Huyu Jamhuri kihwelu "Julio" ana matatizo sana siyo siri alivyokuwa Mwadui alitaka kuishusha daraja timu ya watu kila baada ya mechi hulalama na kupiga kelele "escape goat" alivyoona hali imekuwa...
Wakuu kesho ndio ile siku ya kwenda ku-enjoy na kuburudika na kubadili mazingira mjini Moshi kwenye KiliMarathon. Binafsi hii itakua mara yangu ya kwanza kushiriki na hapa nimeshapack kila kitu...
Kila nikizipima timu hizi huwa naona ndio kikwazo cha soka letu, naamini timu hizi zimepoteza sifa ya kuwa timu za soka. Zimekuwa zikileta migongano, chuki na hata uhasama nashauri kwa wapenda...
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa kesho ataungana na mashabiki watakaohudhuria mechi ya Simba na Yanga uwanja wa taifa jijini Dar es salaam
Lowassa amesema kinachomsukuma zaidi kwenda uwanjani...
Only in Tanzania, masaa 48 kabla ya mechi ya Simba na Yanga marefarii bado hawajatangzwa na wala hawajulikani, je nini shida? Je nini kinaendelea nyuma ya pazia?
Ni dk ya 74 uefa champions league,leicester wapo nyuma kwa goli 2-1 dhidi ya cevilla,nakumbuka week end iliyopita walifungwa na ki timu kidogo Millwall ktk Fa cup,tatizo nini?mabingwa hawa...
Tarehe 25 ya mwezi wa pili mwaka huu wa 2017,Watani wa jadi simba na yanga watakua wakiumana.Maneno mengi ya majigambo ya hapa na pale yamekuepo!.Ni vigumu kutabiri mshindi wa mechi hii kwani wote...
Habari wanajamvi napenda kushare nanyi website tatu kwa wale mnaopenda ku stream livi mpira mechi zote huwa wanaweka pia NBA . Tatizo sijui kuweka website moja kwa moja ili mtu ukiclick apa...
Punde tu,Real Madrid wamechapwa mabao 2-1 na Valencia. Sasa wana mechi moja tu mkononi zaidi ya wapinzani wao wakubwa Barcelona
Real Madrid sasa wamecheza mechi 22 huku wakiwazidi Barca alama...
Ni Jumamosi ya tarehe 3 June 2017 ndiyo siku itakayopigwa fainali ya 25 ya uefa champions league na ya 62 tangu kombe hilo likiitwa Europa Cup.Ni ndani ya Millenium Stadium uliopo mji wa Cardiff...
Kuna Ulazima wa kufanya yote hayo,Nimeona kwenye chombo kimoja cha habari msemaji wa TFF akisema Mwamuzi wa Mechi ya watani wa Jadi Yanga Vs Simba kutotangazwa mapema na pia akitangazwa...
Kwa haya mambo matatu ( 3 ) ni ishara tosha kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga Yusuph Mehboob Manji siku zake za kuelekea katika ' umasikini ' mkubwa sana na kuja kuumbuka mno huko mbele sasa '...
Habari wanamichezo,
Mchezaji mstaafu wa Klabu ya Yanga, Godfrey Bonny amefariki dunia baada ya kuugua na kulazwa katika hospitali ya Makandana wilayani Rungwe Mkoani Mbeya.
Pumzika kwa amani......