Nimefuatilia match mbalimbali za ligi ya mabigwa ninaujasiri wa kusema kuwa kikosi hiki cha young african mwaka huu kina balaa zito..
si ajabu kabisa kikailetea tanzania na mpira wetu thamani...
Ewe Mwenyezi Mungu muumba ardhi na dunia, umeumba wanadamu na vitu vyote vilivyopo, tunakuomba uijalie Simba ushindi leo katika dimba la Benjamin Mkapa ili tuweze kufuzu hatua ya makundi.
Ewe...
Huyu kochanmtuu mbad sana aisee
Ameulizwa vipi kuhusu mechi anajibu m niliwambia leo nataka muondoke na mil 50
Nimehuzunishwa sana nashangaa wamechukua 30mil tu...
KazinikwaYangakunakazi
Kuna sehemu nimekuja kupata supu ya kuondoa hangover, tangu saa nne asubuhi nipo hapa sijaona hata mtu mmoja alievaa jezi ya makolo.
Naona wananchi tu wanakatiza mitaa wametupia jezi zao.
Hali...
NItaelezea kwa ufupi sana hili suala. Kuna watu kwa sababu wametokea kupenda kudanganya mashabiki wao, wanadhani kila mtu ni wa kudanganya.
Katika ranking ya miaka 5, hakuna point unazopata eti...
Mungu fundi kweli
Wacha tuendekee kuishabikia tu
Nawaza haka katimu kanavyotrsa watu hivi
Laiti inggekua na dini yake nahisi wach wangepiga hela sana
Wacha kabaki hivihici
Jana nilicheki mechi baina ya Real Mallorca vs Real Madrid, gemu iliisha kwa sare ya bao 1 -1, mpira mwingi ulipigwa na Real Mallorca jana na almanusura Madrid walie dakika za mwisho, Real Madrid...
Endapo Simba itashinda usiku wa leo, itajihakikishia alama 2.5, hivyo ukijumlisha na alama ilizo nazo kwa sasa, 28 + 2.5 = 30.5 hivyo itamrudisha juu ya Yanga kwa alama 1.5
FULL TIME
90+1' Zinaongezwa dakika 4 za nyongeza
90' Wenyeji wanaweka mpira wavuni lakini mwamuzi anasema mfungaji aliotea
81' Farid Mussa anaingia, anatoka Fei Toto kwa Yanga
76' Yanga wanamtoa...
Kama una angalau "F" inakupasa kujua kuwa Yanga SC haitokutana na TP Mazembe, Raja Casablanca wala CR Belouizdad wakifika makundi msimu wa huu 2024/25 kwenye CAF Champions League.
Na mechi za...
Yaan ya jana yanafurahisha sana
Nakumbushwa KHALID AUCHO hajacheza hata dakika moja leo hii, navutwa shati kuwa BAKARI NONDO hakuwepo hata sub leo hii, naambiwa STEPHEN AZIZ KI ametokea benchi na...
ANAANDIKA MCHAMBUZI,GEORGE AMBANGILE.
.
.
✍🏻Yanga wamecheza hii mechi utasema vile mechi ya mkondo wa kwanza alifungwa
1: Sharp wakiwa na mpira na bila mpira
2: Aggressive ( matumizi ya nguvu...
-Klabu ya Simba SC ya Tanzania sasa rasmi imekuwa miongoni mwa vilabu 10 ambavyo vitaanzia raundi ya kwanza kwenye mashindano ya CAF Champion League msimu 2022/23 kama msimu uliopita baada ya CAF...