Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwa hali ya hewa iliyopo sasa angani na mvua inayonyesha sasa jijini Dar hakyanani Yanga FC leo mkitoka salama Uwanja wa Taifa naufyeka ( naukata ) kabisa Uume wangu na nitajua mwenyewe nitakuwa...
9 Reactions
108 Replies
12K Views
Bado ni kocha mzuri na ndio maana simba wanasherehekea mpaka leo, anahitaji muda zaidi pia apate muda wa kusajili. Anayesema Lwandamina hafai hajui Mpira. Nilikuwa na mengi lakini nimekosa furaha...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
SIMBA SPORTS CLUB S.L.P 5555 MSIMBAZI/DSM 25 FEB 2017 T F F S.L.P 0001 KARUME/DSM Ndugu...
5 Reactions
12 Replies
4K Views
Final ya EFL cup leo Kati ya Southampton vs Manchester Ndio tutamkaribisha rasmi Jose morinho Tunategemea Rooney kunyanyua tena ndoo [emoji460] [emoji460] [emoji460] [emoji460] [emoji460]...
0 Reactions
2 Replies
771 Views
Jose mourinho kuonesha makali yake leo hii katika fainali ya calling cup inayopigwa leo wembley saa moja na nusu saa za africa mashariki mida hiyo wadau tujisogeze kwa runinga
1 Reactions
3 Replies
575 Views
Baada ya ushindi wa jana tuliopata dhidi ya Ndala... ilibidi nirejee katika "makablasha" yangu.. na kuangalia je kuna kizuizi chochote kilichobakia "barabarani"?! Katika "makablasha" yangu...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
''Yanga Afilika'' ikiwa bado ina kumbukumbu za ''kupukuchuliwa'' goli 5 katika Kombe la Mapinduzi imekuwa na bahati mbaya tena wiki hii siku ya Jumamosi ambapo itakutana na kiboko yao Simba Taifa...
4 Reactions
46 Replies
7K Views
Kumekuwa na maneno mengi ya kumbeza mafugoal ambaye mpaka sasa ana mabao 4 kama sikosei. Lakini kiuhalisia ludit mavugo ni mchezaji mzuri mwenye nguvu na uwezo mkubwa wa kumiliki mpira. Tatizo...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu kesho nina safari ya Zambia. Nina matumaini pasipo na shaka kabisa kesho nitakua nae siti moja au atakua jirani yangu huku tukisoma magazeti kwa mbaali na nikifungua ukurasa wenye sura ya...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
TFF napenda niwapongeze kwa maandalizi ya mchezo kati ya watani wa jadi Simba vs Yanga kwani mambo mengi yalienda vizuri Isipokuwa napenda niwakumbushe kuhusu swala zima la tiketi kwani kwa...
0 Reactions
0 Replies
635 Views
Michezaji ya Afrika sijui ikoje..ukianza kuwaza sana unapata shida. nakumbuka mechi flan kuna mchezaji wa team moja alikuwa anaamini kuwa anakosa magoli kwa sababu ya Taulo la kufutia jasho...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ikiwa zimebaki siku 17 kabla ya kufanyika uchaguzi wa shirikisho la soka barani Afrika (CAF), mpaka sasa wagombea waliojitokeza ni wawili tu ambao ni Bw. Issa Hayatou ( Rais wa sasa wa CAF...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wandugu wale wa chama langu,huyu Jamaa kama ni mchango alioonyesha ni mkubwa sana kwa Leo,sasa Luna Jamaa walikuwa wanampa hela uwanjani nikafikiria siyo vibaya kwa mechi tumchague mmoja ambaye...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Hivi kesho tiketi za mechi ya Simba vs Yanga zitakuwa zinapatikana pale uwanjani?? Naombeni msaada jamani kama nimechelewa kuchukua tiketi kimuhemuhe kilikuwa kinasumbua.
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mimi kama shabiki wa yanga nimeumia sana timu hii kila mara kuchapwa chapwa na simba. Lakini pia mwisho wa siku nikatafakari juu ya rangi ya jezi ya yanga nikaifananisha na rangi flani hivi...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Kila moja anasema leo simba kacheza mpira mzuri sana, Wewe unasemaje!?!
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Baada ya Ushindi wa Simba dhidi ya Yanga, hebu tujikumbushe baadhi ya nukuu alizowahi kutoa Jamhuri Julio mnazi wa kutupwa wa Simba Sports Club.
2 Reactions
2 Replies
4K Views
Nipost alie post maalim kufurahia ushindi wa simba
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Waziri wa habari na michezo ,Nape moses Nauye amesema hayo jana wakati wa uzinduzi wa mfuko wa kuisaidia timu vijana serengeti boys,"kama ukikasirika kunywa maji au nenda nyumbani,tunaomba...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwana wa gwiji wa soka wa Brazil Pele, amejisalimisha kwa maafisa wa magereza kwenda kutumikia kifungo alichohukumiwa kuhusiana na makosa ya ulanguzi wa dawa za kulevya. Edinho, ambae alikuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…