wakaanza kuwatukana...
13 Reactions
82 Replies
8K Views
Cris Froome bingwa wa mbio za baiskeli wa dunia kutoka TEAM SKY , anakabiliwa na tuhuma za kuzidisha kiasi cha dawa ya pumu ya salbutamol anayoitumia kutokana na ugonjwa wa pumu unaomsumbua. Hivi...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Kocha wa Everton Koeman katupiwa Virago na klabu yake kutokana na matokeo mabovu. Mholanzi huyu alifanya vyema akiwa na Southmpton ila Everton imemshinda. Kwa heri Koeman Everton
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Wadau kuelekea mechi kubwa wikiendi hii kati ya arsenal dhidi ya Manchester United hapo jumamosi nimeona sio kesi kuanzisha uzi huu kwa ajili ya wapenda soka tujuzane yatakayokuwa yanajiri mpaka...
3 Reactions
143 Replies
15K Views
Match iko RTS 1 kwenye other channels. Bonyeza remote kwenda kulia utaona other channels huwa wanaonyesha match moja ya epl kila jumamosi.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hill ni jina LA kocha wa Zanzibar heroes.ila anajulikana zaidi kama hemed MORROCO.anaejua historia yake ya kuitwa hilo jina atuambie
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Updates... MANCHESTER CITY NDIO TEAM BORA KWASASA BARANI ULAYA!
4 Reactions
60 Replies
6K Views
EPL imekuwa timu ya ligi moja tu tena Man City. Team zote kubwa zimepokea vipigo toka kwa Man City. Kwasasa Man City pale EPL hana tofauti na PSG kwa Ufaransa, Bayern kwa Ujerumani na Juve kwa...
11 Reactions
49 Replies
4K Views
Kabumbu lishaanza kupata joto katika dimba la Moi, mjini Kisumu. Ni nusu fainali ya pili kila timu ikisaka kuingia fainali. Dakika ya 5: Uganda 0-0 Zanzibar Dakika ya 25: Uganda 0-1 Zanzibar...
3 Reactions
103 Replies
15K Views
Bila shaka huyu ni kiungo mchezeshaji bora kwasasa katika EPL, huyu jamaa ndio injini ya Man City katika mabao. Mpaka leo nashangaa ni kwanini Chelsea walikubali kumuuza kirahisi. Kevin De...
19 Reactions
81 Replies
12K Views
Nimejaribu kukiangalia kikosi cha zanzibar kwenye michuano ya kombe la chalenji inayoendelea nchini kenya ambako timu yetu ya Kilimanjaro stars imeambulia patupu, ninashauri kocha wa Stars ateue...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Yanga pamoja na kujiita wa kimataifa hadi wakati huu ninapoandika Uzi huu hawana kiwanja zaidi ya kumiliki bwawa la kufugia vyura pale Jangwani. Sasa wamezidiwa na Kigoma. Kupitia ukurasa wake wa...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Ni dhahili sasa hv City ndo bingwa Epl na hili hata sisi haters by nature tushalikubali ....ombi langu kwako Guadiola,mpaka sasa ushatupotezea ladha ya Epl.....huku tulishazoe big four watu...
2 Reactions
6 Replies
863 Views
Wazee wa mkeka utajir huo
1 Reactions
3 Replies
611 Views
Naendelea na L - ionel Messi
0 Reactions
12 Replies
921 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…