Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mi hii hapa ndo niliumia sana hadi leo hii.. 1. Tanzania vs Msumbiji -2007. Tico Tico anatufunga dakika za mwanzo kabisa afu ndo ilikuwa mechi ya kwanza ya kimashindano kuchezwa uwanja mpya wa...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Binafs ni mpenzi wa timu ya Simba kitaifa. Lakin inapotokea Kagera sugar( timu ya nyumban) inacheza na timu yoyote sipendi ifungwe na hasa ikiwa Kaitaba! Na hata Yanga( ambayo kwa mechi za ndan...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
twende pamoja
0 Reactions
0 Replies
496 Views
4 Reactions
4 Replies
815 Views
Wanajamvi, mchezo wa soka unahusisha timu tatu uwanjani.ukiacha zile mbili zinazochuana pia kuna timu ya waamuzi. timu hii ni sehemu muhimu ya burudani ya mchezo huo. hivyo tukumbuke majina...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Yanga 1 Azam O Ni kijana Mzambia Akiwa hajawahi kuonekana amenyoa upara ila leo Akiwa na mwonekano wa Kipara pale uwanjani Ameisaidia timu yake Ya Yanga kushinda Goli 1 dhidi ya Wanalambalamba wa...
3 Reactions
14 Replies
4K Views
Ni kweli kwamba nchi yetu ilikuwa inahitaji uwanja mkubwa wa soka na wa kisasa pia , lakini mahali ulipojengwa hapakuwa sahihi . Kwamba hapo ulipojengwa uwanja mpya palikuwa na uwanja mwingine...
2 Reactions
31 Replies
39K Views
Wana jf naomba kuuliza anayejua ticket za mechi ya kesho kiwango cha chini wameweka bei gani?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Teknolojia ya video ilitumiaka usiku wa jumanne katika pambano kati ya Spain na France. Huku goli lililofungwa na Antoine Griezmann likikataliwa kwa kuwa alikuwa ameotea, na goli la Gerard...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naona kama mpira hawawiki maana majiji na miji mikubwa karibu yote ina timu VPL na najua watu wa huko hawawezi shindwa kusupport timu kiuchumi. Kwahiyo nahisi labda wananchi hawapendi mpira wa...
2 Reactions
42 Replies
5K Views
Wasalaam wanabodi, Mimi kama Mwanachama mtiifu wa club ya Simba SC, naishauri club yangu pamoja na harakati za kunyakua ubingwa wa Ligi kuu Tanzania bara, Uongozi uitishe harambee ya kuzikomboa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Sio mbaya leo Tukiwajua wachezaji wenye kasi zaidi ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara. Mfano pale Epl kuna Antonia Valencia,E.Hazard na huyu Ngolo Kante Anaweza kupiga kona na kuja kufunga...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Watu wanapenda sana mchezo wa ngumi ila sasa ufadhili na misaada ya kitaalamu hamna ona hawa wanavyotia huruma.Mchezo wanaupenda lakini ndio hivyo tena
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ronaldo ameingia kweny orodha ya wachezaji 10 wenye magoli mengi zaidi kwa timu zao za taifa kwa muda wote baada ya kufikisha goli 71
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wana JF, Nimeiangalia ranking list (viwango vya Ubora : FIFA) kwa nchi za Africa (CAF) nikajiuliza kwa sauti kama sasa Tanzania inashika nafasi ya 48 kati ya wanachama wote 54 wa CAF; Je...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Hello habari kama Post inavyojieleza n hapo juu kwa wale woote watakaopenda kujiunga na mchezo huu wa kunyanyua vitu vizito Tanzania Tuawsliane hapa maelezo zaidi nipm: ( mchezo huu sio...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kupitia mtandao wa transfermarkt lionel messi ametajwa kama mchezaji ghali zaidi ulimwenguni kwa sasa akiwa na thamani ya euro million 120 akifuatiwa na cristiano ronaldo pamoja na neymar junior...
0 Reactions
2 Replies
960 Views
kwa muda mrefu kumekuwa na malumbano juu ya ipi ni ligi bora duniani kwa takwimu hapo chini nazani tunaweza kuumalza ubishi kam sio kuupunguza tafadhari tazama katika link hapo chini TAKWIMU -...
0 Reactions
72 Replies
19K Views
Tunaomba matokeo ya mashindano ya mbio za nyika yanayofanyika nchini Uganda ili tujue tambo za katibu mkuu wa chama cha riadha nchini ndg. Wilhelm Gidabuday zilikuwa na uzito gani. N.B. aliahidi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…