Youssouph Dabo ametangazwa rasmi kuwa kocha mpya wa AS Vita Club, klabu maarufu kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Dabo anachukua nafasi hii baada ya kuachishwa kazi na Azam FC, ambapo...
Mtanange huu unapigwa kmc complex na uwanja unaonekana umependeza mashabiki wa kutosha mda si mrefu game inaanza
Kwa Sasa napata uchambuzi uliotukuka kutoka kwa salama ngale(nguli)
Itabidi nione...
Kwahiyo imetafutwa kila namna mwisho wa Siku Yanga iwe imeita Wachezaji Watano Taifa Stars na Simba ibakie na Wachezaji Wanne walioitwa? Ndiyo maana kuna muda huwa naichukia Taifa Stars kwani...
Video hii inamuonyesha Kocha mpya wa Simba Queens akimpa maelekezo fulani hivi kocha Mussa Mgosi amabye alikuwa kwenye bechi la ufundi katika mchezo wa Ngao ya Jamii kati yao na Yanga Princess...
Rais wa Shirikisho la Soka la Cameroon (FECAFOOT), Samuel Eto'o (43), amepigwa marufuku kuhudhuria mechi zozote za kimataifa zinazohusisha nchi hiyo kwa miezi 6, baada ya uamuzi wa kamati ya...
Kocha Yanga SC Miguel Gamondi amejibu maswali wanaohoji wachezaji wa Yanga Stephane Aziz ki na Khalid Aucho kuwa na kiwango cha chini kwenye mchezo dhidi ya KMC Azam Complex.
Chanzo Taarifa...
Eti kwa vile wana mapenzi na Yanga na Yanga wanacheza na Pamba basi wamejiweka pembeni kwanza hadi gemu iishe.Aisee
Kwahiyo wachezaji wote nao wakisema wana mahaba na Yanga mtawalazimisha wacheze...
Wojciech Szczęsny, mlinda lango wa zamani wa Juventus na timu ya taifa ya Poland, amesajiliwa rasmi na FC Barcelona. Barcelona ilimchukua Szczęsny kama suluhisho la dharura baada ya Marc-André ter...
Kama ulikuwa unawaza nahodha wa Simba, Mohamed Hussein 'Tshabalala' anaweza akatundiga daruga hivi karibuni, basi sikia majibu yake.
Tshabalala amejibu swali aliloulizwa na Mwananchi kutokana na...
Naam wanajukwaa, Goli alilofunga Aziz K dhidi ya CBE na kutoshangilia lilikua na maana kubwa sana tena sana na hilo goli alifunga akitokea Sub baada ya Chama kutoka.
labda kuna mashabiki watakua...
Kiungo wa Manchester City, Matheus Nunes anashikiliwa na Polisi akituhumiwa kukwapua simu ya shabiki ambaye alitaka kumpiga picha wakati alipokuwa msalani kwenye ukumbi wa starehe usiku.
Licha ya...
Kila ukiangalia mechi wanazocheza prison huoni mashabiki zaidi ya askari wachache sana wanaoimba na kucheza muda wote wa mechi
Hata ken gold wajuzi wanamashabiki kuliko prison
Tatizo ni Nini...
I will be short.
tulisema tutaelewana tu with time,
juzi tu hapa alisema games za community shield VAR inaweza kutumika.
leo kuna game ya community shield VAR iko wapi?
incompetence tu...
Kikosi cha Timu ya Taifa "Taifa Stars" kitakachoingia kambini kujiandaa na michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025 vs DR Congo Oktoba 10, 2024 na Oktoba 15, 2024.
Pia soma:
~ Samatta, Msuva watupwa...
Waamuzi wana makosa mengi sana
Kuna muda unaweza hisi kuna maelekezo kutoka sehemu
Ligi yetu imekua makosa ya kibinadamu yamekuwa mengi sana, VAR ni muhimu
Nilishaonesha sana Ubovu wa kitwakimu huyu bwana akisimamia timu mara 7 tofauti.
Simba wanabaki kumpamba tu kwenye media haita badili kitu kuhusu uwezo wake.
Kinachomfanya aombe Timu mbovu sio...
Enzi zetu za ligi za mchangani mtu anayetumia mguu wa kushoto huwa ama acheze namba tatu,sita na kumi na Moja (wahenga watanielewa)
Nashangaa Balua anatumia mguu wa kushoto lakini anapangwa namba...