Katika uamuzi wa hivi karibuni kutoka kwa Mahakama ya Usuluhishi wa Migogoro ya FIFA (FIFA Dispute Resolution Chamber), Yanga SC, moja ya klabu maarufu za mpira wa miguu nchini Tanzania, imetakiwa...
Wakuu,
Leo VAR imeanza kutumika huko Mauritania kwenye ligi yao
Sisi huku licha ya uzinduzi kufanyika na ligi kuanza
TFF wanasingizia vibali kutoka CAF na FIFA.
Huu ni utapeli wa mchana kweupe...
1. Kocha Fahdu anatakiwa aaambiwe ugumu wa mechi za mikoani otherwise atadondosha sana pointi ugenini hasa kule Mbeya, Kagera, Singida na Kigoma.
2. Fahdu amezidiwa kabisa kimbinu leo na Dodoma...
Habari ya wakati huu wanaJf, kama title ya uzi inavyojieleza shuka nao.
Chess ni moja ya michezo ya zamani zaidi na ya kimkakati duniani, yenye historia ndefu inayorudi nyuma zaidi hadi karne ya...
Sina mengi sana ila habari zimeshavuja.
Mnapenda sana uzawa kwenye timu,hamzingatii uwezo wa mchezaji na kuwakandia wachezaji wa kigeni kuwa si lolote na niwapita njia tuu.
Mnaigawa timu kwa...
Nimeshuhudia mechi 2 ambazo Simba kacheza dhidi ya Azam na Dodoma Jiji, wamenufaika na waamuzi ambao uwezi kusema kwamba awajui Sheria na kanuni zinazoongoza Mpira la hasha ni kwamba wanajua...
Cristiano Ronaldo alisilimu na sababu ni ya kushangaza Hadithi Utangulizi: Hakuna mtu angetarajia kwamba mmoja wa wachezaji wakubwa wa mpira wa miguu katika historia, Cristiano Ronaldo, siku moja...
Hadi sasa kwa nini wengine wakifunga goli moja wanapostiwa vizuri mitandaoni sisi wanaishia kusema "kimoko"
Yaani hata Azam media nao wanatuhoji maswali magumu kuliko ya wenzetu.
Yanga haisemwi...
Any way, baada ya mechi ya simba na azam fc. na mechi fountain gate kupanga matokeo. Bodi ya ligi imetoa Mkwala, wadau wa club tusiwaseme WAHAMUZI wala viongozi kwa media au social media.
In...
Leo mchezaji Bora wa mechi Kati ya Simba na Dodoma jini ametangazwa kabla ya mpira kumalizika!! Binafsi naona kama wanaingia na jina mfukoni...utamtangazaje mchezaji kabla ya mpira kumalizika...
Habar za uzima wana JF
Tarehe 7/10/ 2024 mwaka huu katika mji wa CAIRO ambapo ndipo yalipo makao makuu ya CAF tunatarajia kushuhudia droo ya kupangwa kwa makundi ya mashindano ya cafcl & cafcc...
Tatizo c kwamba yanga imeshuka kiwango, tatizo ninkuwa nchi yetu imeharibika na Sasa umeingia kwenye uchumi wa Kamali , ambapo vijana wengi sana wenye ajira na wasio na ajira wameingia kwenye...
Another game, Mzunguko wa Nne.
Dodoma Jiji wanaikaribisha Simba SC ya Dar es sala
Uwanja wa Jamhuri, Jijini Dodoma.
Kikosi cha Dodoma Jiji Kinachoanza.
Kikosi cha Simba Kitakachoanza...
NBCPremierLeague
️ KMC SC Vs Yanga SC
17.02.2024
Jamhuri Morogoro
10:00 jioni
Kikosi kinachoanza dhidi ya KMC FC
Mpira umeanza
dakika ya 1
Mudathir anaipatia Yanga SC goli la kwanza
Goli...
Match Day
Mashujaa Fc 🆚 Azam Fc
🏆 #NBCPremierLeague
🕓 Saa 10:15 Jioni
🗓️ 29.09.2024
🏟️ Lake Tanganyika
Nb: Tutawakumbusha kazi wanayoweza kuifanya tofauti na kabumbu🍦🦍
Mashujaa ndio sisi...
All the Best Mnyama 🦁
Updates za Mchezo wa Leo..
Kikosi cha Simba Kinachoanza.
Updates...
Mpira unaendelea kwa kasi Kidogo.
Simba wanajaribu kufanya mashambulizi kwenye lango la Tabora
DK 5'...
Nikikumbuka zile mbio za top scorer kati Yao na kilichopo Sasa basi nakuombea mpole arejee kwenye kile kiwango huku nikijiuliza ni Nini kimetokea
Maana hajazeeka na Wala kunenepa yuko vile vile
Singida Black Stars Leo imejikuta ikiangusha points 2 Muhimu mbele ya JKT Tanzania katika mbio zake za kubakia kileleni. Matokeo Haya yanatoa unafuu Kwa Washindani Wake iwapo wataendelea kufanya...