Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

A BRAZILIAN goalkeeper convicted in the killing of a former girlfriend was ordered back to prison, the latest chapter of a seven-year saga that human rights groups say underscores violence toward...
0 Reactions
1 Replies
842 Views
Shabiki mmoja wa Tottenham yu hoi bin taabani baada ya kupata majeraha yaliyo makuu ikiwa ni pamoja na kujeruhiwa katika fuvu lake la kichwa kufuatia shambulio lililofanywa na Mahsabiki wenzie wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani kwa yeyote aliyepo Iringa atupe updates: mimi ntaleta picha na matukio kadri ntavyokuwa napata kutoka kwa watu walioko huko!! Mashindano haya ni magumu kwa kuwa undistiputed champion Gerald...
2 Reactions
19 Replies
9K Views
Mtanzania Alphonce Simbu ashika nafasi ya 5 Marathon Olympics, haijapita kutokea. Juma Ikangaa aliwahi kushika nafasi ya 6. Mtangazaji alisema they say in Tanzania Hapa Kazi Tu!! Kumbe slogan ya...
6 Reactions
105 Replies
14K Views
Mpaka sasa ni timu mbili tayari zina uhakika wa kucheza ligi kuu ya Uingereza(zimepanda Daraja) nazo ni Brighton na Newcastle Hii Brighton ni Ngeni kidogo manake tangu nimeanza kufuatilia enzi za...
4 Reactions
49 Replies
39K Views
Katika hali isiyo nzuri kama Time ya Lipuli itapangiwa nano awe kiongozi ktk Club hio huwenda wasifanye vizuri huko mbele wanapokwenda. Imani yangu iliopo kwa sasa juu ya mpira WA Tanzani no...
1 Reactions
4 Replies
709 Views
Msemaji wa Simba aliepewa adhabu Haji Manara amelalamikia kutopewa haki ya kusikilizwa na chama cha mpira nchini. Manara amedai hati ya mashtaka ya TFF imemtuhumu kwa kutaja ukabila ila haielezi...
10 Reactions
99 Replies
9K Views
TFF KATOA!! KACHUKUA!! JE ATATOA TENA? Tff ndio chombo chenye dhamana wa mpira wa miguu kwa hapa Tanzania, wao ndio wanatunga sheria, kanuni na adhabu pale ambapo sheria na kanuni zimekiukwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu naomba tujadili hapa mstakabali wa timu zetu katika levo ya kimataifa ,Je ninani kifanyike ili vilabu vyetu viweze kuboresho zaidi ,na hatimaye tuweze kuwakilisha vizuri katika anga za...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ch- 3+8++22=33 TOT=20+15+22=57 Namba zote ni witiri , hivyo hiyo game naipa draw .
1 Reactions
48 Replies
6K Views
Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) limetangaza kuipoka Simba pointi tatu na mabao matatu ambazo ilipewa kutokana na mchezo wao dhidi ya Kagera Sugar. Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za...
6 Reactions
180 Replies
28K Views
Shirikisho la Soka nchini Tanzania limemkuta na Hatia Msemaji wa Clab ya Simba Haji Manara kwa kosa la kutoa Lugha Chafu kwa Mh. Rais pamoja na Baadhi ya Viongozi wa Shirikisho hilo ambapo alitoa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Niwakumbushe tu ndugu zangu SIMBA,mlifungwa 2-1 na KAGERA huko KAITABA.Point za KAGERA ni halali na walizitolea jasho,acheni janja janja utafikiri mlishinda mkapokwa point. Ushauri wangu,chezeni...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Baada ya kuonenaka kuwa TFF ya Malinzi, wana Kagera wenzie ( Wahaya ) na Yanga FC wanataka kuiangamiza Klabu ya Simba juu ya points zake na tayari kukiwa na tetesi kuwa huenda leo mchana maamuzi...
10 Reactions
109 Replies
15K Views
nlikua nafuatilia sakata la Manara kufungiwa kisa kuongea vitu ambavyo vipo kiukweli Malinzi kafail malinzi huyu huyu ndo alikua anaendesha kampain Simba na Yanga zisiwe chini za watu binafsi, leo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kamati ya maadili ya TFF Leo imetoa hukumu kwa Msemaji wa Simba Sports Club, Haji Manara kufuatia kutokuitikia wito wa kamati hiyo. Kamati hiyo imetoa hukumu ya makosa matatu dhidi ya Manara na...
6 Reactions
110 Replies
15K Views
Hatimaye imethibitika kuwa ukata umepiga hodi Kwa Wakimataifa Yanga.Dalili za ukata zilianza kujitokeza Mara tu Rais wa Yanga Diwani Yusuf Manji alipotuhumia kujihusisha Na Madawa ya kulevya.Juu...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Huyu haji Manara ni full kutoa povuuuuu. Mara Ohhh mm mtoto wa mjini. Nitamwaga mboga. Mara Oohhh Natural Justice. Sijasikilizwa. Lowassa hakusikilizwa leo siyo Waziri mkuu. Dr. Mwale Malecela...
1 Reactions
0 Replies
536 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…