Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Naomba anayejua television itakayorusha mechi ya yanga leo anijuze tafadhali.
0 Reactions
41 Replies
30K Views
Naomba kujua ratiba za michezo ya Leo.
0 Reactions
0 Replies
680 Views
Habari za asubuhi ndugu zangu na wapenzi wa mziki wa hipop,nisiku ya 3 Leo ndugu zangu Niko katika majonzi ya taarifa za kukamatwa na kutekwa na kupelekwa kusiko julikana kwa msanii ninaye mpenda...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Do u agree with me??!
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Pamoja na changamoto za kifedha zinazowakabili lakini bado mnaendelea kupambana kiume kuhakikisha kuwa mnaendelea kubaki katika ligi kuu Tanzania bara. Tunawashukuru kwa roho yenu na moyo wenu wa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
wakuu mimi mpenzi wa masumbwi, lakini mara chache hutokea tukio haswa ikiwa pambano la ngumi likiendelea. unaweza kuona waandaaji wa pambano wanatupa taulo(kitambaa)na hapohapo pambano...
1 Reactions
1 Replies
890 Views
Wanajamvi hili la sport naombaa tuwekanee saawa kuhusu huu umrii wa wachezaji wa serengetii boys .....kweli tanzania kijana wa umri wa miaka 17 anakuwa hiviii..... Jaman hebu 2we wakweli msema...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Salaam wana Jamvi, Najua wengi wenu mmeshtuka na kustaajabu kwanini nimetamani iwe hivyo. Kwanza kabisa ningependa Ubingwa wa msimu huu uende kwa mtani wangu....si kwa sababu ana uwezo wa kuwa...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Nipo hapa zanzibar town leo, nataka sehemu yenye vinywaji na wanaonesha mpira game za leo. Wenyeji nisaidieni niende wapi please. Na hii mvua inayoendelea hotelini hata hakukaliki
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kiungo wa Manchester United Jesse Lingard amesaini mkataba mpya na timu yake na atakua akivuna mshahara wa pauni 75,000 kwa wiki na kama watafuzu kushiriki michuano ya klabu bingwa ulaya apata...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hapa tutakuwa tunazungumza kuhusu timu tishio kwa sasa hivi Uingereza inayocheza ligi kuu ya England Sio nyingine ni Leicester City Una chochote kuhusu timu hii Tafadhali tupia hapa Na ninaomba...
5 Reactions
445 Replies
54K Views
Hiz kazi zetu bhana yaaan utakuta kitimu kimoja tu kinakunyima utajirii hahaha oxford utd Mungu anakuonaaa...
0 Reactions
1 Replies
625 Views
Huyu ni zaidi ya hatari!
5 Reactions
71 Replies
7K Views
Kwa sasa kiwango cha Brazili kiko juu kabisa na wiki ijayo Brazili itaongoza kwenye viwango vya FIFA vua Ubora na kuishusha Agentina. Brazil wameishinda mechi 8 mfululizo za kuwania kufuzu kombe...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Nchi yetu ina tatizo la watawala na viongozi kufanya mambo ya maendeleo kwa njia ya kujitoa na kusakiziana badala ya kuungana (teamly) kuyatatua matatizo ya watu. Na kuvutana huwa hakusaidii...
0 Reactions
2 Replies
802 Views
Leo ndo leo asiye na mwana aeleke jiwe, miamba miwili ya soka ya hapa tanzania timu ya Azam na yanga wanapotifuata uwanja wa Taifa. Tuungane sote kufatilia nani kuibuka mshindi hii leo
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Wengi wetu tz tuko familiar na ule mchezo wa kwenye bodi unaoitwa DRAFT ,sasa huu mchezo wa chess,bodi(board) yake imefanana vilevile na draft ila lenyewe halitumii mfumo wa mainroad.. Draft...
4 Reactions
17 Replies
8K Views
Mchezo wa kirafiki kati ya Serengeti Boys (Tanzania) na Black Starlest (Ghana) umemalizika uwanja wa taifa Dar Tanzania 2-2 Ghana. Dakika ya 90+9 Serengeti Boys wanasawazisha Tanzania 2-2 Ghana...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu mashabiki wa simba , amani iwe kwenu. Mie kama mshabiki wa simba na wenzagu hatufurahii aina ya mpira unaochezwa na simba..Yaan hauvutii kama wa real au arsenal. Hivyo naomba uongozi wa...
1 Reactions
52 Replies
6K Views
Jumanne wiki ijayo baada ya kutoka kwenye mechi dhidi ya kagera sugar , Simba sports club itacheza mechi ya kirafiki na timu ya USHIROMBO RANGERS katika uwanja wa kilimahewa, Sasa wana Yanga hebu...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…