Leo Mwasa kaitisha press na kulizungumzia sakata la Mchezaji wa Azam Gadiel Michael na Yanga kuna kauli Mkwasa kasema ni rahisi kwa mchezaji wa Azam kwenda simba kuliko yanga.
1.Mkwasa naomba...
Klabu ya Yanga inapenda kusajili wachezaji wazuri lakini wanapotajiwa gharama wanalalamika.Yanga kumbukeni kuwa mchezaji mpaka anakuwa mzuri ameandaliwa hivyo muwe tayari Kulipa gharama na kama...
kwa mahesabu ya kawaida kabisa Kijana wa kibrazil umri wa miaka 25 kwa sasa tangu asajiliwe na PSG anaingiza kiasi cha 1.6B Tsh kwa wiki
kwa hiyo kwa siku anaingiza 220m Tsh (imekuwa rounded off)...
Yes leo tena bayern munich tumemaliza kazi na kuchukua ndoo again ,,,,, hatareee sana #muller, arturo vidal pado, lewaGOALSKI, frank ribbery, rafinha, kingsley coman, mats hummels, jossua kimmich...
Katika mashindano ya mita 10,000 yaliyofanyika juzi huko London nimefurahishwa na jambo moja katika top4 wote sana asili ya Afrika masharika.
1.Amezaliwa somalia/Asili yake ni Afrika Mashariki...
Kwa hatua aliofikia Professor AW pale Arsenal ni dhahiri kiburi chake sasa ni grade'A' au waweza sema ni kiwango cha lami...
Kwanini nasema hivi... mzee ameamua kucheza na akili za mashabiki...Je...
1.Umri:- maywether amefikisha miaka 40 februari 24.
Maywether ana miaka 2 tangu aingie ulingoni kwa Mara ya mwisho wakati Mc Gregory pambano lake LA mwisho lilikua Novemba 2016.
Maywether...
Sisi wana simba kwanini tusijichange ili tukalipe tuondokane na hii laana? Tulikula rambirambi ya Mafisango ,ona sasa kombe la ligi hatujaligusa toka tumetenda dhambi hiyo.Hii laana itatumaliza...
Simba imeona iepuke aibu na fedheha baada ya kukataa ombi la mechi ya kirafiki na timu ya Africa kusini iliyowashindilia 7-O.
Simba imedai inaogopa kucheza kwa madai inaweza sababisha majeraha...
Nimesikia hawa wasimamizi wa mali za simba wanaenda mahakamani kuzuia mkutano kama walivyofanya tena mwanzo na kushindwa vibaya
Sasa niwaambie tu hawana uwezo wa kusitisha mkutano kwa sababu...
Wazee wa simba sports club wamesema Kama hawatosikilizwa Na kuendelea kudharauliwa basi washabiki mjiandae kusahau tena kuhusu ubingwa wa ligi kuu.
Una maoni gani mdau?
Sent using Jamii Forums...
Mfumo mpya wa upigaji penati uitwao 'ABBA' utatumika kwenye mechi ya jumapili ya Ngao ya Hisani kati ya Arsenal na Chelsea, FA imetangaza.
Kama mechi itaisha kwa matokeo ya sare ndani ya dakika...
"Ni rahisi kwa mchezaji wa Azam kwenda Simba kuliko kuja Yanga, hatuko tayari kulipa kiasi hicho ingawa siwezi kukitaja hapa,
Azam wanataka tuwalipe pesa nyingi kwa ajili ya beki Gadiel Michael...
Habarini Wadau,
Katika msimu uliopita wa ligi kuu ni wazi menejimenti ilijitahidi sana kuzuia weaknesses mbalimbali katika mechi zote isipokuwa ya ubadilishwaji wa ratiba na marefa waliopangwa...
Msimu ulioisha Azam waliiondosha mashindanoni klabu ya Bidvest na hatua iliyofuata walikutana na Mbabane Swallows ndio ulikuwa mwisho wa Azam.
Simba bado hatupo vizuri hii sare isituvimbishe...
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba SC Haji Manara leo Agosti 3, 2017 aliibuka na kwenda kuwa mwakilishi wa watani wao wa Jadi Yanga wakati Vodacom Tanzania ambao ni wadhamini...