Sitaki kuongea mengi sana, ila kwa heshima ya mkoa wa Mbeya, hakika tuna uhitaji wa uwanja wa kisasa. Uwanja wa michezo wa kisasa
Kuna faida nyingi kuliko hasara, ila uwanja wa kisasa ni muhimu...
Mchambuzi mmoja amenifurahisha sanasana amegusa karibia na ukweli
Kama tutafanya mzaaa hii timu ya Libya itatufedhehesha mbele za wake zetu kwa Mkapa.
Haya wanasimba mnaoenda na wake zenu taifa...
Leo ndiyo siku ambayo wale Waarabu kutoka Libya Al Ahli Tripoli waliotua nchini kupambana na Simba wanatarajiwa kuonyesha kandanda la kibabe kwa kupata ushindi mnono ugenini!
Ushauri kwa Wana...
Huwa najiuliza hivi mtu unawezaje kushabikia mpira timu mbili kwenye ligi Moja Kuna jamaa Huku anashabikia Manchester united na arsenal hivi hiki kitu kinawezekanaje aisee maana jamaa na jeze za...
Huyu mmh anaipenda sana simba
Na n mfanyabiashara maarufu sana huko dom
April alihaidi kutoa nguruwe 5 kila goli nahisi alijua hawashindi
Sasa this tym katoa pesa kwa kamara wa simbaaaa kwa...
"Nitakuwa ni Kocha wa ajabu niache Kuwapanga akina Dube na Mzize ambao wananionyesha bidii kubwa kuanzia Mazoezini na hata katika kila Mechi ambazo huwa nawapanga halafu nimpange Baleke ambaye...
Mfanyabiashara mkubwa wa nguruwe dar es salaam na Dodoma amempatatia kipa wa Simba hela
Katika makabidhiano hayo mh sana anasema alifurahi saves zolizooneshwa na mouse Camara libya akamhaidi...
ORLANDO PIRATES WANAITAMANI YANGA ILI WAJUE UBORA WA TIMU YAO.
Mashabiki mbalimbali Sauzi Wanaomba Yanga ipangwe kundi moja na Orlando ili wajue ubora wa timu yao.Huku wakiomba pia Aziz Ki anafaa...
Simba ya sasa sio ile ya msimu uliopita. Kwa viwango vya wachezaji wapya wa Simba halafu eti Feisal ajiunge nao, nadhani Kocha angemuombea aruhusiwe kwenda likizo msimu mzima.
Soma Pia: Simba...
Mama Samia wewe na wanasiasa wenzako endeleeni kubanana hivyo hivyo huku ukiendelea sisi wananchi tupe zindiko tu la kusapoti vilabu vyetu vya Simba na Yanga tupate burudani ya mpira na nyie...
🚨"THIS IS ONLY THE BEGINNING", SAYS LAIZER
Right after the finish line of the UCI World Championships in #Zurich2024, here is what Richard Laizer told us:
“I am very happy with my first Cycling...
Jamaa ni kama alitumwa na uto kuwavunja wachezaji wa Simba.
Refa nae akawa fair sana yule alitakiwa red card kwa uchezaji wake wa kikatili.
Alichosahau yuko Libya kikazi ila huku Tanzania watutsi...
Uchawi hautakaa uishe
Niwakumbushe tu ndugu zangu wa Yanga octb 19 mjipange
Nilioona jana hawa jamaa ukiwachezea wanakuchezea usipowatawalaa wanakutawala
Tujitahidi sehemu wanapotupigia zile...
Hakuna timu inayojua kujipendekeza duniani kama Yanga. Kitendo cha kupelekea mechi Zanzibar ni dalili zote za shobo na kujipendekeza kwa Wazenji.
Nasubiria mapovu, nipo mtaa wa Lindanda hapa...
Mzizima derby kupigwa Zanzibar wakati viwanja vipo nadhani hata mechi zingine kubwa kama derby ya kariakoo itapelekwa mwanakwerekwe na hatimae Sasa league ya NBC inahamia Zanzibar
Tujipange na...
HILI LA TABORA NI KIBOKO🙌
Baadhi ya wachezaji wa Tabora United wameonekana mitaani wakiwa na watu wanaodaiwa kuwa madalali, wakiwatafutia nyumba za kupanga baada ya uongozi wa timu hiyo...
All other signing are the best signing so far, the best players in the pitch except;
DUBE
This guy bado anawenge la kuwa Yanga, in today's match he was the worst player in the pitch. He lost...