Naweza kusema kwa sasa klabu ya Simba SC hususani mashabiki wa klabu hiyo hawapaswi kuwa na matarajio makubwa kwa timu yao kupata matokeo chana mbele ya Al Ahly Tripoli
ya Libya katika Kombe la...
Hongera sana Simba,timu ya mfano Tanzania na Africa mashariki. Timu wa kipimo Cha timu nyingine,
Timu waanzilishi wengine wanafuata,Timu bunifu,wengine wanafuata,
Timu yenye hadhi inayolipatiaga...
Nsikuchoshe na Usinchoshe,Tusichoshane!
Nimesikia mnatamba ya kwamba kwasasa hata aje nani atapigwa tu!
Tunaomba hadi tarehe 19 ya mwezi Ujao huyo Mpanzu awe amepewa vibali vya Kucheza maana...
Hata apewe Karne kucheza ni mchezaji wa kawaida Sanaa, ball control na end product yake mbovu kabisa. Anacheza Kama ndio anajifunza mpira....BIG NO
HAKIKA hapa TUMEPIGWA TENA!!!
Siku ya Jana ilikua kombe la mbumbumbu linaendelea na klabu ya mbumbumbu simba ilifanikiwa kuwafunga waarabu Koko vibonde wa biashara unitea ikumbukwe Hawa waarabu Koko walifungwa Gori 3 bila...
Young Africans- goals 17- million 85Tsh
Azam fc- goals 1- million 5Tsh
Coastal Union- goals 0- 0Tsh
Simba -goals 0 - 0Tsh
Pesa ya mama haijaenda kwenye kombe la akina mama
Simba atatolewa Leo...
ZFF ni Zanzibar Football Federation kwa Kiswahili ni Shirikisho la Soka la Zanzibar sawa na TFF.
Kimenishangaza ligi ya Zanzibar inaendelea wakati huu ambapo mechi za timu za mataifa zikiendelea...
Badooo sijapata jibu kwa nnavyomwona chama na home boy mkude wanachoffanya uwanjan
Najiuliza sana sana hivi kuna shida gani simba
Iweje wachezaji mnaowaacha wakija Yanga wanatakaa vibaya mno...
Leo nilikuwa naangalia ubora wa timu aiseeee. Kuna timu jana ilnipigia goli 3 ndani ya dk 4
Leooo naona goli 3 zimehangaikiwa kwa dk 90. Mpira haujawahi mwacha mtu salama
Huu ndio ukweli.Hakuna timu inayoweza kupata umaarufu Tanzania bila kwanza kujilinganisha na mnyama.
Mnyama anashindana na takwimu zake mwenyewe,wengine kila wakisema lazima wajilinganishe na...
Sitaki kuzeeka mapema kisa timu ya mpila. Hela nitafute kwa shida pia hata timu ya mpila nayo inipe stress??
Wana Simba mtanisamehe sana, kwa Yanga hii tutasubiri sana.
Kama huwezi kushindana nao...
Mayday ni neno la utaratibu wa dharura linalotumiwa kimataifa kama ishara ya dharura katika mawasiliano ya redio. Kwa wale wanaofahamu mambo ya jeshini nadhani watakuwa wanafahamu, hususan anga...
Baada ya kiwango kizuri alichoonesha siku ya leo akiisaidia timu yake kupata goli la kusawazisha akifunga yeye mwenyewe na mechi kumalizika kwa jumla ya magoli matatu kwa moja.
Sasa ndio Kibu...
Mwaka 1998, Yanga ilifuzu hatua ya makundi ya Club Bingwa barani Afrika kwa kuichapa Coffee ya Ethiopia mabao 6 kwa moja katika mechi ya marudiano iliyofanyika uwanja wa Taifa tarehe 08/05/1998...
Baada ya nyuma mwiko a.k.a gongowazi,yondo sista,utopolo,nzi wa kijani,chura mjane kuwafunga kwa mbinde tugoli sita walima matikiti wa ethiopia uto wameshindwa kuivunja rekodi ya kufunga goli...
Leo simba wamecheza chini ya kiwango sana, mashabiki wengi wanasema sababu ni heshima ya ugenini ila sikubaliani na hilo.
Hawa wajukuu wa Ghaddafi wapo vizuri sana, kwa kiwango hichi cha simba...
I will be short
Simba fans are actually happy with the goalless draw against Al Ahly Tripoli despite the 50% - 50% chance of qualifying in the group stage here at home.
Simba had a bad game...
Hatimaye klabu ya simba yafuzu kombe la mbumbumbu walioferi aisee kweli mwaka huu Kuna vichekesho wenzao yanga wapo klabu bingwa ya mabingwa wao wamefuzu kombe la walioferi wanashangilia kama...