Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

huyu ndiye mshambuliaji mpya wa mbeya city.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Baada ya hivi majuzi kukamatwa akihusishwa kutoa ' rushwa ' huko Mkoani Mwanza Mtangazaji, Mkuu wa Vipindi Clouds Media Group ( CMG ) na Mchambuzi wa Masuala ya Michezo nchini Bwana Shaffih Dauda...
8 Reactions
103 Replies
13K Views
Safari ya kiungo Said Ndemla kwenda kufanya majaribio katika klabu ya AFC ya Sweden imewadia. Hii ni baada ya klabu ya Simba kutoa ruhusa kwa kiungo huyo kwenda kufanya majaribio. Mwishoni mwa...
5 Reactions
34 Replies
11K Views
dominic solanke wa liverpool tayar ameshafanya yake liverpool inaongoza gal 1 Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
0 Replies
613 Views
Mtanzania Saimon Msuva Ametambulishwa Rasmi Kwenye Club Yake Mpya Ya Difaa Al Jadida Ya Nchni Morocco Kwa Mkataba Wa Miaka Mitatu Kuitumikia Club Hiyo.. (y) KILA LAKHEL MSUVA #niposimba
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Sherehe zinaendelea Azam Xtra Okwi kitajwa kuwa miongoni mwa wachezaji 11 Bora kabsa ktk league ya Uganda! Wale gongowazi fc wajiandae 5 zileeeeeee zinakuja! Pogba wa tz nchi imekushinda!
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Dr. Nassoro Ally Matuzya ni daktari wa binadamu mgombea wa nafasi ya Katibu Mkuu chama cha wataalamu wa tiba ya michezo Tanzania (TASMA) ana uzoefu mwingi mno ndani ya chama hiki na masuala ya...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mchezo wa mieleka Una ukweli wowote? Wengine wanadai ni kweli Na wengine wakidai ni mchezo unaopangwa yaani wa kuigiza tu mbele ya hadhira!! Wapi ni...
0 Reactions
61 Replies
18K Views
ANAITWA DR COSMAS KAPINGA MGOMBEA UJUMBE CHAMA CHA WATAALAMU WA TIBA YA MICHEZO TANZANIA(TASMA)MKUTANO MKUU TFF NI DAKTARI WA BINADAMU MWENYE UZOEFU WA MASUALA YA TIBA ZA MICHEZO NA MTAALAMU WA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mtanzania Emily Mgeta ameiwezesha timu yake ya VfB Eppingen kuibuka na ushindi wa kwanza akiwa anaichezea kwa mara ya kwanza katika mashindano. Mgeta ambaye ni beki wa kushoto wa zamani wa Simba...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Wakuu wengine tuko mbali na Magazeti, tunachoambulia ni heading tu. Kuna gazeti liliiripoti kuwa yule kiungo Mkongo alitaka kukimbia Yanga kwa sababu ya 10%, Gazeti hilohilo leo limeripoti kuwa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Meneja Miradi ya Maendeleo wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kwa Afrika, Mzimbabwe Solomon Mudege amewasili nchini kwa ajili ya kufuatilia mambo yanayoendelea katika shirikisho la soka...
0 Reactions
1 Replies
844 Views
Kwa matukio kama haya ambayo nitayaorodhesha hapa acheni tu Watanzania tuchekwe kuwa tuna mapungufu makubwa ya Kufikiri na kwamba kupata Maendeleo itakuwa ni ndoto na labda inabidi tukae chini...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi timu zetu za Taifa za mpira wa miguu upande wa wanaume na wavulana kwanini zinaharibu kila kukicha na kutuumiza sisi mashabiki? Tatizo ni Kocha, Wachezaji, Shirikisho la mpira, au Serikali...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa mara ya kwanza TZ pambano la ngumi lilioneshwa live kupitia youtube....ajabu watu chini ya 500 tu ndo walikuwa live kutazama najiuliza why hali hii? kuna sababu iliyofanya watu wachache...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
------------------------------------------ Taarifa zaidi zinakuja,usiondoke kaa hapo hapo!! ___________________________________ Updates: Yanga imekamilisha usajiri wa kiungo mkabaji Papy Kabamba...
2 Reactions
30 Replies
11K Views
Kipa kinda Ramadhani Kabwili amesaini mkataba wa miaka mitano kuichezea Yanga. Kabwili ambaye aling’ara na timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys anaingia kwenye kundi la...
3 Reactions
38 Replies
11K Views
Yanga ni sehemu salama sana kwa wachezaji kuliko Simba!!
5 Reactions
38 Replies
8K Views
SIMBA inaendelea na maandalizi ya maadhimisho ya siku maalum ya klabu hiyo ‘Simba Day’, na imefahamika klabu ya Rwanda ya Rayon Sports ndio watakaokuwa wageni waalikwa na kucheza mechi ya kirafiki...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…