Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mzuqa wanajf! Kuna kakiburi flani kimewaingia wachezaji wa citee. Yani kufunga funga magoli mengi hivi karibuni hawa wachezaji wamekuwa Na nyodo Na ngebe. Hasa haka kabelgiji Kevin de Brueyne...
0 Reactions
9 Replies
962 Views
Hawa jamaa kila mwaka wanasindikiza timu nyingine. Msimu huu mechi nane tu kashadunguliwa mechi tatu kudadadeki. Hii timu naipenda na wengi tunaipenda ila Wenger na bodi yake hawajali hisia za...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Ni mtizamo tu,nimefuatilia kila anapohuzuria jambo lolote uwanjani huwa anava suti,sasa je ofisin suti na uwanjani suti hata kupiga Jezi ya timu ya taifa anashindwa,na Mpira alicheza kweli enzi za...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Ni hayo tu wadau,mwenye macho asome maneno yangu haya ,wasioona muwaambie habari hii. By Deadbody wa JF
0 Reactions
21 Replies
2K Views
  • Closed
Tajiri kijana barani Afrika, Mo dewji amepata changamoto kwa mfanyabiashara mwenzake. Katika ununuzi wa hisa za club ya Simba Bw, Said Salim Bakhresa, ameweka dau la shillings za kitanzania...
19 Reactions
196 Replies
27K Views
Kabla mechi ya Yanga na Kagera haijapigwa kule Kaitaba Jumamosi iliyopita,mmoja wa mabeki anayesifika kwa kukaba mpaka kivuli na ki'ukauzu kabisa Juma Saidi Nyoso alijinasibu kuwadhibiti...
3 Reactions
4 Replies
4K Views
iv hawa tottenham wanajiamin nin hawaja fanya usajil wowote mpaka sasa aisee ngoja tuone kama watachukua ubingwa au hata kuwepo TOP FOUR...
0 Reactions
10 Replies
915 Views
ENGLAND: Mmiliki wa Klabu ya soka Newcastle United, Mike Ashley atangaza kuiuza timu hiyo. Asema uamuzi huo ni kwa maslahi ya wengi ===== Premier League club Newcastle United have been put up...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
sio mbenzi nguli wa soka hasa la hapa kwetu... miaka ya zamani ilikuwa ni ndoto kuona mzungu akifundisha hadi timu za shinyanga au singida. Kwa maendeleo ya soka na utandawazi hawa jamaa wapo...
0 Reactions
5 Replies
971 Views
Mshambuliaji hatari wa Dar young Africans atarejea Tena uwanjani baada ya kupona majeraha yake. Msiye mpenda kaja.
1 Reactions
1 Replies
655 Views
Ni mgeni huku msaada tafadhalini
0 Reactions
0 Replies
713 Views
Tanzania imeporomoka kwa nafasi 11 kutoka ya 125 hadi ya 136 mwezi huu katika viwango vipya vya soka Duniani vilivyotolewa leo na FIFA. Viwango hivyo vya ubora kwa timu za Kiume za taifa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kesho tarehe 15/10/2017 ni siku ya Uchaguzi wa Bodi ya Ligi ya Shirikisho la Mpira sa Miguu Tanzania (TFF). Katika hali ambayo imewashtua wadau wengi wa Mpira wa Miguu, Rais wa TFF, bwana WALLACE...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Hiki hapa Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Taarifa zinaeleza kuwa Mfanyabiashara Yusuph Manji amesitisha safari ya Yanga kuelekea Kagera kwa njia ya basi, sasa wataondoka na ndege kesho. Yanga itasafiri mkoani humo kwa ajili ya mchezo wa...
5 Reactions
89 Replies
16K Views
1. Aishi manula 2. Ally shomari 3. Erasto nyoni 4. Salim mbonde 5. Methord mwanjari 6. Jonas mkude 7. Shiza kichuya 8. James kotei 9. John bocco 10. Emmanuel Okwi 11. Haruna niyonzima. Wachezaji...
3 Reactions
44 Replies
9K Views
Kwa matukio yaliyofanywa na TFF Malinzi & Mwesigwa kuangalia upande wa asili (nyumbani) umeanza kuzaa matunda ya wazi sasa Pointi tatu walizomnyima Simba kwa kupindisha ukweli hautawaacha salama...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kiungo aliyesajiliwa kwa mbwembwe na klabu ya simba fadhil Hakizimana Niyonzima katika hali ya kushangaza alivyokuwa anahojiwa mubashara aliwaita mashabiki wa simba wapumbavu ,na kusema mashabiki...
7 Reactions
34 Replies
7K Views
Nimekuwa nikiona mchoro wa picha ya ndala pale timu ya Dar es Salaam Youngs Africa inapoandikwa katika magezeti kama alama ya uwakilishi wa timu hiyo. Kama mpenzi wa klabu ya Yanga na soka la...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…