Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Match Day. KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO #nguvumoja# 2' Mpira umeanza hapa Kibu anapoteza mpira wakati anakimbia kufanya mashambulizi. 16' Mabululu anaipatia Al ahly Tripoli goli la...
21 Reactions
1K Replies
43K Views
Zipo kila dalili mechi ijayo dhidi ya Walibya ikaisha kwa sare tasa.. Naomba nimkumbushe Mwalimu kwamba, Simba siku hizi imekuwa haina record nzuri pale inapotokea mechi zake kuamuliwa kwa matuta...
2 Reactions
2 Replies
339 Views
Jana kidogo tu, naona watu wanatupia tu mpira , BOKA huyu hapa. Defence yupo, forward yupo. Boka ana nguvu ana speed, hawa watu Yanga wanawatoa wapi?? Yanga mna uhakika huyu ni mchezaji sio...
25 Reactions
39 Replies
3K Views
Huyu “ATEBA” wamchunge sana ataua wengi sana msimu huu katika NBC Premier League na hii michuano ya CAFCCL. 🙄📌
3 Reactions
23 Replies
1K Views
WACHEZAJI wa kimataifa wa Al Ahli Tripoli [emoji116][emoji91] 1. Mabululu (Angola [emoji1029]) 2. Herelinson (Angola [emoji1029]) 3. Ayoub (Tunisia [emoji1249]) 4. Mourad (Tunisia [emoji1249]) 5...
15 Reactions
149 Replies
6K Views
✍️Usimamizi mbaya wa fedha baadhi ya wachezaji: Hukosa ujuzi au elimu kuhusu jinsi ya kusimamia mapato yao makubwa wanapokuwa kwenye kilele cha taaluma yao. Matokeo yake, wanatumia pesa kwa anasa...
0 Reactions
5 Replies
580 Views
Majuzi hapa mashabiki wa Liverpool eti wakawa wanasema virgil ni bora kuliko vidic. Admin wa page ya FA Cup akawakumbusha vizuri wamjue vidic ni kisiki. Naona vijana wa Arsenal wanaanza kusema...
2 Reactions
2 Replies
185 Views
Hapoo anapewa maelekezoo na kamati ya ufundi
1 Reactions
47 Replies
2K Views
Na Comrade Ally Maftah PACOME WA MCHONGO Leonel Ateba mshambuliaji wa Simba Sports Club mwenye jezi namba 13, amezaliwa tar 6 Feb 1999 ( 25 ) Cameroon Douala, ambae ametokea USM Alger, iliyopo...
0 Reactions
6 Replies
916 Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA YESU Kwanini waingileza ndo kama wameukamata huu mchezo wa ngumi Ni baada ya hapo jana waingileza wawili kutwangana na mwingeleza mmoja kutwangwa kama...
2 Reactions
5 Replies
595 Views
Kama mnavyojua tanzania tunawakilishwa na kina mama kwenye kombe la wamama ambalo litaendelea kesho na muwakilishi wetu ni klabu ya simba a.k.a mbumbumbu fc najua kesho hii klabu itaenda kuchezea...
9 Reactions
38 Replies
936 Views
Hapokei hata Senti kumi linapokuja suala la malipo ( mshahara ) Anajilipia/kugharamia kuanzia: a) Usafiri b) Makazi c) Malazi nk. Pia timu yake anayoimiliki yaani MAMELODI SUNDOWNS...
4 Reactions
5 Replies
679 Views
Yanga mumepata mseleleko Sasa kazi mnayio 👇👇 https://www.instagram.com/p/DAO9o1wM3K5/?igsh=MTc5aDRia2NxbWtjag== My Take: Safari yenu imefika mwisho Simba wao ni wakubwa watapangwa kundi la...
3 Reactions
51 Replies
4K Views
Nimefuatilia reactions za mashabiki wengi duniani juu ya matokeo ya mechi baina ya Man city vs Arsenal kupitia media mbalimbali, nimegundua kuwa wengi wamefurahi sana Man city kusawazisha bao na...
0 Reactions
13 Replies
394 Views
Draw ya group stage CAF Champions league na Confederation cup ni tar 7 October. Kila la kheri Simba na Yanga...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Juzi Bw.Kaduguda umekaririwa katika vyombo vya habari na nikakusikiliza vzr sana ukimshambulia vikali mshambuliaji Leonel Ateba eti sio striker kwa sababu za kitoto kabisa kuwa ana assist nyingi...
7 Reactions
14 Replies
1K Views
Simba naona shida ni number10. simba aitengenezi nafasi za kutosha , magori ni chances created. Simba inacheza big games, inatengeneza 2-3 chances . ila small games mpira unaonekana sana. huyu...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Hapa majuzi kati Nimeonaaaa badhii yatimu zikipewaa mafaini kadhaa Nawaza hiziz pesa zinaendaga waoi Ushauri pesa kama hizi. Ziende kwa vituo vya yatima na wajane Tusisubiri ngao ya jamiiii
1 Reactions
2 Replies
244 Views
1. Mchezo ulikuwa mzuri lkn ulitaka kuwa mgumu baada ya Mabululu kututanguliza na waarabu kuweka viungo wengi kati kuliko sisi ambao tulimtegemea sana Kagoma na Fernandez 2. Che Malone ameanza...
7 Reactions
41 Replies
4K Views
Kwa hapa nchini Simba inasifiki kwa jicho la kuona makipa bora wazalendo,Idfi Pazi,Mwameja,Kaseja,Manula etc Kwa miaka ya Karibuni Taifa keru kiliwategemea Manula,Kakulanya na Ali Salim, Baada ya...
0 Reactions
4 Replies
434 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…