wakuu mimi ni shabiki wa kutupwa wa simba lakini naombeni msaada wa ufafanuzi wa kanuni za kombe la shirikisho Tanzania ,utata unakuja kwa nini bukungu basala Leo acheze wakati alikula radi dhidi...
Wkt mchezo wa magari tanzania ngazi ya kitaifa unaingia raundi ya sita inayotarajia kufanyika jijini arusha ili kumpata bingwa wataifa wa mchezo huo nakaribisha maswali yoyote yanayohusiana na...
Arsène Wenger remains determined to stay on at Arsenal for yet another cycle despite the club being mired in the worst sequence of Premier League results of his long tenure.
Wenger’s team slumped...
Pongezi tuwap waie Vijana wa Serengeti Boys walivyojitahidi, ingawa kwa "figisufigisu" kuwa moja za timu iliopania kufanya makubwa nchini Gabon.
Itakuwa si vizuri tukapora...
Dear Arsenal
Natumai u mzima, Napenda kukujulisha kwamba kesho ntakukabidhi zawadi ya nafasi ya sita , zawadi hii nilipewa kwa mashart kuwa endapo na mimi nikimpata mtu mwaminifu...
Wakuu na washabiki wa mchezo wa kabumbu tayari wawakilishi wetu wote ambao ni Azam na Yanga wametolewa nje ya kinyang'anyiro haijalishi kwa uzembe au la! kufugwa ni kufungwa maana ufanyapo kosa...
Dear arsenal,
Nashkuru sana kwa kukubali mwaliko wa kuja kuchukua zawadi yako ya nafasi ya sita. Kama nilivyokwisha kusema mwanzoni kuwa nafasi hii nilipewa na kuambiwa niitunze paka...
Niwaambie tu Mashabiki wa Yanga kuwa ondoeni hofu, leo ni siku ambayo
itakuwa chungu kwa Wazambia hao kwani watabanduliwa kwenye michuano
kwa idadi nzuri tu ya magoli.
Kama hiyo mechi itarushwa...
Azam Fc kashinda 1-0 nyumbani lakini alizidiwa muda mwingi wa mchezo, Goli lenyewe walilopata ni la Offside. Jana Yanga nae akiwa nyumbani alitoa suluhu 1-1 dhidi ya Zanaco huku wakicheza katika...
Daa!!!!!arsenal mbona mnanitesa nyie mi kabila lang mhehe mjue alaf uyu kocha anayefanana na Mr bean kwan timu yake iyo so aondoke jmn[emoji27] [emoji27]
Kuna kila dalili kuwa wazanzibar kwa umoja wao wanashindwa kudai kujitoa kwenye Muungano kwa njia za uwazi. Kujitoa kwenye ligi ya Muungano (super league), kuomba na kupata uwanachama wa CECAFA na...
Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga Muholanzi Hans van Pluijm. Ameanguka Saini ya Miaka Miwili Kuifundisha Timu iliyopanda Daraja (VPL) Mwaka huu Singida United.
Nafikiri huu utakuwa ni Mpango wa...
Matokeo ya Yanga na Zanaco wametoka Sifuri kwa Sifuri au ( 0-0 ) na Yanga imeyaaga mashindano na sasa itashiriki Kombe la Shirikisho kwa mujibu wa habari nyepesi nyepesi.
Ili team yetu ya yanga iwe inafanya vizuri nashauri lianzishwe kombe ambalo litakuwa lina team toka visiwa vya komoro,madagascar,shelisheli ,zanzibar na mauritius na hapo ndo team yetu ya yanga...
Lack of winter break or not good enough: why are English clubs failing in Europe? Paul Wilson
Gruelling festive fixture lists may not be good preparation for playing Champions League football in...
Leo utachezwa mtanange wa Kombe la FA kwa hapa bongo ambapo Kagera Sugar watakwaana na Mbao FC. Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Bukoba mjini kupitia KASIBANTE FM RADIO - Home...
Kuna habari za Kimichezo zimetokea nchini Mwetu Ila hazijavuma sana kama vile.
Kocha wa Taifa Stars kutangaza wachezaji watakaounda kikosi hicho,Nahisi kwa michuano ya Caf kitaitwa Killi Stars...