Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Akizungumza leo Mubashara na kituo cha televisheni cha Azam Tv channeli ya Azam Sport 2, Kaimu Katibu Mkuu wa TFF akanusha tuhuma za kujilipa mamilioni na Kiernan unapoacha jambo la uongo lisambae...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Nyota ya Wnga wa kushoto wa Simba, Shiza Ramadhani Kichuya imeonekana kuendelea kuwaka kutokana na mashabiki wa timu hiyo mkoa wa Katavi kumuuliza licha ya yeye kutokuwa sehemu ya timu hiyo mkoani...
6 Reactions
18 Replies
6K Views
Leo majira ya jioni kwa saa za Nairobi, kutakuwa na kipute kikali cha soka baina ya Man United na Chelsea. Lkn mbali na hicho mmiliki wa Chelsea amemualika boss wa Man United Mourinho kwa ajili...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Dah,inaonekana Mo ibrahim hana raha tena ndani ya simba ,kwa nini kae benchi huyu wakati niyonzima na mavugo wanazengua?shiiit,akienda yanga huyu tutajuta.
3 Reactions
39 Replies
10K Views
Kiungo wa Simba, Said Hamis Ndemla ameanza majaribio jana katika kikosi cha AFC ya Sweden. Ndemla raia wa Tanzania, anatarajia kuendelea na majaribio hayo ya siku 14 leo lakini kuna siku mbili...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
habarini za asubuhi jamani msaada anaeujua huu mchezo maana yamenikuta nimeliwa pesa nyingi sana maeneo ya nyumbani kuna sehemu upo uo mchezo naomba yoyote anaeuelewa ata kidogo basi ajalibu...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Habarini wana jamvi? Naomba kujuzwa machache juu ya mchezo wa karata. 1. Ulianza lini na ni nani mwanzilishi/waanzilishi wake? 2. Nini maana ya ile michoro iliyo kwenye karata? Natanguliza...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Tarehe 28/10/2017 Kamati ya Utendaji ya TFF, ilifanya Kikao katika Hoteli ya SEA SCAPE Kunduchi Beach jijiji Dar es Salaam ambapo pamoja na mambo mengine ilipitisha azimio la Wajumbe wa Kamati...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni miaka 18 sasa, tangu Man Utd alipofanya maajabu katika fainali ya UCL ya mwaka 1999 kwa kutoka nyuma na kubeba ubingwa. Man Utd akatawala soka la Ulaya na Dunia nzima chini ya Sir Alex. Tuambie...
8 Reactions
35 Replies
7K Views
Wana jukwaa jana niliamka nikiwa na Buku Jelo mfukoni, mara nyingi huwa na BET M-BET, Jana nikaamua nibadili mboga kwa kutumia Buku jelo (1500) yangu, niliuliza namna ya kubet TATUMZUKA...
5 Reactions
13 Replies
7K Views
Baada ya Sweden kufuzu fainali zijazo za Kombe la Dunia huko Russia, tetesi zimeibuka kuwa Mshambuliaji mkongwe wa Nchi hiyo ambaye alistaafu kuchezea timu ya Taifa, anafikiria kurudi kuchezea...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Shomari ni muoga tu hatuwezi kuvumilia kumlipa bure mshahara, anatakiwa kucheza sivyo tutamuacha... vipimo vinaonesha mzima " Kauli ya mwenyekiti wa usajili Simba SC ndugu Hans Pope juu ya...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Leo nikiwa nasikiliza mpira huku naombea yanga nikajikuta nakikumbuka hichi kikosi, enzi hizo simba ikicheza unakua na uhakika na kushinda. Mwaka wa 4 sasa hatujachukua ubingwa, sijui viongozi...
3 Reactions
42 Replies
27K Views
Keshokutwa Jumatano dirisha dogo la usajili likitarajiwa kufunguliwa, tayari nyota wawili wa Mbeya City na Prisons wamekuwa kipaumbele kwa Kocha wa Azam FC, Mromania, Aristica Cioaba. Nyota hao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Chama cha Soka Afrika (CaF) inabidi waliangalie hili kwa jicho la pili na kulifanyia mabadiliko kama wanataka kwenda na Sayansi ya Mpira. Hapa nazungumzia haya mashindano mawili kombe la Mabingwa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Bondia machachali asiyekuwa na maneno mengi bali vitendo anapokuwa ulingoni AnthonyJoshua (28)hatimaye ametangaza kuwa atapanda ulingoni mnamo tarehe 28 October 2017 kutetea mikanda yake ya...
1 Reactions
42 Replies
5K Views
Wakati huo ikijulikana kama talented country katika uwanja mzima wa sanaa kuanzia nyimbo maigizo vichekesho mpaka kutengeneza vipindi mbalimbali Tanzania na wengineo tulikuwa nyuma kwakweli...
2 Reactions
30 Replies
5K Views
Klabu ya wydad Casablanca ya nchini Morocco ligi ambayo Simon Msuva anacheza wabeibuka mabingwa wa klabu bingwa Africa "CAF" kwa kuwanyuka Al ahly goli moja kwa sifuri na hivyo kufanya aggregate...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Ndugu zangu, Msingi wake hasa ni wajinga ndio waliwao. Ukweli kuwa binadamu anayeendekeza kucheza kamari anakuwa mgonjwa wa kamari. Ni maradhi. Anayecheza asaidiwe kujua hilo. Na kamari...
1 Reactions
17 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…