Klabu ya Simba imepigwa faini ya sh 500k (laki 5) kutokana na timu kuingia uwanjani kwa kutumia mlango usio rasmi katika mechi ya Ligi Kuu Vodacom dhidi ya Mbao FC iliyochezwa September 21 2017.
Juni 05, 2016 Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) iliikaa katika kikao chake cha kawaida cha 18.
Kamati ya Utendaji ilipitia taarifa mbalimbali za ligi na kukubaliana namna ya...
Kama mjuavyo Anfield ni uwanja mgumu sana kwa Man Utd, Meneja wa Man Utd Jose Mourinho anawakosa wachezaji muhimu kama Pogba na Fellaini lwenye idara ya kiungo. Hivyo namuona Jose kesho...
Alianza Zito, akaja tundu lisu, sasa makonda. Huo mkataba una nini?? Tunaomba uwekwe wazi kwanza kabla ya kupitishwa
====================
Makonda atoa ya moyoni kuhusu Yanga, aihusisha Yanga...
1. Afrika yenye mataifa wanachama wa FIFA 53 ina nafasi 5 kwenye kombe la dunia. Hadi sasa,timu mbili za Misri na Nigeria zimeshafuzu. Bado zasubiriwa tatu.
2. Asia yenye timu wanachama wa FIFA...
Taifa la Qatar bado linaandamwa na kesi ya rushwa, Qatar wanadaiwa kwamba walitoa rushwa ili wapewe nafasi ya kuandaa michuano ya soka ya kombe la dunia mwaka 2022 suala ambalo liliwaandama sana...
Kuelekea mechi za Ligi weekend hii.. (WakuBet)..
Liv'pool vs ManUtd
-Mafahari wakubwa wawili wa Malkia., kimsingi mechi itakuwa ngumu kama ukubwa wa timu zao zilivyo.., Liverpool hawana...
Daktari wa timu ya soka ya Simba Sports Club, yassin gembe amempa wiki moja zaidi beki wa timu ya Simba, Shomari kapombe kabla ya kurudi rasmi uwanjani, kuitumikia timu yake, mchezaji huyo...
Nmewaza tu baada ya kumwona mwanadada mmoja akisakata kabumbu ile mbaya na kuonesha uwezo mkubwa wa kupigwa mikwaju na kutikisa nyavu.
Nikajiuliza kwa nini kuna ubaguzi katika soka?katika...
Tarehe ya leo Simba alimfunga 2 - 1 Yanga na mashabiki wa simba wakang'oa viti, baada ya kuona na kuhisi mwaamuzi, anafanya Upendeleo kwa yanga, magoli ya simba siku hiyo yalifungwa na Laudit...
Hii ni kuwataarifu wanaume wote duniani ya kwamba imebakia takribani miezi Tisa(9) kabla ya kuanza kombe LA dunia huko Urusi,hivyo basi chondechonde ukijichanganya ukampa mkeo/mchepuko mimba sisi...
Saivi story ya dunia katika nyanja ya michezo ni messi,
Everyone anamuongelea Messi,yani imekuwa kero sasa kumsikia huyo messi.
Katika vitu ambavyo wengi wanakisahau ni kuwa hakuna team kutoka...
Ni mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara (VPL) uliopigwa leo katika dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza ambapo Mbao ndiyo walioanza kupata bao dakika ya 3, kisha Mbeya City wakakosa mkwaju wa penati...
Straika wa Colombia Radamel Falcao amekiri kwamba alifanya mazungumzo na kiungo wa Peru, Renato Tapia kwamba matokeo ya sare baina ya mataifa hayo mawili yatawavusha wote kwenda kucheza Kombe la...
Rais wa FIFA Gianni Infantino ameeleza kitu ambacho nyota wa Argentina Lionel Messi anatakiwa kufanya ili awe mchezaji bora wa muda wote katika historia ya soka.
Akiongea na gazeti la The Nation...