Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Everton have announced the appointment of Sam Allardyce as a manager on One and a half year contract . Source - Goal.com
1 Reactions
4 Replies
562 Views
Mfungaji wa goli la lipuli dhidi ya simba ,Asante kwasi alikuwa anakipiga katika klabu ya Mbabane swallows timu ambayo kiungo wa yanga Tshishimbi alitokea. Wachezaji Hawa wa zamani wa Mbabane...
2 Reactions
12 Replies
9K Views
Siku za hivi karibuni kumekuwa na mwamko kwa Watanzania kufuatilia ligi kuu ya hapa nyumbani, ujio wa Azam TV unawakusanya wapenda soka kwenye vibanda umiza hasa zinapocheza SIMBA au YANGA...
4 Reactions
39 Replies
4K Views
Yanga wanafanya mambo mawili kwa wakati mmoja. Wanaendelea na Ligi na tayari wameanza usajili wa dirisha dogo. Unavyosoma hapa dakika hii tayari beki aliyeletwa na kiungo mpya wa Yanga, Papy...
2 Reactions
8 Replies
9K Views
Hivi hizi timu kongwe za Tanzania, Simba na Yanga zitaacha lini kudeka nakupenda kutumia rasilimali za wengine. Inatia aibu na huruma pale timu kongwe kama Yanga yenye miaka zaidi ya 80 toka...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Kiukweli hii team yangu msimu huu imekuwa inapata magori kwa tabu sana na inahitaji kufanyiwa reforms kama kweli tunahitaji treble yafuatayo ni matatizo yanayoikumba barca 1. Kocha kusema ukweli...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Timu ya AC Milan imemtimua kocha Vincenzo Montella na badala yake imempa usukani kukisimamia kikosi cha kwanza cha timu hiyo. Klabu hiyo ipo katika nafasi ya 7 kwenye orodha kwenye ligi ya Serie...
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Simba jana ilicheza kandanda safi sana dhidi ya Lipuli kwa muda wote wa mchezo. Nawashauri Simba kuwa waanze kumtafuta kipa badala ya Manula. Lile goli la jana siyo goli la kufungwa kipa kama...
2 Reactions
37 Replies
5K Views
Yeah! Wanasoka wenzangu nipo hapa kutoa List fupi wa viungo wa kukaba bora wa mda wote kwa upande wangu katika tasnia ya soccer . 1.Sergio Busquets - kwa upande wangu huyu jamaa ni bora kabisa...
1 Reactions
138 Replies
22K Views
Patashika ya ligi kuu ya Vodacom Premier League (VPL) inaendelea leo Jumapili katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam, ambapo Simba SC Wekundu wa Msimbazi wakipimana ubavu na Lipuli FC wana...
3 Reactions
124 Replies
19K Views
Gwiji wa mchezo wa Kikapu, LeBron James amesema kuwa ubaguzi wa rangi ni sehemu ya maisha ya Dunia na Marekani katika maisha ya kila siku. Mkali huyo wa timu ya kikapu ya Cleveland Cavaliers ambao...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Hili nalisema baada ya kuishuhudia timu hii ya EPL ikiteketezwa kwa magoli 4-1 dhidi ya Southampton . Hakuna molari tena kwa wachezaji , hawana tofauti na wachezaji wa Abajalo ya Sinza . Kwaheri...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Msemaji Mkuu wa klabu ya Simba SC, Haji Manara ameendelea kuwalalamikia waamuzi wa Ligi Kuu Vodacom Tanzania Bara kwa kushindwa kuchezesha vizuri mechi zote za timu yake. Manara amesema hayo...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hull City,Sunderland,na Sasa Everton nini tatizo kwa timu hizi zinazodhaminiwa na makampuni toka Afrika?Everton wamefanya usajili mzuri ila wapo hoi taabani pamoja na kufukuza kocha bado tu wapo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Yanga 1-1 lipuli Simba 1-1 lipuli Binafsi nimependezwa na mwalimu huyu yupo professional zaidi tofauti na minziro na Julio ambao wanajulikuna
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Bondia Mtanzania, Ibrahim Class usiku wa jana kuamkia leo jumapili Novemba 26 ameandika historia nyingine kwa kutetea ubingwa wa Global Boxing Council (CBG) dhidi ya Bondia Koos Sebiya kutoka...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Wadau Zimekuwepo tetesi za muda kuwa 'Lionel Messi' anampango wa kurejea nyumbani. Taarifa hizi zimekanushwa na yeye mwenyewe aliyesema kuwa hana mpango wa kuhama kutoka katika klabu yake ya sasa...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Simba imetangaza kumpa ruhusa kiungo wake Said Hamis Ndemla kwenda kufanya majaribio ya kucheza soka la kulipwa nchini Sweden Taarifa rasmi kutoka Simba imethibitisha kiungo wao mshambuliaji Said...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Southampton VS evaton Burney VS arsenal Huddersfield VS man city
0 Reactions
0 Replies
638 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…