Thomas Ulimwengu atakaa nje ya uwanja hadi Januari, mwakani.
Hii ni baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti na mshambulizi huyu wa AFC ya Sweden, tayari ameanza kupata nafuu.
Allah amsaidie apone...
Sikuwa naumiza akili zangu kuhusiana na ubaguzi wa ngozi kwani sikuona umuhimu wowote na faida yeyote. Kuna pambano la ngumi litafanyika August 26 kati ya mwana masumbwi kijana Mayweather na Conor...
Kimsingi Kocha wa Timu ya Taifa ya nchi yoyote ni MTUMISHI WA UMMA , anatumikia timu ya taifa , hivyo ni lazima wananchi husika wamfahamu vizuri umahiri wake na uwezo wote kwa ujumla , ili waweze...
Mpambano huo utafanyika Agost 26, katika uwanja wa T_mobile mjini las vegas
Kiingilio ni usd 150000.
Sawa na zaidi ya sh za madafu ml 330
Na tiketi zinauzwa kama njugu, woote mnakaribishwa...
Wakuu habari ningependa kujua hii timu ya hawa mabavaria wa ujerumani bayern munchen wamekumbwa na nini mana wanapoteza sana mechi zao za maandalizi kuelekea kuanza kwa msimu mpya,ndo kusema uwezo...
Wadau naomba kujuzwa je kuna kuna eneo au Nchi iliyovunja rekodi ya uanachama wa muda mfupi zaidi wa kuwa mwanachama wa shirikisho la soka Afrika Caf zaidi ya Zanzibar?
Sent using Jamii Forums...
Unaambiwa katika kuhakikisha wanapambana na hali yao ya kujinusuru na kushuka daraja,wasije kuwachosha Wachezaji wao wa kikosi cha kwanza na/au kupata majeraha Jamaa waliteremsha kikosi cha vijana...
Jamani msaada naulizia ofisi za kampuni ya Mbet, kuna mkeka nilibeti na matokeo yakaenda kama nilivyobashiri lakini kucheki wao wameandika not win.. Nimepiga sana namba zao za customer care...
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Liverpool na timu ya taifa ya Brazil , Philippe Coutinho amefanikiwa kushinda tuzo ya mchezaji bora wa Kibrazil ndani ya Bara la Ulaya kwa mwaka 2016.
Katika...
Wakala wa Mchezaji wa Kimataifa wa Tanzania Thomas Ulimwengu ametoa ' Kauli ' ambayo kiukweli imethibitisha kuwa ' Waafrika ' tumeshalaanika tokea dunia inaundwa na kamwe pale tukiwa tunapewa huu...
Wana simba nawatahadharisha na fitna anayotaka kuileta mwalimu Omog kutaka kuigawa dressing room tufahamu dressing room kuigawa ni kuiharibu timu na kujitafutia matatizo.Tujikumbushe Mourinho...
Ni ukweli usiopingika sasa yanga imesheheni viungo wa kiwango cha juu ,na hasa iwapo yanga itamalizana Papy kabamba tshishimbi anaedaiwa kuwa bado ana mkataba na timu take.
Hivyo kwa maslahi ya...
Unakumbuka habari ya Haruna Moshi Boban akiweka kiroba kwenye chupa ya maji? Leo hii tena ni zamu ya Juma Nyoso. Watanzania hatuishi vituko.
Leo napita pita kwenye jarida la goal.com naona...
TFF leo imeunda Kamati ya Rufaa ya Leseni za Klabu na kumteua Dkt. Damas Ndumbaro kuwa mwenyekiti na Wakili Alex Mgongolwa kuwa makamu wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Klabu ya Simba leo imezindua rasmi wiki yake ijulikanayo kama (Simba Week) kuelekea kilele cha Maadhimisho ya sherehe kubwa ya timu hiyo inayofanyika kila mwaka ambayo ni maarufu kama Simba Day...