SIMBA imeshaipa neema Tanzania πΉπΏ baada ya kuingiza timu nne kwenye mashindano ya klabu Afrika msimu huu na msimu ujao kwa mara ya tatu mfululizo.
Kitendo cha Simba kuwepo katika hatua ya makundi...
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limetoa Orodha mpya ya Vilabu Bora Afrika kuelekea msimu mpya 2024/25
.
1. Al Ahly (Egypt) β 87 points
2. Esperance (Tunisia) β 61 points
3. Wydad AC (Morocco) β 60...
Mechi ya Kwanza walicheza nchini Ethiopia na Mechi ya Pili ambayo inaendelea sasa wanachezea Nchini Zanzibar.
Bado haijajulikana sababu hasa za kufanya Jambo hilo.
Bali Mitaani kumejaa...
Aliyekuwa mchezaji wa As vita ya DR Congo Ellie Mpanzu yupo nchini kusaini mkataba wa awali wa kucheza Simba baada ya Dili lake ubelgiji kushindikana
Mpanzu kasaini miaka mitatu na atajiunga na...
Msiamini saaaana mipango yenu bila kuchukua tahadhari, hawa wenzetu sio watu kabisa, hawapendi mafanikio yetu, wanataka mwaka huu washiriki kivyao ndio maana wameuacha uwanja, hawakuacha hv hv kwa...
PERFORMANCE YA KUFYEKA VICHAKA!!!!
βπ»Hii ndio Total Dominance iliyokamilika kwa Yanga kufanya vitu vingi kwa usahihi kuanzia filimbi ya kwanza hadi 90 mins , CBE SA kwa namna walivyokuwa...
Wakuu haya ni maoni yangu kiafrika sioni umuhimu wa Yanga kuwa na uwanja wake wakati Kuna viwanja vitatu kwa dar anavyoweza Kutumia bila shida badala yake nadhani hiyo pesa ingejenga sport center...
Al-Ahli Tripoli wamegoma mizigo yao kuingia kwenye gari kubwa na mizigo yote wamepakia kwenye gari ndogo aina ya Kenta wameweka vifaa vyote vya kufanyia mazoezi na vyakula vyao wametoka navyo...
Wakuu,
Nimeona clip kijana wa azam akipiga chenga mabeki wa KMC kisha wakawa wanajiangusha,
Mabeki watano na kipa wa sita, tena akiwapita wanajiangusha na kunyanyuka kisha wanamuangalia tu kwa...
Baada ya Jana Timu yetu Kujitahidi na kutoa Sare ya Suluhu (siyo Samia) na Wachezaji wetu kufanyiwa Fujo pale Uwanjani (nchini Libya) nina uhakika wa 100% ili Kuingiza Timu yetu matatizoni (kama...
Hakuna Magoma tena, punzi imekata. Akina Magoma wako wengi sana pale Simba na Yanga (kulwa na doto), wale wa Simba walikuwa wakisubiria waone Magoma wa Yanga atanufaikaje na kesi ili nao...
Yanga anazo point 31 kwenye rank za CAF, Simba anazo point 39, tofauti yake ni alama 8
Yanga akiingia makundi anaongeza alama 2Γ5=10, ukijumlisha na 31 walizonazo wanafikisha 41, hapo ni kama...
Ni mchezaji mkimya na mtulivu sana lakini ana balaa uwanjani, mchezaji pekee ambae ana uwezo wa kupiga chenga mpaka wachezaji 6 na kipa, n.k.
Mwaka 2023 waarabu walikuwa tayari kumlipa Euro...
Wengi tunaopita kwenye social media mbali mbali tumeona msemaji wa yanga akinusurika kupata kipigo kwa kujaribu kukamata jezi feki za timu yake na nyingine za Simba.
Kwa muda mrefu kumekuwa na...
I salute you kinsmen..!
Wote tunakumbuka namna mamelodi pamoja na aliyekuwa kocha wao bwana Rhulani mokwena walipoikonya yanga ushindi wao halali kabisa na kwenda kutolewa hatua ya nusu final...