Video clip iko insta kwenye ukurasa wa AzamTv
Refarii katoa penati rahisi sana na ambayo hata watoto wa Umiseta hawawezi kupewa.
Itafute hiyo clip, wakati Tanzania Prisons wakipewa penati...
Jana tarehe 29 Septemba kwenye Madrid derby golikipa wa Real Madrid, Thibaut Courtois alitupiwa kifuko cha Kinyesi a.k.a Nnyaa na mashabiki wa Atletico Madrid.
Habar Mwana Jf Jukwaa la Sport.
Siku nyingi sana nimekua nikiliwaza hili ila leo nimeona nilianzishie uzi.
Baada ya ule uzi wangu wa kuhoji kuhusu CAMARA kupewa Man of the Match kuchukuliwa na...
Vigogo wa Tanzania, Simba SC wamethibitisha kumsajili Elie Mpanzu Kibisawala kwa mkataba wa miaka miwili akitokea As Vita Club.
Mpanzu anatarajiwa kucheza mechi yake ya kwanza ya Premier League...
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limependekeza posho ya kila mwaka ya dola za Kimarekani 50,000 sawa na Shilingi Milioni 136.5 kwa Mwenyekiti wa Chama cha Vilabu vya Afrika (African Club...
I will be short
we are fans of sports since we avoid politics.
media ni machawa wa tff na bodi ya ligi. ni shameful mtu anaona kabisa ukweli Ila njaa na uchawa una haribu mpira wetu.
imagine...
Wataalam wa Sayansi ya mpira tujadiliane kidogo kuhusu hili linaloendelea mitandaoni
Tangu mechi ya kwanza ya Ligi Kuu, Yanga akiwa ugenini dhidi ya Kagera Sugar licha ya kushinda bao 2-0 bado...
Raia wa Burkina Faso, Iron Biby, majina halisi, Cheick Ahmed al-Hassan Sanou aweka rekodi ya mtu mwenye nguvu zaidi duniani 2024.
Hii ni baada ya Iron Biby kubeba chuma kilo 231 na kuvunja rekodi...
Hiyo mfanyakazi wenu si muadilifu kwenye kazi yake, hasa anapochukua matukio ya picha Yanga inapocheza na timu nyingine.
Anachofanya ni kuipendelea Yanga kwa kuficha baadhi ya matukio yanayoibeba...
Kama utakuwa professional kwenye soka lanchi hii jaribu kuweka bikosi vya Azam na Simba kwenye mzani
.... lazima utaona kuwa kikosi cha Azam kina uwezo kuliko kile Cha Simba ...,.
Kimasihara...
Match Day
🏆 #NBCPremierLeague
⚽️ Young Africans SC🆚KMC FC
📆 29.09.2024
⏰ 2100hrs
🏟 Azam Complex
#Daimambelenyumamwiko#
KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA LEO.
KIKOSI CHA KMC
UPDATES....
04'...
Mpira si mchezo rahisi kama wanavobwabwaja wasojua mpira kuhusu matokeo ya yanga.
Duniani kote mpinzani akija na mbinu sahih ya kuzuia, matokeo hupatikana kwa matumizi sahih ya nafasi chache...
Hizi kauli zina ukweli ndani yake?
"Nilipokuwa nacheza Azam tulikuwa tunajiandaa sana kwenye mechi ya Yanga SC Kuliko ya Simba " - Amri Kiemba, Mchambuzi
"Kuna timu nilikuwa nikiifunga (SIMBA)...
Kupitia ukurasa wao rasmi wa Simba Sports Club wanaandika:
Kwa tunachokwenda kufanya leo saa 5:00 usiku mtegemee malalamiko mengine
Je, wana jambo gani hawa watu?
Japo utambulisho bado haujakamilika, ila nimechagua kuja kutoa siri. Nimechagua kuja kutoa pongezi.
Katika nyuzi zilizopita nilitoa angalizo kuwa huwezi hitaji aina fulani ya mpira, then unaenda...
"Salmin Hoza hana yeyote wa kumlaumu, refa kwanza hakuwa karibu, kwa hiyo alipaswa kufahamu hilo na unapocheza namna ile unampa advantage yule ambaye anashambulia kujiangusha. Kwangu mimi haikuwa...