Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Leo kuna mitanange mitamu sana 1.Croatia vs England 2.Botswana vs Mauritania 3.Norway vs cezch Republic 4.Azerbaijan vs Northern Ireland Karibu tuchambue michezo hiyo nani ataibuka mshindi.........
0 Reactions
3 Replies
949 Views
Napenda kuwapongeza tbc1 kwa kuonyesha game ya stsrz na Lethoto Live.. naona mmeanza kujitambua sasa kuwa nn mnatakiwa kufanya..
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Hivi mechi ya tanzania vs lesto nisangap
0 Reactions
5 Replies
788 Views
Meya wa Jiji lla Madrid, Manuela Carmena baaada ya kukabidhiwa jezi ya Real Madrid na Nahodha wa Real Madrid. Sergio Ramos.
7 Reactions
31 Replies
5K Views
Harusi ya mshambuliaji nyota wa Barcelona, Lionel Messi sasa ni uhakika itakuwa Juni 30 na itafanyika kwao Rosario, Argentina yeye akifunga ndoa na mzazi mwenzake na mpenzi wake tokea wakiwa...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Wakuu, nimegundua kumbe upeo wetu ni mdogo mno. Pana fainali za FIFA U20 huko Korea Kusini, sawa na fainali za timu kubwa za mataifa, lakini hakuna hapa nchini anaefuatilia hasa media zetu...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Mi naona aende tu, anazuia ukuaaji wa vipaji vya madogo
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wakuu! Kupitia kichwa cha habari mimi nakaa Mikocheni Regent kwa anayeweza kunielekeza namna yA kufika Chamazi Complex kuangalia mechi Kesho naomba anielekeze. Yaani usafiri na kama kuna...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari Kamarada, Hivi hawa TFF wanatumia vigezo gani kuzuia AZAM FC kutotumia uwanja wake wa nyumbani pindi inapocheza mechi za ligi na SIMBA/YANGA, na kuruhusu TIMU YA TAIFA kutumia uwanja huo...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
SPORTPESA SUPER CUP: Yanga SC acheni dharau.! Sijui niseme nini. Ila iko namna hii. Kwanini mmeshindwa kuyapa heshima mashindano ya SportPesa super cup? Mmeona wenzenu walivyokuwa wanajua...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habarini wapendwa! Leo tunakamilisha msimu wa La Liga 2016/17. Tufanye Madrid bingwa wa La Liga na UEFA Champions League. FC. Barça bingwa wa Copa Del Rey. SWALI: Ni nani kati ya Messi na...
1 Reactions
47 Replies
10K Views
Wachezaj walioachwa *AFC Bournemouth* Buckley Callum Ralph McCarthy Jake Neale Matthew Alexander *Arsenal* Da Graca Kristopher Santos O'Connor Stefan Ramone Sewell Sanogo Yaya *Burnley*...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
London, England. Mshambuliji wa Chelsea, Diego Costa amesema ametumiwa ujumbe mfupi wa simu kutoka kwa kocha Antonio Conte akitakiwa kutafuta maisha sehemu nyingine. Ndoto za Costa kubaki kwenye...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Mchezaji wa Real Madrid Christiano ronaldo amechukua makombe manne ya champions league katika maisha yake ya soka ni kitu kikubwa sana kuna baadhi ya wachezaji mahili kama Ronaldo nazalio delima...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mshambuliaji Wazir Junior aliyejiunga na Azam akitokea Toto Africans, amefunguka mchezo mzima wa usajili wake ulivyokuwa baada ya awali kuonekana katika ofisi za Klabu ya Yanga akiwa na baadhi ya...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Kwa ufupi Kiwango cha juu alichokionyesha Mbaraka kimewavutia Simba, Yanga na Singida United kila moja ilionyesha nia ya kutaka kumsajili. By Mwandishi Wetu Mabingwa wa Kombe la Mapinduzi, Azam...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Watu wanashangaa Manchester United kuwa mentioned na Forbes magazine kama team tajiri duniani. Kwa mtu anayefuatilia mpira hawezi kushangaa kwani Manchester United ni taasisi kubwa na ni brand...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Game ya Yanga vs Afc Leopards ya Kenya.. Bado matokeo ni 0-0 Kipindi cha pili YANGA 0-0 AFC LEOPARDS ‘LIVE’ MAPUMZIKO, SPORTPESA SUPER CUP, UWANJA WA UHURU
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Mhariri mwenye akili timamu kabisa hawezi kukubali maandishi kama haya ambayo nayanukuu " Simba SC yafa chali Kifo cha Mende ndembe ndembe ". Matusi haya ya reja reja hayavumiliki na mtasababisha...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Mpangilio uko hivi wa FIFA 1.Argentina 2.Belgium 3.Colombia 4 Germany 5. Chile 6 Portugal 7.France 8.Spain 9.Brazil 10 Italy 11 Wales Kwa upande wa Afrika Mashariki yaani Tanzania...
4 Reactions
50 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…