Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hebu pitia upande hicho cha Dimba ndipo utajua nini kilicho nyuma ya pazia huko mikiani
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hivi hii timu ipo? Inapatikana wapi, mazoezi wanafanyia wapi? Sijakutana na binti anadunda siku nyingi sana[emoji17]. Niende wapi Dar kucheki zoezi??? Ningependa kusikia changamoto zao
0 Reactions
0 Replies
880 Views
Kwa heshima kubwa naomba kujua kufutwa kwa uzi ulionesha ufisadi wa Malinzi humu!!
0 Reactions
2 Replies
685 Views
Ronaldo anadaiwa.Mabilion leohii anataka timu imlipie kha kapokea yeye timu ikalipe kodi Swala muhimu msikimbizane na viduka mshenzi Je huku mnakusanya kodi..Kwa wachezaji. Naamini hizi milioni...
0 Reactions
2 Replies
918 Views
fatilia Mechi LIVE kati ya wawakilishi wa Africa Cameroon vs Chile sasa hivi kupitia TV1 Karibuni
0 Reactions
111 Replies
7K Views
angalieni mechi kati ya ureno vs mexico Live kupitia kituo bora kabisa Tanzania kwa sasa TV1
0 Reactions
36 Replies
3K Views
RUSSIA VS. NEW ZEALAND!Shikamoo wakuu,kipenga ndo kimepulizwa,haya bas nangoja maoni yenu na mipasho pia!Shukran.
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Jamil Malinzi Yeye kaweka Nyasi bandia pale Kaitaba,Nyamagana. Serengeti Boys wamecheza Gabon. Ligi ya wanawake Imerudi Ligi Kuu ipo Mubashara Azam Tv Wadhamini Wameongezeka Kawapa Makocha...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Jonas Mkude huenda akawa ni mchezaji mzawa anaelipwa mshahara mkubwa kuliko wote katika kabla ya Simba kutokana na kuongeza mkataba na klabu hiyo kwa makubaliano ya kulipwa shilingi milioni tano...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Real Madrid wamesema timu itakayomtaka Ronado italazimika kulipa pauni milioni 350. Real wana matumaini kuwa bei hiyo huenda ikawakatisha tamaa Paris Saint Germain na Manchester United zinazomtaka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
fatilia michuano ya kombe la mabara moja kwa moja kutoka urusi kupitia kituo chako bora kabisa cha TV1 kuanzia leo.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Sijui imekua ni fashion au vp... Sijui wachezaji hawaaminiki kwamba watakua na ubora ule ule kwa muda mrefu au vp... Hili suala linanikanganya kwa kweli. Kwa nini hatuoni mikataba mirefu ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
"I'm leaving Real Madrid, it's decided. I won't change my mind." - Cristiano Ronaldo to his Portugal teammates. (Source: MARCA) Naondoka Real Madrid...Imeamuliwa....sitabadili Uamuzi...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Yanga ndio habari ya 'mujini' kwa sasa!
3 Reactions
30 Replies
11K Views
Picha inajieleza
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Oi wakuu naomba kujua kama kuna mwanasoka mwenye ratiba ya sports extra NDONDO CUP kma kuna mwanamichezo mwenye fixture ya hii michuano anifahamishe Na pia naomba kujua kma timu nayoishabikia...
0 Reactions
2 Replies
921 Views
Ule uvumi wa mda mrefu kuwa Jonas mkude na Ajibu wanataka kuihama club ya simba imemalizwa na jemedari wa usajiri Tanzania ndugu Hans Poope baada ya wachezaji hao kila mmoja kusaini mkataba mpya...
2 Reactions
21 Replies
6K Views
Inasadikika kua Yanga bado hawajafanikiwa kumsainisha mshambuliaji wa Simba Ibrahimu Ajibu Migomba kwa kile kinachodaiwa kua wameshindwa kumlipa pesa yote japo walikwisha kukubaliana kila...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Misimu kadhaa nyuma kabla ya Ko Deuji kujingiza klabuni simba timu hii inayopatikana mitaa ya msimbazi ilikuwa inasajili wachezaji kwa mafungu mafungu na ilikuwa inapata shida sana kusajili...
4 Reactions
23 Replies
6K Views
Club inayoongoza kwa ubora Duniani na ambayo pia wengi wameiona na kudai kwamba ni Timu Bora ya Karne yaani #FCBARCELONA wamezindua #T-shirt nzuri kwa ajili ya sie Mashabiki......Kiukweli ni...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…