Wachezaji wa Uingereza na wafanyikazi wake watashauriwa kutotumia mtandao wa Wi-fi katika maeneo ya uma ama hata katika hoteli wakati wa kombe la dunia la mwaka ujao nchini Urusi kutokana na hofu...
KLABU ya Stand United ya mjini Shinyanga, imetakiwa kulipa kiasi cha Sh milioni 71.7 kabla ya Oktaba mwaka huu, zikiwa ni fedha za usajili na mishahara ya wachezaji wake.
Agizo hilo limetolewa na...
Niletee hapa
Amepiga hat-trick 92
Goli 4 mara 31
Goli tano mara 6
Goli 8 mara 1
Amecheza match 1375
Amefunga magoli 1281
Goli lake la kwanza kama mchezaji wa kulipwa alifunga akiwa na miaka 15
Klabu ya mpira wa miguu ya Uingereza, Chelsea FC na kampuni ya kutengeneza vifaa vya michezo ya Nike leo zimetambulisha rasmi jezi mpya za tatu kwa ajili ya msimu wa 2017/18.
Leo usiku tunacheza...
Barcelona bado ipo miongoni mwa timu mbili bora duniani licha ya kumpoteza Neymar kulingana na kocha wa Juventus Massimiliano Allegri.
Juve ambao walipoteza fainali ya msimu uliopita ya kombe la...
Dah! Kila ninapo itazama timu yangu ikicheza nakosa raha kabisa, sioni timu iliyosifika kwa lile soka tamu ya kampa kampa tena. Timu ipoipo tu sasa hivi na inacheza mradi inacheza
Najua viongozi...
Kiukweli timu ya dar es salaam Young Africans(Yanga) tangu wamnyang'anye mikoba Hans Van Pluijm na kumkabidhi George Lwandamina mambo yamekuwa hovyo kila kukicha.
Mpaka sasa viwango vya wachezaji...
Simba Sports Club a.k.a wahenga inashuka leo kukabiliana na kikosi Azam kwenye uwanja wa Azam huko Chamazi. Simba inashuka kwa mara ya kwanza kwenye uwanja huu kuikabili Azam huku kila timu ikiwa...
Kwa mujibu Wa ratiba ya ligi kuu Simba na Yanga zitakapokuwa na mechi zao dhidi ya Azam zitacheza kwenye uwanja Wa Azam complex. Swali langu Kwa TFF je uwanja Wa Azam una weza kuingiza watazamaji...
Hesabu na nyota zote leo zinambeba Stoke City kupata ushindi dhidi ya timu ngumu ya Man Utd. Mashabiki na wapenzi wa mpira hawatoamini macho yao.
MAPOVU ruksa...
Ligi kuu ya Uingereza Ndo iyo imezd kushika kasi,huku mashabiki wengne wakicheka,wengne huzuni tupuu wengne wakilia kabsaa ndo utamu wa ligi huo..
Jaapo ni mapema sanaa kulisema hili nalotaka...
Baada Klabu ya Simba ya kuzindua rasmi #App yake ambayo inapatikana katika #PlayStore. Watumiaji wa App hiyo wameridhishwa na matumizi ya App hiyo.
App hiyo imekuwa inatoa taarifa mbalimbali...
a)Kwa nini bondia kama floyd mayweather hajawahi kupigana na mabondia kama Anthony Joshua,Vladimir Klichko,David Haye,Amri Khan, David Chisola
b)Na huu mchezo huwa unapiganwa vipi maana katika...
Kutoka 7_ 0 na Ruvu hadi 0_0 na Azam ni kawaida. 1.3 bil za usajili Simba hazilingani na sare na Azam. Hofu imeshatanda kuanzia kwa H..aji Manele, wachezaji, wafadhili na mashabiki wa Simba SC...
Kikosi cha yanga dhidi ya Njombe
Youthe Rostand
Juma Abdul
Gadiel Michael
Andrew Vicent
Kelvin Yondani
Papy Tshishimbi
Juma Mahadhi
Thabani Kamusoko
Donald Ngoma
Ibrahi Ajib
Emmanuel Martine...
YAOUNDE, CAMEROON
HATIMAYE mabingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika, Cameroon, wameshindwa kuonesha ubora wao na kujikuta wakitolewa katika michuano ya kufuzu Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi...
BENCHI la ufundi la Simba chini ya kocha wake mkuu, Joseph Omog, raia wa Cameroon, limeweka wazi kuwa licha ya mchezo wao dhidi ya Azam FC kuhamishiwa kwenye Uwanja wa Azam Complex ambao...
Klabu ya simba sc pasi na shaka wamekuwa tishio sana kutokana na kufuru yao ya usajili haswa magazetini.Klabu hiyo imekuwa ikijitapa kuwa imetumia kiasi cha 1.5 Billion kufanya usajili tu wa...