Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mashabiki wa soka wana mambo yao,baada ya Kocha wa timu ya Njombe Mji Banyai kushindwa kupata ushindi kwenye mchezo wowote ule wa ligi kuu mashabiki wa Njombe mji wameibuka na kumpa kocha lawama...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Unafiki ni kitu kibaya munoo. End of the day unaumbuka live. Kwa kitendo walichomfanyia CAVAN.ni dhahili kuwa wabrazili ni wabaguzi aise. Dani Alves anamnyang'anya mpira Cavani alafu anampatia...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Uongozi wa klabu ya Simba umesema hauna mpango wa kumtimua kocha Joseph Omog kama inavyovumishwa hivi karibuni. Mkuu wa Idara ya Habari ya Simba, Haji Manara alisema Omog anatimiza kile...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari zenu wadau Nimefanya research katika maswaala ya uchumi hasa kwa wajasliamali wadogo nimegundua kuwa kama mjasiliamali jasir unaweza kuwekeza miatano kwenye Mkeka na ukaibuka na pesa kibao...
1 Reactions
16 Replies
12K Views
Kikosi cha Arsenal kilikuwa kama ifuatavyo By Deadbody
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Mpira unamambo mengi wengi wanasema kocha anapewa ajira ili afukuzwe hakuna kibarua kigumu kama cha kufundisha mpira hasa wa miguu Ukipata matokeo mazuri wewe rafiki yao ukipata matokeo mabaya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Suala la nahodha wa Yanga, Nadir Haroub Ally maarufu kama Cannavaro kukutana na Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Yusuf Manji limezua mjadala mkubwa. Wako wanaoamini kuwa Cannavaro ambaye...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Real Madrid: Navas, Marcelo (Vasquez 72), Ramos, Varane, Carvajal, Kroos, Casemiro, Modric (Mayoral 72), Isco (Asensio 67), Ronaldo, Bale Subs not used: Nacho, Casilla, Llorente, Fernandez Real...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Klabu ya Mbao FC kutoka jijini Mwanza imeahidi leo kuchukua ushindi dhidi ya Simba na kubeba pointi tatu katika mchezo wa Ligi Kuu Bara unaochezwa leo katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
NAMBA hazidanganyi bwana. Hakuna shabiki yeyote wa soka kwa sasa anayehoji tena ubora wa Emmanuel Okwi. Hata waliokuwa wakimuita Mhenga sasa wamenyamaza baada ya Mganda huyo kuwanyamazisha...
3 Reactions
12 Replies
4K Views
HIVI karibuni, Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ilipitisha majina ya wagombea wa mwisho ambao watawania nafasi za uongozi katika Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB). Uchaguzi huo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dondosha utabiri wako Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu,tushirikiane kubashiri matokeo ya mechi hizi kwa buku tu kupata Millions za mhindi By Deadbody
0 Reactions
12 Replies
9K Views
Kuna mijadala inaendelea kuhusu viwanja vya mikoani kuwa ni vibovu na vinasababisha matokeo mabaya kwa hizo timu kubwa! Wadau wa soka wanauliza hao Simba SC na Yanga SC wanaweza kuonyesha hata...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Yule Mzee ' machachari ' wa Klabu ya Yanga Ibrahim Akilimali muda si mrefu akizungumza ' mubashara ' kupitia Kipindi cha Sports Headquarters cha Efm ameamua ' kufunguka ' na kutoa ' Siri ' ya...
4 Reactions
33 Replies
5K Views
Wachezaji wa Klabu ya Yanga leo wamegoma kufanya mazoezi yaliyokuwa yafanyike Uwanja wa Uhuru, sababu bado hazijafahamika mpaka sasa. Stay tuned
3 Reactions
14 Replies
4K Views
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa zamani wa Simba, Hassan Dalali amesema kuwa mafanikio ya Simba kwa sasa ni kutokana na Rais wa muda wa sasa, Salim Abdallah kuwaunganisha pamoja watu wote na ndiyo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadhamini wa Ligi Kuu Ya Tanzania Bara, kampuni ya mitandao ya simu ya Vodacom, imekabidhi mfano wa hundi ya Tsh 1,000,000/= kwa mshambuliaji wa klabu ya Simba Emmanuel Okwi siku ya leo Septemba...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Klabu ya Yanga inadaiwa kiasi kikubwa na wachezaji wapya waliosajiliwa msimu huu. Wachezaji hao inasemekana waliahidiwa kumaliziwa chao katika mechi za awali katika mzunguko wa kwanza. Wachezaji...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Rais wa Shirikisho la Riadha nchini (RT) Anthon Mtaka amempongeza mwanaridha Ismail Juma iliyefanikiwa kuweka rekodi mpya ya taifa ya Tanzania iliyokuwa ikishikiliwa na Dickson Marwa tangu mwaka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu, Naomba kufahamishwa kitaalamu, mchezaji anatakiwa kupumzika muda gani kutoka kucheza mechi moja mpaka nyingine? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…