Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kipa mkongwe wa Yanga, Ally Mustapha 'Barthez' na beki wa pembeni wa timu hiyo, Oscar Joshua ni kati ya wachezaji watakaokuwepo kwenye kikosi cha Singida United katika msimu ujao wa Ligi Kuu Bara...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
COYG-Namtizama Arsene Wenger kama funzo katika maisha yangu ,najifunza kutokata tamaa kwa kile nilichopanga kufanikisha . If you are looking for something dont comeback until you get it.Its not...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Ntaziita tetesi kwamba Azam Fc wameachana na Mchezaji wao John Boko Rafaeli,Akiwa ni kati ya wachezaji walioifikisha Azam hapo ilipo kwani kuanzia ligi daraja la kwanza mpaka Azam wanapanda ligi...
1 Reactions
11 Replies
6K Views
Tutapeana taarifa zote za Kombe la Sportpesa hapa. Michuano itaanza tarehe 4 na kufika tamati tarehe 11 mwezi ujao,kwa upande wa timu shiriki zipo nane kutoka mataifa ya Tanzania bara$visiwana na...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Simba acheni kuzubaa , ni wakati wa usajili ...ulimbukeni hilo kombe mlo bebwa utawagalimu, inatosha mlivyoshangilia nikiteni kwenye usajili sasa, huyo boko alishazeeka tafuteni damu changa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Tunaweza sema Edo Kumwembe ni muandishi( a columnist) wa michezo hasa mpira wa miguu wa kuheshimika Kama sio maarufu zaidi katika sekta hiyo umaarufu wake unamfanya hata anapoandika kuhusu siasa...
6 Reactions
26 Replies
4K Views
Siku chache baada ya kuisaidia Man United kubeba ubingwa wa Kombe la Europa, Paul Pogba ametua Maka nchini Saudi Arabia kwa ajili ya Hija. Pogba ambaye ni mwislamu, ameamua kufunga mwezi mtukufu...
9 Reactions
96 Replies
19K Views
Tupeane Tetesi za usajili katika Club zetu mbali mbali 1:John Bocco - Azam fc to Simba sc 2:Neck Maxine - Assistant Coach Young African - Confirmed by Jangwani magazine 3:Ajib na Mkude Simba sc to...
1 Reactions
36 Replies
11K Views
BAADA ya kupoteza mchezo wa fainali ya Kombe la FA mbele ya Simba kwa mabao 2-1, wachezaji wa Mbao FC wamemtupia lawama za waziwazi mwamuzi aliyechezesha mechi hiyo, Ahmed Kikumbo kutoka Tanga...
1 Reactions
46 Replies
6K Views
Habari! Kama inavyo jieleza kwenye kichwa, kwenye kupitia pitia kucheck tv nikakutana na mechi live za mashindani ya mpira wa miguu ya dunia kwa chini ya miaka 20 inayo endelea huko Jamhuri ya...
0 Reactions
4 Replies
876 Views
Walijiita majina kibao Mara wanamapinduzi ya soka,sijui ooh wao Levo yao ni tp mazembe Na alahly,walipochukua kikombe cha ligi kuu ndo matusi yakazidi nikamsikia kiongozi wao akidai watachukua...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Mara ya mwisho Simba kuchukua ubingwa: 1. Sukari kilo ilikuwa 700. 2. Ze comedy ilikuwa eatv. 3. Leicester city ilikuwa champion ship . 4. Diamond bado alikuwa tandale. 5. Nauli ya daladala...
13 Reactions
103 Replies
20K Views
VIJANA WAMEFIKA TAYARI GABON . -Timu ya Tanzania chini ya miaka kumi na Saba Serengeti boys imefika Tayari Gabon kwa mashindano ya AFCON (U17) Ambayo yataanza Jumapili Ijayo . Tanzania imefikia...
14 Reactions
507 Replies
75K Views
Straika Antoine Griezmann ameiambia klabu yake ya Atletico Madrid kuwa anataka kuondoka klabuni hapo. Hizo ni taarifa kutoka Hispania ambazo zimeibuka wakati ambapo mchezaji huyo yupo katika...
0 Reactions
3 Replies
948 Views
Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amekubali kuchukua mkataba wa miaka miwili katika klabu hiyo, hatua itakayoendeleza muda ambao amekaa katika klabu hiyo. Mfaransa huyo amekuwa meneja wa Arsenal...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Michuano ya SportPesa Super Cup, imeanza kuwa gumzo huku Wakenya wakitamba zaidi kuwa wanataka timu yao ichukue ubingwa na kupata nafasi ya kucheza na Everton ya England. Bingwa wa michuano hiyo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hii ni baada ya kuichapa Reading kwa mikwaju ya Penati 4 - 3, baada ya game kali sana ya Play off iliyopigwa Wembley na kumalizika kwa suluhu ya 0 - 0 katika dk 120. Kila la heri Huddersfield...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Nahodha wa Simba Sports Club Jonas Mkude ambae juzialipata ajali ya gari, ameruhusiwa kutoka hospitali na tayari amejiunga na kambi ya timu ya Taifa. Pichani akiwa na wachezaji wenzake Ndemla na...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Leo Yanga sports club wapo Mkoani Tanga kulitembeza kombe lao la vodacom baada ya kutoka mkoani Morogoro. Watu toka sehem mbalimbali Tanga waipongeza yanga
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…