Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

msemaji wa simba ameandika maneno haya katika ukurasa wake wa Instagram "unakumbuka maneno ya huyu dogo alivyotudhalilisha mwambie this is simba na benchi ndio makazi yake ya kudumu" chanzo...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Kocha wa Barcelona ya Hispain Luis Enrique, ametangaza rasmi kwamba mwishoni mwa msimu huu ataachana na kuifundisha timu hii kwa lengo tu la kuhitaji kupumzika! Haya aliyasema jana, baada ya...
0 Reactions
2 Replies
940 Views
Kenya’s SportPesa AllStars lost against Select Hull City 2 – 1, thanks to an 11th-minute goal by Elliot Holmes and an own goal by Haron Shakava 66th minute. look at how the Kenyan fans are...
0 Reactions
4 Replies
966 Views
Goli la pili la Chirwa lililokataliwa tatizo ni nini? Mliopo uwanjani tuambieni huku mashabiki wa Yanga tumepanic!
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Nlisema hapo mwanzo yanga walijiweka katika mazingira mabaya sana kwa kuacha kujiandaa kujitegemea na kuanza kumtegemea manji peke yake. Manji amefanywa kama mungu na weng ya wanayanga. Wakasahau...
9 Reactions
26 Replies
4K Views
Poleni na mihangaiko ya hapa na pale Kwanza naanza na hii ratiba mbovu waliyoipangia yanga jumapili acheze morogoro ambapo itakuwa tarehe 5 na jumanne acheze dar tarehe 7 tena kwenye mashindano...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Maisha yana KANUNI Nyingi ambazo kila Mmoja anapitia kivyake......!!! Usijali Uko wapi Leo, Ipo SIku Utalibeba Taifa na Utakuwa Wategemewa. Watoto ambao Wanaishi Mazingira Magumu (Mnajua Vema...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Leo ni siku nyingine katika historia ya Yanga na Simba. Yanga iliandika historia ya kuitandika Simba goli 5-0 hapo tar. 01/06/1968. Simba ilijibu mapigo kwa kuicharaza Yanga 6-0 tar. 19/07/1977...
2 Reactions
775 Replies
57K Views
hivi karibuni tiboroha alivunja mkataba na Niyonzima na kutomkabidhi barua ni bora mtujulishe mashabiki hilo sakata .
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuelekea mechi yao dhidi ya Ndala siku ya jumatano.. msemaji wa timu ya Ruvu Shooting, Masau Bwire.. kanena mazito, namnukuu.. "Si unajua Yanga aliishauwawa na Simba kule poroni, sisi...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Ndugu wana JF, habar zenu? Natumai mko powa! Nawatafuta wachezaji wa t/tennis almaarifu ping-pong players wote waliowahi kushiriki mashindano ya Ummiseta kuanzia 2010-2015 toka Tanzania bara...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Simba ipo hoi, ni baada ya kushiba mno baada ya kumla fulani!![emoji1][emoji1][emoji1]
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Habarini Wadau, Hawa malegendari viungo wa mpira wa miguu kuwahi kutokea duniani nawakubali sana Binafsi nashindwa kumchagua mmoja na kukiri kuwa ni bora zaidi ya mwenzie. Kwa maoni yenu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Timu ya Dar Yanga Africans hivi karibuni ulitoka sare na timu ya Comoros baada ya kuifunga timu hiyo ya Comoros goal 5-0 huko Comoros. Lakini mechi ya marudiano hapa hapa nyumbani timu hizo...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Mashindano ya riadha ya Kilimanjaro Marathon yaliyofanyika jana Jumapili mjini hapa, yameacha simanzi baada ya mwanariadha Mkenya, Charles Maroa (36), kufariki dunia baada ya kuanguka ghafla...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Salama jamani? Mimi mwenzenu ni mshabiki mkubwa wa Yanga na kama mashabiki wengine wa Yanga nafsi yangu huwa inaumia sana timu yangu ikifungwa. Matokeo ya mechi dhidi ya Simba yameniumiza sana...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Aikaeli Mbowe na mjumbe wa kamati kuu ya chadema,leo wametoka kwa aibu kubwa uwanja wa Taifa baada ya timu wanayoishabikia,YANGA kupigwa bao mbili kwa moja na SIMBA...
7 Reactions
59 Replies
9K Views
Kwanza nianze kabisa kwa kusema kuwa sikuwa na sababu za msingi kuishabikia Simba. Mara ya kwanza kuwa mshabiki wa Simba ni pale nilipojiunga na shule ya msingi darasa la kwanza. Muda wa...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Ikumbukwe 25/02/2017 katika dimba la Taifa, mnyama mkali mwituni, Simba atakua akipambana na Ndala katika mechi ya mzunguko wa pili wa VPL. Mda mfupi uliopita, msemaji wa Simba SC, Haji Manara...
6 Reactions
66 Replies
7K Views
Hatimaye kelele za Yanga wakimataifa leo zimeishia tamati baada ya kukatwa pumzi mapema na wekundu wa msimbazi, Simba. Simba wakicheza wachezaji 10 waliweza kutandika kandanda safi na kusababisha...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…