Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Afisa habari wa klabu ya Simba, Haji Sunday Manara amelipa mtihani Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa kuahidi kufanya maamuzi ya kumtolea posa Wema Sepetu endapo ratiba ya ligi kuu...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Staa wa soka anayekipiga wa Barcelona, Neymar ametajwa kuwa mchezaji ni ghali zaidi duniani akiwapita mastaa wengine ambao wanatajwa kuwa wakubwa zaidi yake akiwepo mchezaji mwenzake wa Barcelona...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Usain Bolt atatakiwa kuirudisha moja ya medali zake tisa za Olimpiki baada ya mkimbiaji mwenzake wa Jamaica, Nesta Carter kugundulika alitumia madawa yalivyopiga marufuku. Carter alikuwa...
1 Reactions
0 Replies
701 Views
Bingwa wa mabingwa wa mbio fupi Mjamaica Usain Bolt atatakiwa kukabidhi moja ya medali zake za dhahabu alizopata Beijing Summer olympic 2008 katika mbio za kupokezana vijiti 4×100 baada ya vipimo...
1 Reactions
3 Replies
924 Views
***Una weza ukawa bora lakin kuna bora zaidi yako ***Ubishi wa nani zaidi kati ya Mesi na Ronaldo hauwezi kuisha kwasababu kila mtu ana matazamo wake,, Wapo wanao amini Mesi ni bora kuliko Ronaldo...
1 Reactions
4 Replies
5K Views
Mshambuliaji wa ukweli pacha wa Mbwana Samatta pale U-23 aka Julio Boys Thomas Ulimwengu anakaribia kujiunga na vigogo wa Bundesliga kama atafuzu majaribia ya mwisho. Nasikia nafasi yake ni kubwa...
0 Reactions
15 Replies
13K Views
January 25- 22:00 Egypt ? - ? Ghana 22:00 Uganda ? - ? Mali Tafakuri yangu inanitafakurisha kwamba HILI NALO NI JIPU LA KUKUMBATIA RUSHWA YA KIMTAZAMO NA NI MAWAZO MGANDO TU ambayo baadaye...
0 Reactions
5 Replies
779 Views
Baadhi ya Timu za ligi kuu Tanzania zenye kasumba za kusajili wachezaji toka mataifa ya kigeni zimewahi kusajili wachezaji ambao walishindwa kukidhi viwango na kujikuta wakitupiwa virago mapema...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Ni kipindi ambacho kwa sasa watanzania wengi nyakati za jioni wamekuwa wakitawanyika katika majumba ya starehe ikiwemo baa na vibandani kushuhudia mashindano ya Afcon yanayoendelea pale nchini...
0 Reactions
42 Replies
8K Views
Aliyewahi kuwa Mchezaji Soka Bora wa Dunia mwaka 1995 George Weah kugombea urais wa Liberia kwa mara ya pili katika uchaguzi Oktoba 10, 2017. Former world footballer of the year, George Weah...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ukijaribu kuangalia michuano ya kombe la Afrika asilimia kubwa ya Timu za taifa zipo chini ya Mikono ya Wazungu(makocha wa Kigeni),Na chache sana zipo chini ya Wazawa kama vile DRC na Zimbabwe...
0 Reactions
0 Replies
474 Views
Arsenal wamebebwa dakika za mwisho. Kwa staili hii Arsenal hawezi beba ubingwa.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wayne Rooney leo hii amefanikiwa kuwafungia Manchester united goli la kusawazisha dhidi ya Stoke City. Goli hilo limemfanya kufikisha idadi ya magoli 250 na kuwa mfungaji wa muda wote wa Klabu...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Mpaka Sasa Uganda ndiyo timu pekee haijapata hata Point Moja kwenye mashindano ya AFCON 2017 - Gabon Uwezo wao wameuonyesha Ila kundi walilopangiwa halikuwa Rafiki kwao. Hongera kwa kujituma...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mabingwa watetezi Kombe la Shirikisho, Yanga wameanza kampeni yao ya kulitetea kombe hilo vizuri kwa kuitwanga Ashanti United kwa mabao 4-1. Yanga imeitwanga Ashanti katika mechi nzuri kwenye...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Wadau wa soka la bongo naomba tukumbushane jinsi ilivyotokea mgogoro wa kumgombania mchezaji mashuhuru miaka ya 1980 "Ezekiel Greyson " Jujuman baina ya vilabu vya Simba Na Yanga ili ambao...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Baada ya Pep Guardiola kuja Mancity alimsajili aliyekua kipa wa Barcelona Claudio Bravo na kumtoa kwa mkopo kipa aliyekua chaguo la kwanza na Kipenzi cha Waingereza Joe hart kwenda Torino ya...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Mpaka sasa Everton inaongoza kwa mabao manne (4) huku Man City wakiwa hawana kitu, Man City anainyemelea nafasi ya sita, ikumbukwe huyu kocha alikimbiza sana La Liga na Bundasliga hali ni tofauti...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
  • Closed
Klabu ya Azam imenunua kifaa cha kisasa cha kufanyia mabadiliko wachezaji na kuongezea dakika ,kifaa hicho kitakuwa kinatumika Azam complex tu. Tff kwa miaka sasa wanatumia teknolojia ya hali...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limefanya droo ya makundi ya kutafuta nafasi ya kushiriki Kombe la Mataifa ya Afrika 2019 ambapo machuano hiyo itafanyika nchini Cameroon. Kufanyika kwa droo hiyo...
1 Reactions
40 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…