Man city 4-1 Bournemouth
Cristal palace 1-1 Swansea
Newcastle 1-3 west ham
Watford 2-1 BH
HT 1-0 sompton
Manchester united 3-1leicter
Apa kuna kurudisha chenji?
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Kwa kweli huyu Kipa ni nyavu iliyochanika chanika hasa upande Wa penati. Anahamishwa kirahisi kama furushi la gunia kwani unaweza kulinyanyua na kulitupa popote utakapo, tofauti na kipa Wa Simba...
Tikuba ramadhani ni mshindi Wa million 284 Wa M-bet perfect12. Ni nani anayemjua huyu mtu au M-bet walikuwa wanafanya matangazo tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kawaida yangu mdau wenu nitakuwa live kuwaletea masimulizi ya mechi kali kati ya mnyama Simba SC na Yanga SC, uwanja wa Taifa leo katika mechi ya ngao ya hisani.
Nitawaletea masimulizi kabda...
Sikuwahi kujua kuwa arsenal wanasupport gays and lesbo, had wametengewa mahali pa kukaa na kwenye webiste yao wana page yao official
Gay Gooners
DAH MAN U NAO WALIWAH KUSHIRKI KWENYE...
Mkwaju wa penati ya Haruna Niyonzima umesababisha shabiki wa Simba (Pastory) kupoteza maisha kwa kile kinachotajwa kuwa ni furaha ya kupitiliza
Shabiki huyo ni wa kijiji cha Sangamaganga tarafa...
Natabiri kati ya Omog na Lwandamina au wote kutomaliza msimu huu
na ukiwaweka kwenye mizani, kocha wa Simba ndio yupo hatarini zaidi.
Ni maoni yangu tu karibuni kwa mjadala
SIMBA imeamua kukata mzizi wa fitna sasa, imeamua kusajili mshambuliaji wa mauaji kutoka nchini Senegal.
Huyo ni Papa Amadou Niang ambaye anatarajia kutua nchini leo Ijumaa akitokea Dakar...
Jana timu ya Ndanda imefanya maadhimisho ya siku yao "NDANDA Day".
Kupitia siku hii shughuli mbalimbali hufanyika kama vile usafi n.k.
Hongereni kwa hilo ingawa nina maswali kadhaa ya kujiuliza...
Uefa Ndogo Ratiba ya Arsenal Fc 2017/18
Arsenal v FC Cologne
Thursday, September 14
Kick off: 8.05pm
Venue: Emirates Stadium
Matchday two
Bate Borisov v Arsenal
Thursday, September 28
Kick off...
Droo ya klabu bigwa Ulaya itachezeshwa leo tarehe 24/08/2017 ili kupanga makundi ya michuano hiyo. Droo hiyo itafanyika muda wa saa moja usiku saa za kitanzania (19:00 hours).
UEFA imeshibitisha...
Pep vs Mou!
Pep aliibukia Barcelona kwenye kikosi cha dhahabu. Alitwaa kila kitu. Mou alimfanyia mbwai uefa na kikosi chake hicho cha dhahabu. Kama haitoshi, Mou kamfuata Spain matokeo yake...
Droo ya EUROPA league imechezeshwa leo mjini Monaco. Katika droo hii haya ndio makundi ya michuano hiyo msimu wa 2017/18
Vilevile mchezaji wa Manchester United Paul Pogba amekuwa mchezaji bora...
Kwa jinsi ninavyo angalia juzi mechi ya kirafiki kule zenji gulioni vs simba mchezaji zimbwe jr alizimia takribani dk3 na kutolewa na leo hii simba vs yanga mchezaji kiraka erasto nyoni alicheza...
Stori ilikuwa hivi; ndani ya "kibanda umiza" mechi ya derby jana kati ya Simba SC na Yanga SC wakati wa mikwaju ya penati alipoenda kupiga Haruna Niyonzima, Shabiki wa yanga akamwambia shabiki...
Najua mtaumia ila kama kawaida yangu mechi ya mwisho ya Simba na Yanga nilikuja humu humu JF na kusema kuwa Yanga itafungwa kwa tofauti ya goli 1 na kwa kwamba kutakuwa na Kadi nyekundu na kweli...
Wadau habari zenu mechi ya jana imeisha na mtaani hali ni fresh kama nyimbo ya ngosha watani baada ya kupata kichapo cha goli 5 kwa nne mjadala umehamia kwa Tshishimbi mara tumelamba dume wengine...