Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Habari wadau, kwa miaka na karne nyingi mchezo wa mpira umekuwa ukijizolea mashabiki lukuki kutoka pande mbali mbali za dunia, kutokana na utamu wa mpira wako ambao wanakuwa machizi wa mpira, pia...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
jamani huyu juko mbona yuko kimya sana na viongozi nao wako kimya sana hawasemi lolote najua alikuwa Afcon lakini walimaliza na wenzake walirudi kwenye vilabu vyao lakini yeye mpaka sasa yuko...
1 Reactions
41 Replies
7K Views
Katika wachezaji niliokuwa nawakubali sana Vpl basi alikuwa huyu mido machachari shekhan Rashid Mido hii ilikuwa inajiamini sana na alikuwa na madoido uwanjani ,pass zake murua nk,hakika...
5 Reactions
22 Replies
10K Views
Mzuka wanaJF! Barca itamfunga PSG 7-0 mechi ya marudiano na kusonga mbele. Aidha vijana wa Wenger watamkung'uta Bayan 6-0. Kama ikitokea hivi najitangaza Mimi nabii. Mnaobet zingatien hii ndoto...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Trh 25 february pale taifa kutakuwa na kipute kikali. Kama ilivyo ada mechi kama hizi huchezwa hadi nje ya uwanja. Kufuatia hofu hiyo TFF imeamua kuwaficha waamuzi watakao chezesha mtanange...
0 Reactions
1 Replies
563 Views
Hivi inakuwaje Timu kama Yanga chama kubwa mmetoka kufiwa na mchezaji wenu wa zaman hata kuvaa kitambaa cheusi basi au kusimama dk1 kumkumbuka Bony mmekazana na issue ya dawa za boss wenu..daah
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Serkali kupitia msemaji wa wizara ya habari na michezo Yusuph singo ametoa onyo kali kwa wale mashabiki watakao ingia uwanja wa taifa kushuhudia mtanange mkali kati ya Simba na Yanga, kwamba kwa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Miaka mingi katika historia ya klabu ya yanga kitu kinachoitwa rangi nyekundu kwao ni dhambi,sasa tumeshuhudia yanga wametumia jukwaa jekundu kupokelea ubingwa hilo wazee hawakuliona kama...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Naomba huu Uzi tuutumie kwajili ya timu zinazo panda daraja mwaka huu. Hadi sasa kuna timu 2 kama siyo tatu zimesha jihakikishia kucheza VPL . 1.LIPULI FC 2. SINGIDA UNITED 3. NJOMBE MJI FC...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Timu ya Mpira wa mguu Njombe mji ya mkoa wa Njombe imefanikiwa kupanda Ligi kuu ya Vodacom VPL Baada ya kuwafunga majirani zao Kurugenzi Fc ya Iringa mabao 2-0 katika uwanja wa mafinga. Kwa...
4 Reactions
46 Replies
6K Views
TV Gani inaonyesha pambano kati ya Yanga na Ngaya Uwanja wa Taifa. Dakika 25 Ngaya wanapata Bao. Ngaya 1 yanga 0 Kuna kitu kinatolewa katika goli la Ngaya.. sijui ni uchawi au nini Chirwa...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Wakuuu kama title inavosema hapo N tim gani zmeshapanda daraja Rasmi na n gani ambazo bdo Ila zna %95 ya kucheza ligi kuu Vpl kwa msimu wa 2017,2018
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kumekuwa na maneno ya miaka mingi toka enzi za akina Abbas Gulamali na Azim Dewj kuhusiana na kuwa wadhamini wa klabu zetu maarufu wamekuwa wakizitumia kufanyia biashara ya madawa ya kulevya...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Leo wanakutana Mabingwa wa kombe la washindi ngazi ya Vilabu na Mabigwa wa kombe la Shirikisho Afrika. Mpaka Sasa ni Mapumziko Matokeo ni Mamelodi Sundowns(South Afrika) 0 na Tp Mazembe(DRC) 0...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
DID YOU KNOW? Madaktari wa uingerza walisema atakufa majuz ndani ya masaa 24 lakin hadi Leo yupo hai,,,, Je wajua nini Allah alisema,, ? 'umauti ni siri pekee anayo ijua yeye kua Wapi na lini na...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Shirikisho la soka Tanzania TFF, limesema litawatia nguvuni kwa mujibu wa sheria na taratibu mashabiki watakaoikashifu serikali ama uongozi wa shirikisho hilo kwa kuingia na mabango uwanjani yenye...
4 Reactions
84 Replies
9K Views
Hizi timu zinafanana herufi za majina.. zipo dimbani muda huu... sijaona tv inayorusha live ila nasikia Radio kwa jirani ikitangaza... Tupeane updates..
0 Reactions
120 Replies
17K Views
Hata kama timu ni mbovu lakini makocha, wachezaji na mashabiki wa timu ile safari hii roho haziwadundi kwa kuhofia kufungwa na watani zao, maana wanacho cha kusingizia. Subiri uone.
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Habari zikufikie popote ulipo kua... Ile timu bora kabisa katika ukanda wa CECAFA, Simba SC jana imetinga hatua ya robo fainali katika michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Dani Alves akiwa kama mchezaji wa Barcelona Fc akicheza nafasi ya Beki mbili na kuuzwa msimu huu kwa Vibibi kizee vya Turin(Juventus),alikua na mchango mkubwa sana pale barcelona. Kutokana na...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…